Search results

  1. Lukansola

    Naomba kujuzwa dawa ya kuondoa mtoto wa Jicho bila upasuaji

    Nakupataje, namba yangu ni 0718 607 403, nina tatizo la mtoto wa jicho hilo, naomba nijibunkwa namba hiyo maana siingii jamii forums mara kwa mara
  2. Lukansola

    New Habari 2006 Ltd washindwa kufikia muafaka na wafanyakazi 51 katika Tume ya Usuluhishi wa migogoro kazini (CMA)

    Jamiiforums mnashusha hadhi yenu, kwanini mlifuta hii story? Mnajua shida tunazopiita na familia zetu kwa kunyimwa haki zetu?
  3. Lukansola

    Nina mtaji wa sh million 6 ambayo mpaka sasa sijajua exactly ni biashara gani nifanye

    Fanya online forex Trading, mtaji wa kutosha kabisa huo, tunza pesa yako jifunze kwanza and you will thank me later
  4. Lukansola

    Uzi maalum wa kutupia biashara yoyote ya kijasiriamali unayofanya au uliwahi kufanya

    Bitclub Advantage ni kampuni ya online Investment, unawekeza pesa yako unapata returns (faida) wao wanafanya biashara ya cryptocurrency yaani kununua na kuuza sarafu za kidigitali, hii inahitani moyo wa chuma lakini maana wabongo wengi wanaogopa biashara za mitandao (online) na hata wengine...
  5. Lukansola

    Uzi maalum wa kutupia biashara yoyote ya kijasiriamali unayofanya au uliwahi kufanya

    Natumia Social Media, na zaidi kazi zenyewe zinajitangaza mana graphics ni kazi ya kuonekana, wateja wangu pia wananitangaza, kwa Bitclub Advantage natumia Social Groups kuhamasisha watu, thanks
  6. Lukansola

    Uzi maalum wa kutupia biashara yoyote ya kijasiriamali unayofanya au uliwahi kufanya

    Mimi nafanya graphic design na pia nimewekeza na Bitclub Advantage (online investment)
  7. Lukansola

    Bitclub advantage

    Umekariri kiongozi fursa hii ni real, kama kuna yeyote anashawishika lakini Ana doubt njoo pm nikupe somo, mnaziachia fursa kizembe kwa kusikiliza walio nje ya game come to me
  8. Lukansola

    Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

    Safi sana usikatishwe tamaa na mtu yeyote, fanya ambacho moyo wako unakwambia, utafanikiwa piga kazi kijana
  9. Lukansola

    Ipi bora: pole kwa kazi au hongera kwa kazi

    Kama kafanya vizuri mpe hongera, kama kaboronga pole inamuhusu haha
  10. Lukansola

    Bitclub advantage

    Ni kweli na wala si utapeli, ni fursa nzuri kabisa ya kuwekeza, mimi ni member, kwa maelekezo zaidi njoo PM ibanga
  11. Lukansola

    Ufahamu zaidi kuhusu "bitclub", je ni utapeli mwingine?

    kwahiyo wewe pesa zako unakabidhi wanawake tu? au sijakuelewa ati
  12. Lukansola

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Unaweza kuanza hata na 10,000 tzs, ask me if you are interested
  13. Lukansola

    Bitclub advantage

    Umekariri bro, I am getting paid
  14. Lukansola

    Ufahamu zaidi kuhusu "bitclub", je ni utapeli mwingine?

    I am getting paid, I am getting money I mean me, kama wewe unaogopa achana nayo but am getting paid
  15. Lukansola

    Bitclub advantage

    nimeona thanks
  16. Lukansola

    Bitclub advantage

    nitumie namba mkuu, hongera kwa kuthubutu, tuma namba
  17. Lukansola

    Bitclub advantage

    ni rahis ukiwa kwenye hiyo group maana huku kuna maswali na majibu yote kuhusu kitu hii
  18. Lukansola

    Bitclub advantage

    Ipo group naweza kukuunga huko utapata kila inachotaka kujua kutoka kwa watu waliomo, then utajipimia mwenyewe
Back
Top Bottom