Search results

  1. gwahe

    Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    Duhh hii thread kiboko sn, nimesoma comments zote. Imenigusa sn na mimi nitoe na nitoe mguso wangu. Juzi tu baada ya kununua nguo za pasaka za mtoto wangu wa pekee. X wife wangu alinitumia msg baada ya kuona nguo za mtoto wake. Akasema. Thanks for CARING. God bless U. Nikamkumbuka...
  2. gwahe

    Utafiti waonesha Lowassa awatimulia vumbi Membe na Pinda

    mshunami Lowasa kuongoza na swali la Viumbele vya kuanza navyo raisi atayechaguliwa, haya yalikuwa maswali mawili tofauti. Swali la vipaumbele, liliruhusu je ni vipaumbele vipi raisi atayechaguliwa aanze navyo. Wanachi walioshiriki walisema Kuthibiti ufisadi na rushwa. Hii ni changamoto kwa...
  3. gwahe

    Maigizo ya Lowassa kwenye utafiti wa Positive Thinkers Tanzania - Ukweli huu hapa

    chitambikwa tafuta ripoti nzima uisome harafu utapata majibu ya ulichokisema hapo juu.
  4. gwahe

    Riport ya utafiti-positive thinkers

    SWALI LA CHAMA CHENYE MVUTO, Lililenga washiriki kila mtu na ikitikadi yake awaeleze watafiti ktk eneo analoishi au kufanya kazi chama gani chenye mvuto na kupendwa na wananchi. Kulingana na kura zilizopigwa, matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa chama cha siasa nchini kilichochukua nafasi ya...
  5. gwahe

    Riport ya utafiti-positive thinkers

    WANAJUKWAA, Nnimeamuwa kuweka maneno machache ambayo yalisomwa kwa mwandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ripoti, pia kiambatanisho cha matokeo ya jumla. Kuelezwa kuwa Positive Thinkers imedhaminiwa na Loawasa kwa 100% mimi kama raisi wa PTT, hizo ni changamoto kama changamoto hasi zingine...
  6. gwahe

    Maigizo ya Lowassa kwenye utafiti wa Positive Thinkers Tanzania - Ukweli huu hapa

    Wanajukwaa, yeyote anahitaji maelezo kuhusu utafiti, tuwawiliane kupitia 0766606162. Uliza maswali yeyote yanayohusiana na utafiti na mfumo uliotumika. Pia unaweza kutembelea www.positivethinkers.or.tz kufahamu habari zaidi.
  7. gwahe

    Acheni kutudangnya kwa utafiti usio na vigezo

    kumusoma mitandao ya jamii ni mojawapo ya njia ya kuelimisha jamii. Pls PM tuweze kupeana elimu ya utaifa.
  8. gwahe

    Utafiti waonesha Lowassa awatimulia vumbi Membe na Pinda

    Watanzania wengi wanafikiri njia pekee ya kumaliza changamoto ni kutatua changamoto zao pekee. Kumbe kuna changamoto zinazohitaji ushirikiano wa pamoja na kutoa elimu kwa umma. PTT ilichokifanya kupitia utafiti umegusa asilimia furani kwenye mabadiliko yatayosababisha mabadiliko. Rgsd PTT...
  9. gwahe

    Utafiti waonesha Lowassa awatimulia vumbi Membe na Pinda

    Uliza ndg afwe utajibiwa maswali yako. Mimi ni miongoni mwa wahusika wa utafiti. Habari zaidi tembelea www.positivethinkers.or.tz
  10. gwahe

    Utafiti waonesha Lowassa awatimulia vumbi Membe na Pinda

    Kudhibiti rushwa ni kipaumbule cha rais na siyo lowasa. Kuthibiti ruswa ni suali linalojitegemea.
  11. gwahe

    Tumekaa kwenye mahusiano mwaka,lakini hajawahi kunishauri swala la maendeleo

    Wana MMU Je kuna ukweli juu ya tabia ya huyu msichana wangu kama anaweza kuwa mke bora na mke mwenye kutunza familia na kuwa mshauri mwema kwenye masuala ya maendeleo na ya kifamilia kwa ujumla. Jinsi tulivyo wote tunaishi Dar es salaam, lakini tunaweza kuonana mara 1au 2 kwa mwezi. Tangu...
  12. gwahe

    Je ni sahihi kurudishiwa Mahari baada ya kuachana na mke?

    Inategemea na makabila. Ila kwa mila na tamaduni mahari haipaswi kurudishwa kwa sbb tayari umeishi na binti yao na pia ikitokea umezaa naye watoto hiyo ndiyo muhimu maana huwezi kufanya hivyo. Lkn unaweza kudai mahari km umeachana na mke wako na akaolewa sehemu nyingine mwanaume mwingine na...
  13. gwahe

    Siyo sifa kuwa na wapenzi wengi

    Haa kuwa wa kwanza ndo kumpa mzigo?duhh ? Umenichekesha, No please unaweza kuwa dating nyingi au just normal friendiship zisiwe na choices, unaweza ukawa na dating chache zenye muono chanya, siyo kila mtu achungulie VIP. Lakini wadada wa siku hizi au wanaume, they fall in love like falling with...
  14. gwahe

    Siyo sifa kuwa na wapenzi wengi

    Kuwa na wingi wa wasichana/wavulana au wanawake/wanaume kwenye mahusiano, haisaidii kupata mtu anayefaa au unayempenda zaidi. Bali ni kujichosha kisaikolojia na kikubwa zaidi kukutana na sampuli nyingi zinazokupa twasira mbaya ya kuona mahisiano ni kitu cha kufanya maamuzi magumu. Unaweza...
  15. gwahe

    Wanaume Nisaidieni

    Michelle no one will gv u the correct answer. But with my experience nitakwambia sbb tatu. Hizi tatu is according to me. 1) Before sijaumizwa na mwanamke niliyempenda. Nilikuwa nawahurumia sn wasichana. Lkn baada ya hapo hata niki sex na msichana na kumuacha. Siwezi hata kumhurumia. Nimejibu...
  16. gwahe

    Forever Living imeniachanisha na mke wangu

    Mtu mmoja aliniambia. Ukitaka wadada wazuri njoo forever. Huyo dada aliyeniambia naye yupo forever. Ukweli mpk sasa sijawahi kupata jibu.
  17. gwahe

    Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

    Duhh kama kweli umesema ukweli, unahitaji msaada maana. Haya mapito kwako ni makubwa?? Nina maswali mengi ya kutafakari juu ya maisha yenu, Tafadhari tafakari harafu tupatie majibu kama utapenda kushiriki na wewe ili tupate ufumbuzi.... 1) Je wakati mnaanza mahusiano kabla ya ndoa, kuna yeyote...
  18. gwahe

    Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

    A gentleman advice. P'se UWE MWAMINIFU KWA MKE WAKO. Kama unaona kuna hitaji la kuchepuka na mwanamke mwingine, basi jitahidi usiwe na permanent lover and Dont promise any woman. Kumbuka watoto 3 ni serious case km ikitokea umeachana na mke wako. Pls be kind and trustworthy kwa mke wako...
Back
Top Bottom