Search results

  1. M

    Amekuwa akifuatilia malipo yake PSPF kwa miezi miwili bila mafanikio

    mimi mwaka jana nilienda hapo hapo PSPF, jamaa wa reception akaniambia kama unavyosema, nilikuwa nimefanya kazi miaka 8, nikataka kuondoka lakini baadaye nikarudi nikamwambia nipe nipe fomu, jamaa akanijibu kwa ukali utadhani fedha ni zake, akanielekeza documents za kuambatanisha, nilifanya...
  2. M

    Deo Filikunjombe: Mbunge anayefanya makubwa jimboni mwake

    nakubali kwa hilo, lakini sikubaliani na gari kuandikwa "denoted by Deo Filikunjombe" huu ni udhaifu mkubwa kwa mtu kuwa kiongozi wa watu. nahisi anapenda sifa sana ingawa simjui. ludewa ninayoijua hizo ambulance zitapeleka wagonjwa katika hospitali gani? au ile ya Ludewa mjini ambayo huduma...
  3. M

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    sasa Mungu kamchagua lowasa
  4. M

    Maaskovu Vs. Makamba na mgongano wa Arusha

    haka kazee kaseme, ni wapi kwenye biblia inasema watu wauawe kama sio kuzeeka vibaya. lakini kauli zake hizi siku zinakuja atakaposimama katika mahakama kujibu tuhuma za kuhamasisha mauaji. kila jambo baya mshahara wake ni hapa hapa duniani
  5. M

    Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    naamini ahadi hizo ni gharama kuliko kutoa elimu bure
  6. M

    Elections 2010 Mafuta ni ya Wazanzibari: Zitto Kabwe

    hakuna ubishi katika hilo zito kasema kweli
Back
Top Bottom