Search results

  1. G

    I am sorry mabinti wa kichagga

    All generalization are false including this one
  2. G

    P DIDY wa Maimatha afariki dunia

    binafsi nilifanikiwa kupita maeneo ya meeda nikawakuta wakongo flani wengi kweli wakimletea noma mtu mmoja ambaye sijui kama ndo marehemu au la wakidai malipo na yeye alimpigia mtu mwingine cm na kumwambia mbona ukufikisha hzo pesa bwana mpaka mimi nataka kupigwa, bas mimi nikaenda zangu asa...
  3. G

    Elections 2010 Wakili wa mdai wa Dr. Slaa ni mgombea udiwani wa CCM!

    huyo wakili ni mse......................................msela yani
  4. G

    Ukipokea simu unaweza kupoteza maisha(kufariki)

    sasa mi cmu yangu ni black kala, iyo rangi nyekundu itatoka wapi? afu uyo aliyepokea akafa alisema kabla ajafa kuwa "jamani nimepokea cmu yenye mionzi kwa hiyo nakufa sasa" alafu hakuna hyo huduma ya private namba kwa sasa kuanzia zoezi la kusajili cm lilipoanzishwa hapa nchini
  5. G

    Jamani huyu shemeji kaka nimsemee au nichune tu!

    Dada hakuna dhambi mbaya kama ukimkubalia huyo jamaa, kwani kama kaweza kukutongoza wewe na ni rafiki wa mke wake, una uhakika gani hatawatongoza pia rafiki zako utakaomtambulisha ukiwa kwenye mahusiano fedhuli na yeye?, alafu itamuuma sana rafiki yako kama anamwamini kiasi hicho jamaa ake...
  6. G

    JK kwa raha zake

    Angeyamaliza akiwa waziri wa mambo ya nje, haina haja ya kwenda ulaya ukaongea na watoto wadogo kama kina criss turker ni upuuzi na ufinyu wa fikra
  7. G

    Elections 2010 Kurudia uchaguzi ni gharama kuliko kuamua sahihi sasa!

    Jamani kama nilivyojitambulisha mimi nimgeni hapa nilipata tabu kidogo kuweka attachment ila naona nimefanikiwa ebu wasaidie na wengine kwa maoni yako maana pesa za kurudia uchaguzi bora watoto wasome bure hadi butimba na kigurunyembe wapewe mkopo
  8. G

    Elections 2010 Kurudia uchaguzi ni gharama kuliko kuamua sahihi sasa!

    Maoni mnayo ninyi, mi nisiwasemee!
  9. G

    Elections 2010 Kuna aliyeamini?

    Mwenye akili hawezi kuamini hata kidogo mwenyewe nilikuwa mshabiki mkubwa sana wa awamu ya nne lkn baada ya kuahidiwa maisha bora kwa kila mtu nakakata shauri, maisha bora yapi? kilimo kwanza kwa power tila mmeona wapi? au pesa ya epa kupelekwa kwenye mbolea, productivity imeongezeka kwa...
  10. G

    Kikwete: In Black And White

    ASANTE KWA HZO TAARIFA! HIYO, NI HALI AMBAYO WENGI WAMEIPITIA, MIMI NIKIWA MMOJA WAO, KUANZIA SHULE YA MSINGI NIMEKUWA KIONGOZI, TENA MWENYE MAFANIKIO NIKIONGOZA KUANZIA WANAFUNZI HADI KWENYE TAASISI ZA DINI SHULENI YAANI KUANZIA SHULE YA MSINGI, SEKONDARI NA SEKONDARI YA JUU, CHUO KIKUU NDO...
  11. G

    Elections 2010 Jamani Lyatonga Mrema kapatwa na ugonjwa gani?

    Huyu ktk viongozi wote wa siasa hapa nchini ndo **** wa mwisho sasa kama ccm wamefanya makubwa kwa nini asigombee vunjo kwa tiketi ya ccm, ckuwahi kumsikia akiongea point, hata pumba tu zimemshinda kuongea, anachoongea ni mvuke, anatafuta ktu cha kukumbukiwa maana naona amebakiza cku chache na...
  12. G

    Tuchague rais mzima

    Habarini ndugu zangu mimi ni mgeni kabisa jf
Back
Top Bottom