Search results

  1. Shidende

    Siku Television zetu(TZ) zikifikia hatua hii!(PICHA)

    Future impossible tense........!!
  2. Shidende

    MwanaHALISI laibukia MSETO...

    Nilisikia wahariri wanataka kuandamana kupinga kufungia Mwanaharisi!vipi walifanikiwa au ndio taarifa za kiintelejensia on system?
  3. Shidende

    Walio itwa kwenye usaili wa Uhamiaji.,

    Mwenye kuweza kuweka hapa hayo majina atusaidie wengine hatuwezi kupata hilo gazeti kutokana na mazingira tuliyopo!
  4. Shidende

    James Mbatia na Siasa za maji-taka

    <br /> <br /> kesho atahutubia kwenye ufunguz wa maonesho ya nanenane hotuba atakayotoa itacomprise na ya mwisho wa mwez wa july
  5. Shidende

    Kikwete apokelewa kwa mabango na bendera za upinzani!

    <br /> <br /> mkuu kwan yeye si ana mikono miwil au?
  6. Shidende

    Kikwete ni muongo nilikuwa sijui

    Akija hapa Nepi sorry Nape utasikia mlimtafsir vibaya JK hakusema hvyo.... Teh Teh Teh siasa za maj taka hizi
  7. Shidende

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Uhuru wa kutoa MAONI....
  8. Shidende

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Hii ndio Tanganyika maneno na matamko kibao mara hili mara lile!! Ushuzi mtupu mara mgao wa umeme utakuwa hadithi mara ifikapo sijui lini!! Ngeleja anakula raha na totoz clab sijui kwa kuwa wao kwao haukatiki na hata ukikatika wa vyanzo mmbadala !! Kiama chao chaja
  9. Shidende

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Mtu makini siku zote huishi kwa yale aaminiyo na milele husimamia yale aaminiyo kuwa ni suruhisho kwa wengi..! Maneno matupu bila vitendo ni sawa na gar bila dereva..! Bravo CDM weng tupo nyuma yenu....!
  10. Shidende

    Cheki huyu msanii.....!!!!!

    Teeeh!Teeeeh!Teeeeeh!
  11. Shidende

    MTANZANIA: CCM mnahangaika na Lowassa, CHADEMA wanachanja mbunga!

    Mwandishi alvyo aanza article yake nilijisikia raha ya kuisoma nilpoendelea nilihis karaha tupu...! Nyumba nzur ya ghorofa ndan choo cha shimo....
  12. Shidende

    Nape Vs Mnyika; Nani zaidi?

    Ndugu yangu naomba kwanza umtake radhi mbunge wetu mh J.John Mnyika kwa kumlinganisha na Nape kwani ni sawa na kuifananisha BUS na BAJAJI
  13. Shidende

    Ze komedi...

    kuwa namba moja kwa muda haishindikani,ila kuwa namba moja milele haiwezekani hasa ukiwa huna plan madhubiti za ku-maintain status yako! Kifo chao cha usanii kipo mlango unaofuata....
  14. Shidende

    Mchungaji mwivi!

    Duuuuuh! hiii kitu ya ukweli sana
  15. Shidende

    Mukama amponda Dr. Slaa Asema ni mchanga katika Duru za Siasa, Chadema ni hodari kusema Uongo

    Napendekeza waandaliwe mdahalo wa wazi kati ya Slaa na Mukama,tujue nani mchanga kwenye siasa Yaaah itafahamika mbichi na mbivu
  16. Shidende

    Muitaliano na Changu wa kibongo

    equation balance no comment!!
  17. Shidende

    Sikubaliani na Sababu za kusitisha Muswada!

    ukishapewa tu cheo ccm ni lazima uwe mropokaji!ndicho anacho prove Nape...!
  18. Shidende

    Chadema ndio chama cha upinzani

    Waswahili husema "MTI WENYE MATUNDA SIKU ZOTE HURUSHIWA MAWE"
  19. Shidende

    Chadema wapanga kutarisha mandanono ya nchi nzima Dar.

    Habari siielewi ndivyo kikao kilivyokuwa kwa maana kuandaa maandamano ilikuwa Agenda au hilo ni wazo la mwaandishi?? Mbona kama ni uzushi huo??
Back
Top Bottom