Search results

  1. M

    Dell Inspiron 1545 battery

    Ndugu Natafuta betri genuine, original na mpya ya inspiron 1545 kwa haraka aliyenayo nipigie 0754626616.
  2. M

    Print Picha na Epson L850 mbadala wa Epson PX660

    Ndugu toleo jipya la Epson L850 lina sifa kama za Epson Px660 wino wa nje,scanner,copier, printer, wino wa nje wa kumimina, ubora wa picha wa hali ya juu. Bei ni 1.4m tu. Wahi zipo chache ni mpyaaaa. 0754/0784 626616 kwa maelezo zaidi. Tupo Arusha
  3. M

    Ting decoder na dish lake nahitaji

    Ndugu natafuta king'amuzi cha Ting na dish lake tafadhali. 0754626616 nipo Arusha.
  4. M

    Natafuta wino wa Xerox Workcentre Pro 428 copier

    Salaam Natafuta toner/wino wa Xerox WorkCentre Pro 428 photocopy machine ambao part number yake ni 113R00634. Ukiipata nipate kwa namba 0754626616 Arusha.
  5. M

    Epson L210 Printer Mpyaa na mitungi ya wino nje

    Jipatie Epson L210 Printer Mpya kwa bei poa. Wino ni wa nje, Ina scanner, copier na printer hapo hapo. Kwa maelezo zaidi na bei ni PM au piga 0754626616. Karibuni ipo Arusha na utatumiwa popote ulipo. http://www.epson.eu/ix/en/viewcon/corporatesite/products/mainunits/specs/11797
  6. M

    Epson L210 Mpyaa

    Epson L210 mpaya ina scanner, copier na printer ila kikubwa zaidi inatumia wino wa nje. Ajabu pevu ni bei yake poa ni laki 5 tu. Ni PM kwa maswali na jinsi ya kuipata nipo Arusha. Picha pia inaprint.
  7. M

    Nashuatec/ricoh, kyocera spare parts na toner bei poaaaaaa !!!!!!!

    Unahitaji spea za Nachuatec/ Ricoh, Kyocera photocopy machine na wino (toner) wake wasiliana nasi kwa namba 0784626616 kwa bei poa kabisa. Ni GENUINE, ORIGINAL parts. Epukana na bei za kutisha BMTL. Taja model ya mashine yako, kifaa na part number. Karibuni.
  8. M

    Epson L300 na Epson L210 bei poa karibuni

    Piga 0784/0754 626616 kwa maelezo zaidi. Karibu.
  9. M

    Epson Printer A3 paper size Inauzwa wahi!!!!!

    Epson WorkForce 7515 printer, Inauzwa ni Printer, Copier, Scanner, Fax, Wireless yani Wi-Fi, Network port, card reader, Ina print A3 paper size na A4 kawaida, print picha lab quality inatumia wino wa nje yani Continous Inking System CISS wahi sasa inafaa hata kwa studio ni PM au piga 0754626616...
  10. M

    Print Picha Ubora wa Hali ya Juu kwa biashara pia umepata.

    Jipatie HP Photosmart C7280 kwa bei poa, Ina print picha zenye ubora wa hali ya juu kwa kutumia wino wa nje hvyo faida kwako ni 99.9%. Ni pm au piga simu 0754626616 kwa maelezo zaidi tupo Arusha kaloleni ila popote ulipo itakufikia Tanzania.
  11. M

    Epson Printer Bei Poa

    Jipatie Epson printer mpyaa na wino wa nje kwa shilingi 300,000 tu. Print picha, documents zako bila hofu ya gharama za wino. Nipo Arusha ila mzigo utakufikia popote ulipo. Piga 0784626616 kwa maelezo zaidi.
  12. M

    Epson Printer Bei Poa

    Jipatie Epson printer iliyounganishwa na wino wa nje kwa sh. 300,000/= wahi kabla mzigo haujaisha. Print picha na documents za rangi bila hofu ya gharama za wino.
Back
Top Bottom