Search results

  1. M

    Chanzo cha mauaji ya mfanyabiashara ni hela

    Wingu la sintofahamu kuhusu kifo cha mfanyabiashara wa madini aliyedaiwa na polisi kujiua mkoani Geita (runzewe) baada ya ndugu wa marehemu kukataa kuuzika mwili wa marehemu mpaka uchunguzi (postmortem) ufanyike na hela zinazokadiriwa 300m alizokuwa nazo nyumbani kwake zilichukuliwa na polisi...
  2. M

    Dr. Slaa & Lema waiangamiza CCM bila huruma

    Habari wana jf,nimepata habari toka kwa jamaa yangu alieko gta kuwa dr slaa na g.lema leo (mida hii)wanaeneza moto wa ukombozi kwa wakazi wa gta,kama kuna mwana jf aliyeko sehmu ya tukio tafadhali atupe live
  3. M

    Nssf na sheria za Tanzania!!!

    Kuna habari ziliandikwa na gazeti la MWANANCHI jnne kwamba wafanyakazi 40 wa mgodi wa geita walifoji vielelezo na kujipatia mamilioni toka nssf huku wakiendelea na kazi kinyume cha sheria iliyoanzisha mfuko huu,habari zinaeleza hawa watu hawajachukuliwa hatua yoyote pamoja na kujulikana pengine...
  4. M

    Pipooos power mpaka polisi!!!

    Wadau hii nimeiona ktk mojawapo ya mikutano ya cdm,polisi wakikunja ngumi kuitikia salam ya nguvu ya umma,nimekubali pipooos pr ni noma na ndo sababu labda ya serkali nzima kuchanganyikiwa wameona hata vyombo vya dola wanavyojidai navyo vitawahasi muda si mrefu,mmeuona jaman mkutano wa pm pale...
  5. M

    Chadema ndani ya mji mdogo wa Katoro/Buseresere

    Wadau wapenda maendeleo nipo ktk mji mdogo wa katoro mpakani mwanza na kagera hali ni ya mashamsham utafikiri anakuja cjui nani maana hata rais huwa cio hivi,muda mfupi ujao kutakuwa na maandamano na mkutano wa hadhara,hii ni wakeup cal kwa cheyo,wasira, nk wanaowatia hofu wtz,kwa hali ilivyo...
  6. M

    Watanzania waliopo libya vipi??

    Ama kweli hatuna serikali,tumeona jinsi nchi mbalimbali zinavyohangaika kuwatoa raia wake Libya,kenya wametuma hadi ndege!Tanzania ni kimya!ina maana hakuna wtz huko??au mtz hana thamani hata akifa??ni wakati wa kuweka serikali itakayothamini wtz hii imeshindwa,leo hii mtz ni kama takataka hata...
  7. M

    Polisi jifunzeni toka nchi nyingine

    Nimefatilia mapokezi ya rais wa china pale white house,wakati shughuli ikiendelea mtaani watu wanaandamana kupinga ziara hiyo kutokana rekodi mbovu ya china ya haki za binadamu,hata spika wa baraza la wawakilishi hakuudhulia dhifa ya kitaifa,wtz wenzangu sikuona mabumu machozi wala risasi,watu...
  8. M

    CCM kutekeleza sera ya Chadema kuhusu nyumba za "Tembe"?

    Wanajamii nimeshtuka leo gazeti la mtanzania limemkariri waziri mteule nyarandu akidai atapigana kuhakikisha anatokomeza nyumba za tembe,sio hawahawa waliokuwa wanambeza dr slaa?kweli ccm wamefikia uko wa fikiri kilichobaki ni kutekeleza maagizo ya dr wa ukweli mpaka 2015 tuwatupilie...
  9. M

    Gen. ABDALMAN SHIMBO UPO WAPI JAMANI....!??

    Haya polisi wamenyanganywa bunduki,raia wanauawa na majambazi na kuporwa mali zao,sasa huyu shimbo aliyeapa kupambana na raia wkt wa uchaguzi yupo wapi jaman atumie maguvu yake kwa majambazi??au kwakuwa ni kgm ni sawa?tunamtaka atokeze na kutupa mkakati wa kulinda wananchi dhidi ya huu uvumjifu...
  10. M

    VITI MAALUM UDIWANI Vp?

    Wadau vumbi la viti maalum ubunge limetua,sasa hivi viti vya udiwani vinapatikanaje?yaani ni fomula gani itatumiwa na tume?mwenye data namna vinapatikanaje amwage hapa!
  11. M

    Elections 2010 Ccm katika mtego mwingine

    Kitendo cha "mzee wa vijisent"kuchukua fomu ya uspika ili kulinda maslahi ya mafisadi bungeni,ni mtego mwingine kwa serkali ya kikwete na wabunge wake baada ya ule wa kikwete kupita majimbon akiwanadi,wakimpitisha tu upinzani utapata agenda ya kuanzia ambayo hata wafadhili watawaunga mkono,wadau...
  12. M

    Elections 2010 Mbatia amepata funzo!!!

    Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r!
  13. M

    Elections 2010 Hongera vijana wa rock city

    Nani anabeza mguvu ya umma?niwapongeze mmepiga kura kwa fujo,na mmedai matokeo yenu na walipochelewesha ili wachakachue mkawaonyesha jinsi nguvu ya umma ilivyo,next time hawatarudia.....vijana sehm zingine amkeni mkomboe nchi
  14. M

    Elections 2010 Nimechukia sana......hii sio demokrasia tuitakayo

    Nikiwa njia kutoka mji mdogo wa katoro(busanda),ghafla wakati tunaaza kuingia gta mjini nje kidogo ya centre ya nyankumbu nikaona magari ya kampeni ya mgombea wa ccm yamesimama green gud wake wakimpiga mwendesha baiskeli kwa kumchangia eti amewaonyesha alama ya chadema,ni kitendo cha ajabu sana...
  15. M

    Elections 2010 Prof. Lipumba azimiwa umeme geita

    Tumesikia jinsi dr slaa alivyozimiwa umeme kule mbeya na rukwa,sasa leo ni zamu ya lipumba hapo geita,alipoingia tu asubui kufikia saa 5 umeme ukakatwa na wakazi wa geita leo watalala giza maana nackia lipumba atalala hapo.halafu hata dr slaa alipoingia geita jioni tar 12/09 umeme ulikatwa hadi...
  16. M

    Elections 2010 Mikoa ya kusini vipi hakuna wapiga kura?

    Tumeshuhudia kikwete(wengne wanatanguliza dr)baada ya kuanza kampeni kituo kilichofata mwanza,leo tena naona yupo mwanza kulikoni?dr slaa nae tumeona baada ya dsm mojawapo ya vituo vilivyofata ni kanda ya ziwa,hawa wagombea hawajaenda kusini kulikon?ina maana lipumba aliyekaa mwezi mikoa ya...
  17. M

    Elections 2010 CCM kuleta machafuko

    Kwa uchu wa madaraka unaonyeshwa na ccm na kauli mbiu yao ya ushindi lazima tutegemee machafuko baada ya 31oct. Mfano ktk jimbo la busanda kata ya rwamgaza hali si shwali maana ccm kwa kutumia kikosi kiitwacho greengud kinatumika kuwawinda wafuasi wa chadema na kuwapiga baada ya kuona upepo wa...
Back
Top Bottom