Search results

  1. IamPrince George

    Uchambuzi wa hotuba ya JPM

    Kuna mambo kadhaa ambayo yanaonekana katika hotuba ya rais aliyoitoa UDSM hivi karibuni. Uchambuzi huu unajikita katika kuonyesha picha kubwa kuhusu dhana ya Kilaza. Kwa ufupi dhana hiyo aliyotumia rais inamapungufu mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiusalama, kitabia na uongozi...
  2. IamPrince George

    Waliotimuliwa Udom waibuka, watoa ya moyoni

    Tatizo ni ukurupukaji wa viongozi wetu
  3. IamPrince George

    Kubenea amwaga milioni 2.8 ujenzi wa barabara Kimara - Golani

    We ulitaka atir shs ngapi ndo uone ametoa pesa, swala ni kuonesha kujali na kuwa karibu na wananchi. Mbona hao wengine hawatoi
  4. IamPrince George

    Nyama, Samaki bei nafuu

    PG Butchery; tupo Ukonga Banana Relini, karibu tukuhudumie Nyama, Samaki (Sato & Sangala) kwa bei nafuu. tunapokea Order ya Samaki na Nyama kwa watu wa Hotelini. Wachoma Nyama, Mishikaki, Mama ntilie, Wauza Supu n.k , kwa Mawasiliano zaidi tupigie kupitia +255716109169 au +255755057229. *Huduma...
  5. IamPrince George

    PG Buchery Huduma ya Nyama, Samaki, Sausage, Maini

    KARIBU PG BUTCHERY Pata Huduma ya Nyama nzuri, Samaki (Sato, Sangala), Maini, Nyama ya kusaga, Sausage katika Bucha yetu iliyopo Maeneo ya Ukonga Banana - RELINI kwa Mkorea. Bei zetu ni nafuu, tutakuletea mpaka ulipo (DAR) kama utachukua kuanzia kilogram 10 na zaidi. Tupate kupitia 0716109169.
  6. IamPrince George

    CHADEMA, Lowassa apewe onyo mara moja

    Acha uchochezi
  7. IamPrince George

    Rais Magufuli afuta sherehe za maazimisho ya siku ya UKIMWI, fedha zinunue dawa...

    Rais wa JMT Dkt. John Magufuli amefuta tukio la Maadjimisho ya UKIMWI siku ya tarehe 01.12.2015 ambayo kutaifa yalikuws yafanyike Mkoa wa Singida. Je, nini maoni yako juu ya hili?
  8. IamPrince George

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Hili tangazo la Greyson linaelekeza tu cha kufanya na hiyo milioni 200. Lakini vitanda hivi vinanunuliwa kama sehemu ya utekelezaji wa mradi ambao ulianza muda mrefu wa upanuzi wa mawodi ya wagonjwa. Isingewezekana ununuzi ufanyike ndani ya siku tatu. By the way sina uhakika kama Tz kuna duka...
  9. IamPrince George

    Mabadiliko ndani ya CCM ni ndoto!

    Ufaaji hauwezi patikana na kukandamiza Demokrasia, hata yale yasiyohitaji siasa jufanywa kuwa siasa. Deputy AG kusigina katiba sio issue sana kwa Ccm kwa kuwa wao ndio wenye mamlaka na kuididimiza Democracy ndio target yao. Wapinzani wameonesha sana uwepo wa Demokrasia katika vyama vyao na hili...
  10. IamPrince George

    Mabadiliko ndani ya CCM ni ndoto!

    Bahati nzuri huwa sijadili hisia, najadili issues, nenda kwenye vyama utapewa utaratibu, tunapoongelea maswala ya Taifa ndipo tunatakiwa kuweka tofauti zetu za Kishabiki pembeni na kuungalia Umma ambao una matarajio na Maisha mazuri kutoka kwa Wanasiasa
  11. IamPrince George

    Mabadiliko ndani ya CCM ni ndoto!

    Ni wachache wataelewa kuwa Umasikini ndiyo hoja Ccm hawataki ijadiliwe ili kuzidi kuwafanya hawa Masikini Mitaji ya Mafanikio yao
  12. IamPrince George

    Mabadiliko ndani ya CCM ni ndoto!

    Tupiganie Mabadiliko ya Kweli
  13. IamPrince George

    Mabadiliko ndani ya CCM ni ndoto!

    (a)SHERIA inasema SPIKA anaweza kuwa Mtanzania yeyote mwenye sifa za kuwa mbunge. (Means si lazima awe mbunge) (2)"Dola" inataka Dr.Tulia awe SPIKA lakini upepo wa Wabunge unavuma kwa Mh. JOB NDUGAI. (3)Wakati huo huo, SHERIA na KANUNI vinaelekeza kuwa "NAIBU SPIKA" ni SHARTI achaguliwe kutoka...
  14. IamPrince George

    Magufuli na usiginaji wa Katiba, ni makusudi ama?

    Afrika bado ni tatizo kuheshimu utawala wa sheria ndugu zangu ila tukiamua inawezekana
  15. IamPrince George

    Magufuli na usiginaji wa Katiba, ni makusudi ama?

    Asante kaka kwa kumueleza ukweli, mpaka anachukua fomu ya kuomba Uspika alikuwa bado na cheo chake. Hell to Ccm
  16. IamPrince George

    Magufuli na usiginaji wa Katiba, ni makusudi ama?

    Ndio maana tunasema kuwa Magufuli amekiuka Sheria mama (Katiba),
  17. IamPrince George

    Magufuli na usiginaji wa Katiba, ni makusudi ama?

    Magufuli sijui kama atasimamia Misingi ya Katiba, Ccm bhana
  18. IamPrince George

    Magufuli na usiginaji wa Katiba, ni makusudi ama?

    ** NI KWELI RAIS MAGUFULI HAJUI KUWA ANASIGINA KATIBA YA JMT AMA NDIYO KAWAIDA YA CCM? Tazama orodha ya watumishi wa umma ambao hawaruhusiwi kuwa wanachama wa vyama vya siasa. Ila haiwahusu CCM kwa sababu ndiyo wenye nchi na ndio maana Tulia anadunda tu. Mojawapo ni Majaji na Mahakimu. Dkt...
Back
Top Bottom