Search results

  1. benzemah

    Msiingize vidole ukeni, mtapata saratani – Mratibu Afya Zuhura Mbuguni

    KUNAWA kwa kuingiza vidole sehemu za uke, kujifukiza na matumizi ya bidhaa mbali mbali ikiwemo asali kuwekwa ukeni, wapenzi wengi, kujamiiana katika umri mdogo, maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kumetajwa kusababisha ongezeko kubwa la saratani ya kizazi. Tafiti zinaonesha kuwa wale...
  2. benzemah

    Rais Samia Atoa Bil 2.4 Malipo ya Wafanyakazi wa Urafiki

    CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), kimeipongeza Serikali kwa kutoa sh. bilioni 2.4 za malipo ya wanachama wao waliokuwa wanafanya kazi katika Kiwanda cha Nguo Urafiki ambapo madai yao yamedumu kwa kipindi cha miaka 10. Mball na serkali kutoa...
  3. benzemah

    Benki ya Dunia Yaipa Tanzania Trilioni 2.8

    Bodi ya Wakurugenzi ya Watendaji wa Benki ya Dunia kupitia ufadhili wa Sera yake ya Maendeleo (DPF) imeidhinishia Tanzania Dola za Marekani milioni 750 (Sh trilioni 1.9) kwa ajili ya kusaidia sekta binafsi. Pia imeiidhinishia Tanzania Dola za Marekani milioni 385 (Sh bilioni 964.3) kwa ajili...
  4. benzemah

    Taasisi Ipi ya Serikali Imefanya Vizuri Zaidi na Ipi Imefanya Vibaya Zaidi Mwaka 2023

    Mwaka 2023 ndio hivyo unazidi kuyoyoma taratibu. Kwa maoni yako, mwaka huu 2023 ni taasisi ipi ya Serikali imefanya kazi inayostahili pongezi, kwa maana kuwa imefanya vizuri zaidi Na ipi imefanya vibaya zaidi ya nyingine zote. Tufunguke hapa
  5. benzemah

    Ni Msemo gani Umebamba Sana Mitaani Mwaka Huu 2023

    Kumekuwa na misemo mingi sana iliyotamba na kushika umaarufu mitaani kwetu. Wanajamvi tukumbushane hapa misemo iliyojipatia umaarufu nchini katika mwaka huu wa 2023 ambao umebakiza siku chache utamatike.
  6. benzemah

    TANZIA Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, Joseph Pande Afariki Dunia, Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi

    Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan "Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni...
  7. benzemah

    Rais Samia Afanya Mazungumzo na Chama cha Wabunifu Wachanga "Tanzania Startup Association"

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Tanzania Startup Association (TSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza pamoja na Wajumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
  8. benzemah

    Walimu Wamchangia Rais Samia Hela ya Fomu Kugombea Urais 2025

    UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
  9. benzemah

    Siku 14 Kutumika Kugawa Vitambulisho vya Taifa

    Unahitaji kitambulisho kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) na una namba pekee? basi mamlaka hiyo imeanza kugawa vitambulisho milioni 18.6 kwa Watanzania wenye namba, kazi itakayofanyika kwa siku 14. Ugawaji wa vitambulisho hivyo, utahusisha wananchi katika mikoa saba ya...
  10. benzemah

    Rais Samia Aapisha Viongozi Aliowateua Hivi Karibuni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  11. benzemah

    Wenza wa Viongozi wawashika mkono Waathirika wa mafuriko Hanang

    Umoja wa Wenza wa viongozi "New Millenium Women Group" wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ilivyokabiliana mafuriko yaliyosabisha maporomoko ya tope kutoka Mlima Hanang, Mkoani Manyara. Akizungumza na waathirika katika kambi iliyopo...
  12. benzemah

    Watanzania Watakiwa Kuanza Kujiandaa Fursa SGR

    MOROGORO; Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), Augustine Vuma ametoa rai kwa watanzania kuwa wajiandae kuanza kutumia fursa mbalimbali za kiuchumi mara baada ya Treni ya Kisasa kuanzaia mapema 2024. Vuma ametoa rai hiyo wakati wa ziara ya wajumbe...
  13. benzemah

    Kidato cha Kwanza 2024 Kuanza Kusoma Mtaala Mpya

    Utekelezaji wa Mtaala mpya kuanza Januari 2024 Mnamo tarehe 02 Novemba 2023, Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa(Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alitoa taarifa rasmi juu ya kuidhinishwa kwa Sera ya Elimu na Mafunzo 2014, Toleo la 2023 na Mitaala ya Elimu Ngazi ya Elimu ya Awali...
  14. benzemah

    Umeme Maporomoko ya Rusumo Wafikia Asilimia 99.9

    NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo wa megawati 80 unaotekelezwa kwa pamoja na nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi umefikia asilimia 99.9 na nchi hizo tayari zimeanza kupata umeme kutoka kwenye mradi huo. Dkt. Biteko...
  15. benzemah

    Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  16. benzemah

    Kamati Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti Samia yaridhia Daniel Chongolo kujiuzulu Ukatibu Mkuu

    Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo tarehe 29 Novemba, 2023 Jijini Dar es salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kimeridhia kujiuzulu kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa...
  17. benzemah

    Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  18. benzemah

    Rais Samia Aongoza Kikao Halmashauri ya CCM Taifa, Ikulu DSM Leo Novemba 29, 2023

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
  19. benzemah

    Rais Samia atuma Salamu za Rambirambi kufuatia vifo vya watu 15 ajali ya Gari mkoani Lindi. Atoa Maagizo

    Ameandika Rais Samia Suluhu kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. "Nawapa pole wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika ajali ya basi iliyotokea eneo la Mtama mkoani Lindi na kusababisha vifo vya watu 15. Mwenyezi Mungu awe faraja kwetu sote, awarehemu ndugu zetu hawa...
Back
Top Bottom