Search results

  1. Jumanne Mwita

    Ilikuchukua muda gani mpaka kuunganishiwa Umeme na Tanesco?

    Mtaa ninamoishi una makazi mengi sana, tena watu hujenga kama vile wamavamia, ila ukweli ni kwamba watu wamejenga, siyo siri. Nikifikiria siku ninunua hapa, miji haikuwepo kabisa. Ilikuwa ni wazi, unaweza sema kwamba uwezekano wa watu kuja eneo lile haukuwepo, au isingechukua muda mfupi wawe...
  2. Jumanne Mwita

    Kupitia Mapambano ya Maisha kuna muda unasema vita nimevipiga ila ndio hivyo

    Maranyingi kama mtu unakaa mahali tulivu na kufikiria. Unajitathmini mwenyewe na kulinganisha maisha yako sasa na miaka 1/2 au zaidi iliyopita. Unagundua kuna vizuizi vingi mno umeshindana navyo au umeviondoa kwenye maisha yako na unajipa pongezi. Motisha ya kuendelea kupambana na maisha...
  3. Jumanne Mwita

    Katika makuzi yangu nilimisi sana malezi ya baba ila hakujali kuhusu sisi

    Katika makuzi yangu nilipitia safari ambayo sikupendezwa nayo na leo ningeomba ni share pamoja na wengine wajue siyo vizuri pia kama nao wako hivyo. Kipekee maisha yangu ya ukuaji nilikuwa bila mapenzi ya baba ilikuwa changamoto kubwa kwangu. Ingawa baba alikuwepo kimwili, hakuwa karibu nasi...
  4. Jumanne Mwita

    Tafuta marafiki wapya na wa ukweli kutoka nje ya eneo ulilopo

    Tafuta Marafiki wa Ukweli - Nje ya Eneo unapoishi. Habari JamiiForums Ninafurahi kutafuta marafiki wa ukweli kupitia mtandao huu wa Jamii Forums. Mimi naitwa Jumanne, ninaishi Katoro lakini pia nawakaribisha wale ambao wako nje ya Katoro. Nina hamu ya kujenga urafiki na watu wapya...
  5. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Katika maisha yangu nachotaka kusema mimi na urafiki na mwanamke haupo hata kama unajifanya mimi ni rafiki yako ntafanya niwezalo nikukosee maana mafahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Wapo wanaoweza ila Kwa upande wangu siwezi kama nilikutongoza ukasema hapana tuwe marafiki hapo ndio imeisha...
  6. Jumanne Mwita

    Binadamu kukumbushana

    Binadamu kukumbushana. Usije kuweka simu mfuko uliouwekea Hela. Weka na kingine tuendelee kukumbushana
  7. Jumanne Mwita

    Hakuna dawa ya kumroga mtu? maana nishaibiwa tayari na ujanja wangu huu

    Kufanya biashara mtandaoni ni riski kubwa sana pia nawahurumua watu wanaotegemea kufanya biashara mtandaoni maana kadiri mambo yanavyobadilika hamna mtu ataamini vitu vya online ingawa ingekuwa inatumika ipaswavyo ingerahisisha zaidi kwa kuokoa muda na usalama pia. Ila kadri siku vinavyosonga...
  8. Jumanne Mwita

    Uzoefu wa kuagiza bidhaa Amazon

    Habarini! Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon anipe ikimpendeza hata na CARGO wa Tanzania wa uhakika. Karibuni jamani mnipe moja mbili na mimi
  9. Jumanne Mwita

    Hata kama unajua ni muhimu kujikumbushia nakuletea - basic driving test

    BASIC DRIVING TEST 1. Taja makundi ya alama za barabarani 2. Taja maeneo ambayo dereva haruhusiwi kuegesha gari 3. Chora mchoro wa alama ya onyo/Tahadhari ikionyesha watu wenye mtindio wa akili wapo eneo hili. 4. Taja matumizi ya taa za barabarani pia eleza kazi ya kila rangi ya...
  10. Jumanne Mwita

    Hawa wabunge sio wazalendo. Dodoma hili jambo lingepitishwa haraka

    Yaani hii ndio ingekuwa ni Tanzania pale Dodoma saa hii viti vilikuwa vinaumia kwa makofi maana ni swala ambalo wangesema tumechelewa sana 😅 Tanzania Ila Tanzania muda mwingine unawaza kwanini haya mavituko yanafanyika kwenye mamlaka zetu nyeti kiasi kwamba hawaoni aibu hata chembe 😂
  11. Jumanne Mwita

    Morogoro: Mke adaiwa kula njama za kumuua mumewe ili aolewe na mwanaume mwingine

    Polisi mkoani Morogoro inamshikilia mwanamke anayetuhumiwa kula njama na kushiriki kumuua mumewe ili akaolewe na mwanaume mwingine kwa madai ya kutangaza dau kwa atakayetekeleza mauaji hayo kwa nia ya kupata uhuru wa kutimiza malengo yake ya kuolewa. Chanzo: Azam TV JESHI la Polisi Mkoa wa...
  12. Jumanne Mwita

    Tusiamini sana rafiki na ndugu

    Hili neno litunze kuna siku litakusaidia na utajua kwanini imekuwa hivyo. Kuna Bro mmoja aliweka plan zote za kufanya Biashara na rafiki yake wa karibu mno, kuna siku jamaa anapanga kufata Pesa Bank (Million 100), ili waongezee kwenye shughuli zao sasa huku nyuma rafiki yake anawapanga...
  13. Jumanne Mwita

    Haya maisha wakati mwingine ni bahati na privilege tu

    Kama hard work, I cab tell you kuna watu wanafanya kazi sana, tena kwa bidii na nidhamu ya hali ya juu, lakini wanaishia kuishi a normal life. Sometimes nahisi such people deserve better kuliko wengi wetu. Unaweza ukawa unafanya bidii sana katika kazi au kutafuta maisha mazuri ila katika njia...
  14. Jumanne Mwita

    Mambo yanayotukwamisha vijana ni haya

    Haya ni mambo ambayo yanatufanya vijana tusiaminike. Historia za familia zetu Tabia zetu Mitazamo yetu. Haya matatu yanaweza kukwamisha maisha yako yote bila wewe kujua.
  15. Jumanne Mwita

    Leo nataka niwape kisa kimoja hivi kinanihusu mimi

    Mwaka 2018 hadi 2019 tulikuwa na kampuni, by share mimi nikiwa na share ya 40% wengine wawili 30% Picha linaanzia Bukoba mwaka 2019 mwezi February nilimfungulia wife biashara sokoni ya kuuza nafaka aina zote pamoja na mafuta n.k. Sasa mimi nikaendelea na mishe zangu za hapa na pale ili...
  16. Jumanne Mwita

    Dada mmoja kalipiwa ada mafunzo ya ushonaji na mume wake alivyojua katoka na mwalimu wake

    Kuna huyu dada (anawatoto wawili japo mdogo), kalipiwa ada ya mafunzo ya ushonaji na mume wake, kajifunza mpaka akajua. Picha linaanza mwalimu wake akawa anamegua kama wife, kibosi. Haikuishia hapo mwanamke maelewano na mume wake yakawa ya kuunga unga baada ya kuanza kushika pesa. Hapa naweka...
  17. Jumanne Mwita

    Natamani kuandika Kitabu cha maisha yangu kama yupo Mwandishi wa Vitabu au Mwanafasihi

    Habari kwa muda sasa nimekuwa na kiu ya kuandika kitabu changu, ila kulingana na muda nashindwa kufanya kazi hii. Nilihitaji mwanafasihi anisaidie tutayajenga kulingana na makubaliano ambayo yatafikiwa. Nilianza kuandika kitabu sasa inafikia muda naona kama nilichoandika kama nimechanganya...
  18. Jumanne Mwita

    Mtu yeyote anaejiona kuwa yeye yupo salama kuliko wengine ajiulize yupo salama kiasi gani?

    Ukiangalia kwa makini utagundua kuna shida kubwa sana kwa vijana wenye kuamini kuwa wapo karibu zaidi na watawala. Huwa wanaamini wana uhuru kushinda wangine na kuwa wapo salama hata kwa kumshambulia yeyote bila kujali kesho yao. Haya ni maoni yangu na wewe unaweza kuwa na maoni yako...
  19. Jumanne Mwita

    Masikini amekuwa na salamu yake ya kipekee

    Salamu ya maskini imeisha tafsiriwa kama ni kuomba omba msaada, Kwahiyo jitahidi sana kufanya kazi kwa bidii ili ujimudu kiuchumi ili Watu wasikukwepe.
  20. Jumanne Mwita

    Watoto wa marehemu wanavyoringia msiba vijijini

    Hudhuria misiba ya matajiri ambayo mazishi yanafanyika vijijini uone watoto wa marehemu wanavyoringia msiba. Unamsalimia yupo na simu tu, salamu ni za kuzuga, ukimuita kujuana undugu wala hasikilizi, anatembea kwa kudunda na maringo lengo ni kujitofautisha na ndugu waliopo kijijini.
Back
Top Bottom