Search results

  1. STDVII

    BAVICHA na huyo askofu Mwanamapinduzi mna Uhakika Ujenzi wa Bwawa la Nyerere limetumia Upembuzi Yakinifu wa 1972? Ni kweli Maji yamefunguliwa?

    Arusha imekumbwa na mafuriko makubwa kuwahi kutoka ina maana ya maji toka JNHPP yamefika kule?
  2. STDVII

    Mama anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya uenezi wa CCM?

    Humphrey Polepole hakuondolewa na Samia kwenye nafasi yake bali JPM mwenyewe na akampeleka Bungeni, rekebisha kumbukumbu zako vizuri.
  3. STDVII

    Mzee Mwinyi kinara wa ujenzi ovyo na holela, aliharibu Dar na Miji yetu

    Ni ngumu sana Mwinyi kuchafuka, ametutoa kwenye Kuvaa magunia na nguo za kaunguza. Ilikua hatunywi chai sukari hakuna Chumvi inaitwa Dawa ya mboga Kapokea Nchi toka kuzimu muache Mzee apumzike kwa amani.
  4. STDVII

    Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

    Lowasa na Kikwete ulikua mchezo wa kisiasa ambaye hakujua ni Lowasa kwa sababu Kikwete angefanyaje ili Lowasa awe Rais? Awe kama Mbowe mwenye kauli ya mwisho?
  5. STDVII

    Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

    Mbona Chadema mlizunguka Nchi nzima na kudai Lowasa mwizi baadae mkajumuika naye na kumpa Urais kwenye serikali ya matumaini. Kuna wanafiki kuliko Chadema?
  6. STDVII

    Viongozi wa CHADEMA ni Walaghai

    Jengeni basi hata ofisi Makao Makuu watu gani nyie hamna hata nyumbani kwenu kila siku kupanga? Shame
  7. STDVII

    Ujamaa wa Tanzania na Dini (Hotuba ya J. K. Nyerere - 1970)

    Kwa hiyo ni kwamba Udini uliingia baadae katika TANU? na kisha CCM? Kwa sasa Maaskofu na Mapadre wamekua na nguvu sana kiasi cha kupeleka Kanisani mambo ya Nchi wanapata wapi mamlaka haya!?
  8. STDVII

    Ikulu, hili la Fr. Kitima na utiaji sahihi ni uswahili wa mitaani

    Kwamba Dr Kitima hakula pilau!?
  9. STDVII

    Kwanini Serikali imeruhusu ubalozi wa Palestine nchini kutumia mabango ya Tanzania kufanya propaganda?

    Wewe ni Gaidi Mkuu elewa kwamba Western wanapenda na kuwachukua wakimbizi kutoka nchi za Kiislamu ili baadae wawafundishe tabia zao chafu za ushoga Wamefanikiwa kuingiza ushoga makanisani sasa wanapambana na uislam.
  10. STDVII

    Kwanini Serikali imeruhusu ubalozi wa Palestine nchini kutumia mabango ya Tanzania kufanya propaganda?

    Ulitakaje sasa kwani hujui kwamba hizo posta ni mali ya Halmashauri na zinakodishwa kwa yeyote? Ubora wa Israeli kwa Palestine au kinyume chake ni upi?
  11. STDVII

    Is it true kwamba serikali Iko answerable kwa maaskofu au maaskofu ndo wako answerable kwa serikali?

    Kitima alitaka kupima uwezo wa serikali ukweli kitendo alichofanya kusambaza waraka kanisani ilikua ni uhaini yaani kwamba wakatoliki waiasi serikali? Kwamba Walutheri au Anglican au Moravian au Wasabato changanya na Waislamu wawe watazamaji tu?
  12. STDVII

    Viongozi wangu wa CCM inatosha sasa, TEC hawatatuelewa hadi tueleweke!

    Waambieni Wakatoliki ni kosa kupeleka kwenye mimbari za kanisa mambo ya serikali kama kushauri au kukaripia iwe kwa viongozi wao. Lakini kwa hii sioni afya kwa kweli hebu fikiri kama ingekua waislamu ndiyo wamehusika na hili misikitini mwao ingekuaje? Zaidi ni kwanini akiingia Muislamu...
  13. STDVII

    Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

    Mmezunguka weee mkaona mpite Vichochoro vya Kisosora? Lete ushahidi siyo umelala na njaa ukaota ndoto unakuja na hekaya za Abunuas [emoji16]
  14. STDVII

    Bilioni 14 kuhamisha Gereza la Kilimo Mbeya kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium

    Nyerere alisema tuache tusichimbe madini, kumbe Tanzanite inachimbwa kuuzwa Kenya na India Tanzania imekalia maneno tu
  15. STDVII

    Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro

    Ukiacha kutumia michoro mashuleni na kutumia picha halisi utaona kumbe mambo ni tofauti kabisa
  16. STDVII

    Hayati Magufuli vs Rais Samia: Kwa kuwa tumeamua kuwalinganisha basi acha tuendelee

    Dunia nzima waongo na wanafiki wako Tanzania
  17. STDVII

    Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Huna haya mangula miaka 87 bado aendelee kuhudumu unataka afie ofisini? Uzuri Msigwa alishasema ule uongo wenu wa kumchafua Kinana ilikua fix tu mmeanza nyingine hii hovyo kabisa nyie [emoji847]
  18. STDVII

    Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Matumizi ya dini ndiyo kazi yenu ikitokea Rais katoka kinyume na nyie basi mnakutana kuanzia kwenye vigango tumeiona tangu kwa Mzee wa ruksa Mkwere na sasa kwa Mama hamkomi tu wadini nyie Mlifungwa midomo watu wanaokotwa kwenye viroba kutekwa kusikoisha bado tu hamshukuru kupata nafasi ya kupumua?
Back
Top Bottom