Search results

  1. Scoob102

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

    Wachawi hamkosekanagi!!![emoji706][emoji706] Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  2. Scoob102

    Janga la kuwa High Blood Pressure nalo limenifata leo baada ya balaa la hatihati kuambukizwa Ukimwi

    Inategemea na ububwa wa mwili wa mtu lakin hiyo ni mid high blood pressure. Kimtu chembamba akiwa na hiyo tatizo ila kwa qenye miili mikubwa hiyo sio tatizo ila ikizid hapo ndo tatizo Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  3. Scoob102

    Janga la kuwa High Blood Pressure nalo limenifata leo baada ya balaa la hatihati kuambukizwa Ukimwi

    140/90 kwa uzito huo bado sio tatizo. Ifuafilie daily kwa siku kama 15 hiv... Change life style yako... Punguza miwanga na stress then fanya mazoez atleast 75 minutes per week. Itarud poa tu. Usikimbilie midawa maana ukishaianza ndo umeianza milele. Sent from my SM-A217F using JamiiForums...
  4. Scoob102

    Meridianbet kama mpo humu boresheni huduma zenu mnakera

    Kwan umelazimishwa kubet na meridian... Si utafute kampuni nyingine itayoendana na kasi yako!!! Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  5. Scoob102

    Waliochanga hela kwa Feisal Salum zitarudì?

    Data ziko wapi kuonesha waliochanga ni Simba fans?[emoji706] Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  6. Scoob102

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama Arsenal atatwaa ndoo ya EPL mbele ya City

    Sijawahi waamini Arsenal hata kama 2angekuwa wanaongoza kwa point 20 Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  7. Scoob102

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Legit deal. Thank you brother Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  8. Scoob102

    Kwa ushindi huu wa Simba, Raja hawawezi kupanga kikosi cha pili, hivyo Simba mjipange

    Kwan Simba SC wanauhitaji ushindi dhidi ya Raja uwapeleke wapi????
  9. Scoob102

    Kazi ya Sensa 2022: Majina ya walioitwa kwenye Usaili kwa Manispaa ya Morogoro

    Waliopita kwenye Usaili Moro manispaa majina bado tu????
  10. Scoob102

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Download HighVPN to bypass any blocked website and app. Keep surfing activities private and anonymous. Get it at HighVPN - Fast WiFi Proxy - Apps on Google Play Kwa wale wa mtandao Tigo tu. Free internet Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  11. Scoob102

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sasa una MB unategemea utateleza free. Subiri ziishe ndo uendelee free Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  12. Scoob102

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Kwa siku wanachinja mbuzi 1000-2500. Unaweza arrange ukashuhudia mbuzi wako wakichonjwa na kupimwa bila tatizo. Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  13. Scoob102

    Kuna Watu Waziri wa Utalii Dk. Ndumbaro alipovaa Jezi yao 'mbovu' Walifurahi na Kumsifu, leo kapiga 'Dongo' Kwao anaonekana 'Adui' yao

    Mwenye hiyo video naiomba tafadhali. Lile dongo hatariiii Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  14. Scoob102

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Still counting... Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  15. Scoob102

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nadhan tigo wanafanya kazi usiku na mchana kukomesha hii...!!
  16. Scoob102

    Henock Inonga Baka (Varane) |Special Thread

    Ile tackling hata mm ilinishtua sana!!! Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  17. Scoob102

    Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    We upo mkoa gan? Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  18. Scoob102

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Wakati tunasubiri new episode. Embu mnitag kwa sTory ingine ya kutisha na kusisimua ya hivi karibuni nikaweke kambi hapo cc Shunie na wengineo Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  19. Scoob102

    Ni mikoa gani ambayo ina mbuzi wengi na ng'ombe wengi zaidi?

    Hao ni watoto wa Mbuzi unaoongelea. Mbuzi wa maana wanaanzia 60K up Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  20. Scoob102

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Someni hadithi achen unaa...
Back
Top Bottom