Search results

  1. brighton christopher

    Msaada Tafadhari

    Naomba kwa anaefahamu dawa ya kuua wadudu wanaopekecha kenchi mbao jamaa yangu kapaua nyumba yake usiku kuna wadudu wanapekecha mbao atumie dawa gani kuwadhibiti?.asanteni
  2. brighton christopher

    Gharama za ujenzi wa nyumba vyumba vitatu(3)

    Habari wapendwa kaka zangu na dada zangu naomba niulize gharama za ujenzi wa nyumba vyumba vitatu uwanja upon Chalinze msoga maeneo ya hospital iwe na master room,2rooms sitting na dining just simple sio complicated pako flat.asanteni maximum niandae kiasi gani
  3. brighton christopher

    Course gani ya Masters ni marketable kusoma based in Geography?

    Habar wakuu poleni na majukumu naomba kaka zangu na dada zangu mnisaidie ni kozi gani inalipa ya kusoma hasa ktk geography na ndoto za kwenda shule kusoma masters next year naomba msaada anayejua asanten
  4. brighton christopher

    Habari

    NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI IDARA YA SEKONDARI KWA ALIE DSM ILALA AJE BAGAMOYO CONTACT. 0715602240.ASANTENI
  5. brighton christopher

    Natafuta kazi ya kufundisha nimemaliza Tumaini university makumira( BED ARTS)Geography na History 07

    Natauta kazi ya kufundisha Geography na History nimemaliza BED ARTS YEYOTE WA KUNISAIDIA 0763320988
Back
Top Bottom