Search results

  1. M

    John Mnyika, asante kwa utapeli huu

    Duu Babeli kumbe mnyika alikuwa anakusanya kodi usituambie bwana. Rais hakuahidi maji,umeme vitakuwa historia miaka kumi iliyopita leo hii vp na kodi kakusanya. Tunapomlaumu mbunge tena wa upinzani kidogo tutumie akili ya kuzaliwa. Angekuwa waziri je si ungemmeza mbunge wa watu. Mnyika hata...
  2. M

    CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

    Mimi ni mhandisi mke wangu mwanasayansi baba yangu mtaalam wa hesabu mama yangu mtaalam wa anga tupo wote chadema. Unasemaje, na tumetoboa ushahidi tar 25 oct2015.
  3. M

    Msaada wa SPARE part ya CANON iR5870Ci touch screen

    Hebu sema hasa unahitaji kifaa gani?
  4. M

    Fundi Tally Printers anahitajika haraka

    Cmfahamu kwakweli cjaishi dar kabisa.
  5. M

    TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

    Natafuta philips kuanzia 47" smart.
  6. M

    Jipatie Display za iPhone 5

    Nitapata iphone 5 nipe bei. simu sio kioo.
  7. M

    Fundi Tally Printers anahitajika haraka

    Nipo Arusha 0784626616
  8. M

    Dell Inspiron 1545 battery

    Ndugu Natafuta betri genuine, original na mpya ya inspiron 1545 kwa haraka aliyenayo nipigie 0754626616.
  9. M

    Muungano wa Ukawa, CUF, NCCR Mageuzi, NLD, kukosa wabunge wa viti maalumu

    Ndo kitakuwa chama tawala watajua namna ya kugawa ruzuku kwa wenzake mtihani upo kwa upinzani ccm huenda wabunge wasizidi kumi.
  10. M

    Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

    Kwa hiyo licence kuuzwa malaysia jamaa asinunue Sony au? Licence haiuzwi kampuni ndo inauzwa ukizungumzia licence ni kampuni au kiwanda fulani kilichopo malaysia kinapewa kibali cha kutengeneza bidhaa za kampuni husika kwa ubora uleule badala ya sony kwenda malaysia na kuanzisha kiwanda kipya...
  11. M

    Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

    Sony ni magwiji wa electronics kwa miongo kadhaa ni kampuni ya Japan na ubora wa vifaa vyake hauna mashaka, samsung na Lg ni wakorea wako kibiashara zaidi. Mwonekano wa nje Sansung na Lg hawajambo ila ndani kwenye PCB kitaalam ni Sony baba lao.
  12. M

    Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

    Ndugu zangu watanzania hata mjitetee vp Tz Tupo nyuma kimaendeleo na tunarudishwa nyuma kwa sera hii mpya kwa kitendo cha kutojua kiingereza no more no less atakayepinga ampeleke mwanae hzo za kata majibu atayapata ukubwani.Nenda Muhimbili niambie ni kifaa kipi kinachotoa maelekezo kwa...
  13. M

    Nahitaji maboksi ya aina yake, kiwanda cha maboksi kipo wapi hapa Tanzania?

    Box Pack ltd kipo arusha na wanafanya printing pia.
  14. M

    CHADEMA is falling apart-wazee wa chama ndio wa kulaumiwa

    Kumbe shida yako ni chama? Nilidhani tishio kwako ni wanachama? October 2015 utajua UKAWA ni chama au sio chama.
  15. M

    CHADEMA is falling apart-wazee wa chama ndio wa kulaumiwa

    Tatizo liko wapi CHADEMA kinakufa UKAWA kinaimarika. Kweli common sense is not common to all.
  16. M

    Natafuta A3 Printer

    Ipo ya 1.3m piga 0784626616.
  17. M

    Katibu Mkuu Kinana, ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

    Ukweli ni kwamba mikutano yote mkoa wa arusha usafiri ilikuwa bure unapewa na fulana na elfu 30 juu anaebisha aje akanushe. Usa-River watu wamebebwa kwa malori na fuso kupelekwa mkutanoni.
  18. M

    Print Picha na Epson L850 mbadala wa Epson PX660

    Ndugu toleo jipya la Epson L850 lina sifa kama za Epson Px660 wino wa nje,scanner,copier, printer, wino wa nje wa kumimina, ubora wa picha wa hali ya juu. Bei ni 1.4m tu. Wahi zipo chache ni mpyaaaa. 0754/0784 626616 kwa maelezo zaidi. Tupo Arusha
  19. M

    Tusahau ya kampuni ya NICOL, hii ndio biashara itakayotutoa sisi watanzania

    ndugu mimi mwenyewe ni muathirika wa nicol pesa yangu nyingi cjui hatima yake hvy nikiona mmada kama hizi pamoja na uzuri wake najua ni yaleyale ya nicol kwani nao walikuja na maneno matamu hivihivi ila lipo swala pia la uelewa mdogo kwa wengi wetu tuliomo humu. Hatuelewi hii miradi mara mutual...
  20. M

    Sony bravia LED inch 32 inauzwa

    Kaka upo wapi mimi nipo arusha, je box lake lipo mana ntaisafirisha kwenda mikoani.
Back
Top Bottom