Search results

  1. terrell

    Wadada warembo, mambo safi wa mjini Dar

    Kweli kabisa halafu wala si wazuri kihivyo
  2. terrell

    Wenzetu wamezidi-Watumiaji punguzeni

  3. terrell

    Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    Upu wapi wewe jamii itawachukuliaje kipi kibaya walichofanya? tutaendelea kuburuzwa na hiki chama cha Mazimwi ( CCM) mpk lini?
  4. terrell

    Bunge kuwaka moto, Kambi Rasmi ya Upinzani Kufutwa?

    Hapa ndiyo tunapata jibu kuwa CCM hawaiwezi Chadema kwa hoja. Wako wengi na wanajua kutiana ujinga, wanapata kutambua kuwa yote haya wananchi tunayaona
  5. terrell

    Du...Hata kamanda Mwema asingependa watu waone hii...

    Inaweza ikawa ni Elimu na njaa
  6. terrell

    Tukiwaita majambazi watakataa

    Wana jf hivi hawa mgambo wa ccm tukisema walitaka kupora hili gari tunakosea. Mwangalia huyo mmoja alivyokuwa anapiga kioo kwa kiganja. Pakilipuka hapa hawa ndiyo wa kuanza nao
  7. terrell

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Hii amri imetoka huku Dar, kama kamanda wa police mkoa wa Arusha aliweza kuruhusu maandamano na mkutano jana ilikuwaje ibadilishwe ghafla. Mwema na bosi wako likichafuka tutawauliza nyie
  8. terrell

    Paja la aunt ezekiel..

    Hana utamu amechacha tayari huyu
  9. terrell

    JK na Dogo Janja

    Kesho na mie lazima niende
  10. terrell

    JK na Dogo Janja

    Urais sasa umekuwa maonyesho ya Vinyago nadhani
  11. terrell

    Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

    Usishuhudie uongo
  12. terrell

    Viongozi wauziana mashangingi kwa 300,000/-

    • YAMO MAGARI YA WAHISANI YALIYOTOLEWA KAMA MSAADA na Betty Kangonga WAKATI serikali ikitamba kwamba imejipanga kudhibiti matumizi, baadhi ya vigogo katika wizara na idara mbalimbali wamekuwa wakiuziwa mashangingi ya serikali kwa bei ya sh 300,000 hadi sh milioni mbili, Tanzania Daima...
  13. terrell

    Alaa! Kumbe wamiliki wa DOWANS ndo hawa!?

    Nadhani wengi tuliolipitia MwanaHalisi leo kwa umakini zaidi jibu tumelipata.Ukurasa wa pili alitupa fumbo kidogo, lkn kwenye ukurasa wa 10 na 11 akaona isiwe tabu mbona wanafahamika. AKAWAPULIZA kila mmoja katika pozi lake
  14. terrell

    Manji apewa saa 48 Kuhama Quality Plaza

    Wala tusimcheke jamaa hapa ndivyo tunaona akili za watu waliopo kwenye position kadhaa. Watu wanapigwa na viyoyozi na kukaa kwenye kiti vya helikopta wakati huo huo mshikaji anatumia udhaifu wao ku-make MONEY
  15. terrell

    Maisha ya Ndoa (mahusiano) ya Wanasiasa wa Tanzania

    Wandugu wanaJF Mimi nilikuwa msomaji kipenzi sana cha magazeti ya serikali hasa Daily News lakini tangu huyu mdudu wa njaa za waandishi wa habari kwenye kipindi hiki cha kampeni kianze nimeamua kuliweka kando. Yatupasa tufahamu kuwa huyu mdudu kaingia kwenye vyombo vyote vinavyotegemea kodi za...
  16. terrell

    Aliyefungwa kwa baraghashia yu huru

    Siyo kwamba hatuna umoja hivi kila mwenye dini yake aking'ang'ania vazi lake mahakamani kutaeleweka kweli. Embu ndugu zangu niwaulize baraghashia si kofia? Isitoshe kuna kuna sheria imetamka kuhusu kutoruhusu uvaaji wa kofia mahakamani. Kuna ya muhimu jamani ya kuweka mgomo kimaendeleo
  17. terrell

    Tuchague rais mzima

    Mficha uchi hazai natumaini iko siku maradhi yanayofichwa yatajulikana tu
  18. terrell

    Maaskofu wasusia mwaliko wa JK

    Mmmh! Jamaa anajaribu kila njia aonekane ni mtiifu kaumia safari hii.
  19. terrell

    Maisha ya Ndoa (mahusiano) ya Wanasiasa wa Tanzania

    Makamba kajichokea jamani tumsamehe tu.
Back
Top Bottom