Search results

  1. sam wilfred

    Window laptops Vs Macbook laptops

    Uchaguzi wa laptop nzuri ni miungoni swala moja wapo muhimu sana hususani kwa graphics designers pamoja na sounds producers bila kuwasahau watu wa maswala ya IT. Sasa kama graphics designer nimekuwa na wakati mgumu hususani katika uchaguzi wa laptops nzuri kwa maswala ya designing kati ya...
  2. sam wilfred

    Ivi serikali ipo wapi katika kulitazama hili

    Ivi hizi halmashauri na serikali za mitaa lakini pia taasisi mbalimbali zikiwemo za mazingira na afya zipo wapi katika kuangalia swala hili la masoko kufanyika kwenye mitaa ya wananchi. Hii hali ishakuwa kero sana hapa buguruni. Mtaa unafurika matenga masaa 24 hamuoni kama mna hatarisha maisha...
Back
Top Bottom