Search results

  1. TandaleOne

    Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    This is all you can say, got no any fact to refute the presented..?
  2. TandaleOne

    Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    It's unfortunate kuwa Vijana wengi wa upinzani hawawezi kuwaza nje ya kile wanachoelezwa na wakubwa zao kuwa nendeni kasemeni hivi ama kamtukane fulani.
  3. TandaleOne

    Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Baada ya uliyoyaandika naomba nikuulize, unamjua Rais wasasa..? anatokea wapi na ni wa chama gani..?
  4. TandaleOne

    Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Kama ambavyo umeshauri nikaangalie RsTV nami nimeshakueleza kuwa nilichokiona ni hicho na wapa hauhitaji RsTV kuprove. Just let ur brain work na jibu utalipata.
  5. TandaleOne

    Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Unaweza kutaja wasanii watatu ambao walikuwepo jana?
  6. TandaleOne

    Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    U can call it anything, the fact will always remains as FACT.. !
  7. TandaleOne

    Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    TAKWIMU HAZIDANGANYI Kwa kawaida Kisiwa cha Pemba limekuwa chini ya himaya ya Maalim Seif kwa muda mrefu, mara zote kura za Pemba zimekuwa ni kura za uhakika kwa Maalim, kwa kifupi Pemba ilikuwa ni Ngome ya Maalim Seif, ukweli huu kwasasa umebadilika. Mapokezi ya Dkt Mwinyi jana yamekuja na...
  8. TandaleOne

    Uchaguzi 2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

    Ni kama ambavyo wakati wote nimesisitiza kuwa Uchaguzi ni maarifa, mipango na akili, hakuna kitu kina guarantee ushindi katika mpambano wa kisiasa kama kuchanga karata zako vyema, na kwa kuitazama CCM chama changu, ni wazi kuwa Viongozi wake na Mgombea mwenyewe amejipanga vyema sana. Leo...
  9. TandaleOne

    Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Bashiru Ally mchana wa leo ametoa maelekezo kwa wagombea wa Ubunge kubaki katika maeneo yao ya jimbo na kufuata maelekezo na taratibu zilizopangwa na Kamati za Siasa za Wilaya husika. Katibu Mkuu amewataka wabunge kuzingatia ratiba za Tume ya Taifa ya...
  10. TandaleOne

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Katika Thread yake ya tarehe 24 February 2016, Ndugu Juliana Shonza aliandika Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! akitaja sababu kadhaa za kwanini anadhani mbowe HAFAI kuwa Kiongozi si kwa chama chake tu bali popote pale Tanzania. Nilitafakari juu ya fikra zake hizo na kwa kweli baada ya...
  11. TandaleOne

    Uchaguzi 2020 Kampeni ni mipango, mikakati na akili, CHADEMA wamepungukiwa na vyote

    Kwanini msubiri baada ya siku chache msianze kuzisambaza leo, inaweza kuwasaidia kujipatia umaarufu na kupigiwa kura...anzeni leo msije kuchelewa.
  12. TandaleOne

    Uchaguzi 2020 Kampeni ni mipango, mikakati na akili, CHADEMA wamepungukiwa na vyote

    Tangu kuanza kwa Kampeni nimekuwa nikifuatilia timu za Kampeni za Chama Cha Mapinduzi na zile za Upinzani, ukifuatilia utaona tofauti kubwa zinazodhihirisha uwezo mkubwa na maarifa ya kupanga na kuratibu mikakati ya ushindi kwa upande wa Chama Cha Mapinduzi na UPUNGUFU MKUBWA wa mikakati na...
  13. TandaleOne

    ITIKADI ni imani; Membe amepotoka na amefanya uamuzi wa kijinga

    Naomba tukujue na wewe...jiweke open basi.
  14. TandaleOne

    ITIKADI ni imani; Membe amepotoka na amefanya uamuzi wa kijinga

    With a burning passion and unlimited enthusiasm is how a leader approached all problems of life.
Back
Top Bottom