Search results

  1. K

    Wahitimu wa Fani mbalimbali nchini wafaidika na Huduma Mpya ya Nafasi za Kazi

    Huu ni uwizi wa kisasa...matangazo ya aina hii yapo mengi hapa mjini tafadhali serikali tunaomba muingilie kati na kuchukua hatua.
  2. K

    Mapya kuhusu Bashe: Masha anatumikia rais gani?

    Acha umbumbu ndugu yangu...ni ukweli ulio dhahiri kwamba Kikwete alidanganywa(misinformed) at first hand kuhusu uraia wa bashe...na masha kama waziri wa mambo ya ndani yeye ndie mwenye mamlaka ya kutoa 'confirmation' kuhusu uraia wa bashe...post yako hapo juu haina kichwa wala miguu...tafadhali...
  3. K

    Dr. Slaa afunguliwa mashtaka mahakama kuu leo

    Marriage is a contract..and a contract can b valid,void or voidable...contract inakua valid when there is clear consent btwn parties to contract...kwa case hii tuna two parties namely mahimbo and josephine...kwa hiyo kama kuna breach ya condations and warranties then the affected party without a...
  4. K

    Elections 2010 Dr. Slaa: Beware of Swift Boat trap!

    unasema 'we will finish it' wewe na nani? Wapi? Na wakati gani? Dont tell me utakuja kumaliza hasira zako hapa Jf...ninaomba ufafanuzi wako kaka mkubwa...
  5. K

    TV Station za Bongo hawana jipya!!

    Wajameni let us b honesty movie za kibongo hazina mnato,theme haileweki,hakuna script,hazina mbele wala nyuma...niacheni niangalie mexican soaps kama dont mess with an angel,burden of guilt,saborati na hidden passion coz zinabamba kusema kweli...anaetaka ngoma za asili afungulie TBC Taifa.
  6. K

    Elections 2010 Dr. Slaa: Beware of Swift Boat trap!

    Nilisema,ninasema na nitarudia kusema kuwa Dr.Slaa anaelekea kufilisika kisiasa...anajichimbia karibu lake mwenyewe.just imagine ma week mangapi yamepita toka campaign zianze...actualy ni muda mrefu bt cha kushangaza huyu jamaa mwenye Ph.D ya Divinity hanadi sera wala ilani(manifesto) ya chama...
  7. K

    Yu wapi Lowassa?

    Jamani mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni...EDWARD LOWASSA HAKUFUKUZWA KTK NAFASI YA UWAZIRI MKUU,BALI ALIJIUZULU KUTOKANA NA UTASHI WAKE,BUSARA ZAKE,HEKIMA ZAKE NA UWAJIBIKAJI WAKE...Ni kitendo cha kishujaa ambacho ni viongozi wakuu wachache wangethubutu...for that case I WILL ALWAYS ADMIRE...
  8. K

    Elections 2010 Dk Slaa awalipua Pinda, Mkapa

    Now am tired 2 here nonsense za Dr. Slaa...hana jipya.hana sera.hana mshiko.aniniboa ile mbaya.kwa elimu yangu ndogo ya shahada toka pale mlimani inaniambia kua campaign during uchaguzis(elections) inatoa fursa adhimu ya wagombea kunadi sera zao iwe ni economic,social or development related.pia...
Back
Top Bottom