Search results

  1. BABA JUICE

    Wenye watoto tu

    Mwanamke mmoja wa Kihindi kaja kununua Huggies(pampers) size 4 ambayo ilikuwepo ilikuwa na Picha ya mtoto mweusi akakataa. Akasema sitaki hiyo, akaambiwa hiyo ndio size 4, akasema hakuna size 4 tofauti na hiyo, akaambiwa hakuna. Akasema apewe nyingine akapewa size 4+ ambayo ina Picha ya mtoto...
  2. BABA JUICE

    Nimeokota Gari Airtel!

    Hivi kumiliki gari maisha yanabadilika kweli...gari siyo Asset Leo unampa mama mtile gari aina ya IST unakuja unamuuliza je maisha yake yamebalika...kwanini usimpe million kumi aendeleze biashara..Kuna ulimbukeni kwa watu wengi kuona gari ni utajiri wakati biashara yako mtaji hata laki tano...
  3. BABA JUICE

    Ubia TBC na Star time

    Huu ni wizi kampuni mbovu ya kichina kushirikiana na shirika LA habari bovu matokeo yake ni huduma mbovu..unaangalia TV utazani unaangalia CD iliyowekwa kwenye maji..tutaibiwa hadi lini!
  4. BABA JUICE

    Mwanajeshi Wa Israeli akamatwa

    Hamas wanaenda tengeneza simu..aljazeera
  5. BABA JUICE

    James Mbatia ndani ya Dira ya Dunia

    Mbatia kahojiwa dira ya Dunia kasema ni haki yao kupata million 160 kwani wanafanya kazi sana. Toka million 60 hadi 160 ongezeko la asilimia 200. Je wabunge Wa chadema wanasemaje..hii itanivunja moyo kama watasupport ongezeko hili... Nitaona wote ni mangurue.
  6. BABA JUICE

    Kweli Arusha ni jiji?

    Mji Wa Arusha ni mchafu kupita kiasi manispaa wako wako wapi..lami imebadilika kuwa vumbi uchuuzi Wa biashara kila kona mamlaka husika hamlioni hili au tuwaelewe vipi..wasimamizi Wa usafi wako wapi..alama za parking zimefutika hadi wanaajiri MTU wao wakufuta vumbi kwenye lami..wamemuondoa mama...
  7. BABA JUICE

    Arusha the land of free

    Azimio la Arusha nia na madhumuni yake ilikuwa ni kuleta usawa Wa kiuchumi,kisiasa na kijamii ndg zangu kama azimio la Arusha lingekuwepo hadi Leo nchi hii ingekuwa mbali kimaendeleo na kusingekuwa na viongozi mafisadi..Sera hii ili asisiwa na wanaccm na hao ndio walioipindua wakaja na azimio la...
  8. BABA JUICE

    Soko la haraka haraka

    Miaka ya nyuma nikiwa kijana tulikuwa tunaenda kiwanda cha bia kuchukukua machicha ya ngano kwa sababu ya ng'ombe..siku hizi hakuna..naomba kujua kutoka kwa wataalamu je siku hizi bia hutengenezwa na Nini...au ndio chemicals kama soda..
  9. BABA JUICE

    Kuku wa kutaga

    ASHAKUM SI MATUSI...kwa kipindi hiki mi nawafananisha magamba na kuku wa kutaga kwani wanagusa kila mahali..sitaki kuwafundisha propanganda lakini mnachemka sana..kuna magamba wapo mitandoni kuichafua cdm lakini unakuta habari zao hazina mashiko kabisa..unajua cdm imekuwa kama imani na wanachama...
  10. BABA JUICE

    Sina mapungufu ya utanzania kama wewe

    Arusha kweliii....arusha juuuu..kwa mapenzi ya dhati naandika yalioo moyoni mwangu kwani nimekwazika na baadhi ya watu wanaoiponda arusha kisa inongozwa na chadema. Kipindi arusha inaongozwa na ccm huu mji ulikuwa unasifika sana na viongozi wa serikali pamoja na mataifa mbali mbali hadi ukaitwa...
  11. BABA JUICE

    Akili haitoki darasani

    Akili yangu huwa na jazba kwani mara nyingi nakutana na habari za kutia hasira na zenye upotoshaji wa hali ya juu na huwa natamani niandike coment za kashfa lakini nafikiria alafu naona haina maana.Mara nyingi nimekuwa nikisoma comment za watu na huwa najiuliza hivi unakaa unaandika comment ya...
  12. BABA JUICE

    Usaliti wenye manufaa

    Namshukuru mungu kwa kipindi hiki kwani imetuonyesha nani ni wakweli katika chama. Usalitii wa bwana zitto umeonyesha katika chama kuna watu ambao huwafuata watu na si itikadi ya chama na ukombozi wa taifa hili kutoka katika mikono ya wabinafsi,wezi na wasiojali utaifa na raslimali za taifa...
  13. BABA JUICE

    Uwanja wetu wa ccm

    Leo nimesoma habari kuhusu baadhi ya viwanja vyetu kufungiwa kwasababu tofauti tofauti...mi naomba nizungumzie kiwanja cha sheikh amri abeid arusha..hichi kiwanja tunajua kipo mikokononi mwa ccm..kitu kikubwa nikwamba uwanja huu umezungukwa na maduka ambayo yanalipa kodi,lakini hali ya uwanjaa...
  14. BABA JUICE

    Pombe kupigwa marufuku kwa aina hii

    Jana kwenye taarifa ya habari kuna mwanaharaki mmoja alisema serikali ipige marufuku uuzwaji wa pombe kwani inamaliza jamii yetu...sikubaliani nae lakini....Kwa uchunguzi nilioufunya nimegundua pombe huuzwa kila mahali upitapo tena bila kibali maalumu kutoka kwenye taasisi husika.unakuta mtu...
  15. BABA JUICE

    John terry full case

    https://www.box.com/s/2a75d0fcf61bf9c27981
  16. BABA JUICE

    Tigo na biashara ya photocopy

    Leo nimeenda mlimani city nilikuwa na tatizo na tigo pesa..line nimesajili lakini kufika pale nikaambiwa nitoe kitambulisho changu copy hapo hapo ndani kuna photocopy mashine na copy ni tsh 500. Nikawauliza hii ni ohotocopy ya ofisi au ni biashara ya mtu binafsi... Kwa ofisi zingine ukienda...
  17. BABA JUICE

    Where is the next president in this photo...

    hawa wote waganga njaa true leader are not there
  18. BABA JUICE

    Vampire diarie season 3 free download,how

    Please if you have a link help....i want to download this
  19. BABA JUICE

    huu ni udanganyifu..

    kwa fani yangu ya pictorial observation and analysis,millard ayo,anawadanganya watanzania walio wengi, ameandika kwamba hii ni mbezi chini! wewe mwanajamii unaonaje
Back
Top Bottom