Search results

  1. Jumanne Mwita

    Kupitia Mapambano ya Maisha kuna muda unasema vita nimevipiga ila ndio hivyo

    Maranyingi kama mtu unakaa mahali tulivu na kufikiria. Unajitathmini mwenyewe na kulinganisha maisha yako sasa na miaka 1/2 au zaidi iliyopita. Unagundua kuna vizuizi vingi mno umeshindana navyo au umeviondoa kwenye maisha yako na unajipa pongezi. Motisha ya kuendelea kupambana na maisha...
  2. Jumanne Mwita

    Tafuta marafiki wapya na wa ukweli kutoka nje ya eneo ulilopo

    Kule hapana aisee mi mkongwe sana uko 😁
  3. Jumanne Mwita

    Binadamu kukumbushana

    Niliwahi kutumbukia kwenye shimo kisa kuchati barabarani sitasahau hii
  4. Jumanne Mwita

    Katika makuzi yangu nilimisi sana malezi ya baba ila hakujali kuhusu sisi

    Ndio ninafamilia na watoto 3 na wote nawapenda 🥰
  5. Jumanne Mwita

    Katika makuzi yangu nilimisi sana malezi ya baba ila hakujali kuhusu sisi

    Simlaum kwa sasa ila najaribu kuweka stori hii kama kumbukumbu kuwa ukiwa na familia basi jali familia hata kama maisha yako siyo mazuri upendo utakaouonyesha hata kama hujiwezi utasaidia sana kwa kizazi chako kukumbuka zaidi na zaidi.
  6. Jumanne Mwita

    Katika makuzi yangu nilimisi sana malezi ya baba ila hakujali kuhusu sisi

    Katika makuzi yangu nilipitia safari ambayo sikupendezwa nayo na leo ningeomba ni share pamoja na wengine wajue siyo vizuri pia kama nao wako hivyo. Kipekee maisha yangu ya ukuaji nilikuwa bila mapenzi ya baba ilikuwa changamoto kubwa kwangu. Ingawa baba alikuwepo kimwili, hakuwa karibu nasi...
  7. Jumanne Mwita

    Tafuta marafiki wapya na wa ukweli kutoka nje ya eneo ulilopo

    Tafuta Marafiki wa Ukweli - Nje ya Eneo unapoishi. Habari JamiiForums Ninafurahi kutafuta marafiki wa ukweli kupitia mtandao huu wa Jamii Forums. Mimi naitwa Jumanne, ninaishi Katoro lakini pia nawakaribisha wale ambao wako nje ya Katoro. Nina hamu ya kujenga urafiki na watu wapya...
  8. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Ndio nafahamu mkuu sema nimewasilisha kama kutoa mfano kwamba "hatuwezi kuwa na mfanano wa pamoja wakati tuko tofauti huku nikijua kabisa wewe siyo ndugu yangu lazima nikukosee heshima nitakufanya unione mbaya ili niwe salama kwa tamaa yangu
  9. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Ni sahihi ila ukweli utabakia pale pale kwamba rafiki wakike na kiumbe hawawezi kukwa pamoja bila kuombana mechi
  10. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Nimemaanisha kuwa hatuwezi kufanana kama wote ni wakiume wakati ni jinsia mbili tofauti uvumilivu utaisha nitakuomba mzigo hapo kunakuwa na urafiki! Au
  11. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Tulia wewe 😁😁 tuunge unge maisha yaende 😃
  12. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Mimi sina uwezo wa kustahimili kuwa na rafiki wa kike halafu nisimtongoze so nachofanya sina kabisa rafiki wa kike na sitaki😀😀😀😀
  13. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Hapana mkuu 😁😁 umeninukuu vibaya kitu nachokwepa ni Wanaume wengi tunakaza moyo tu pale tunakua na marafiki wa kike kwamba naweza chomekea urafiki ukapotea ila kamwe usianze kuchomekea nitakukula tu 😂😂akunaga urafika wa mkate na chai 🙌🙌
  14. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Kwa mujibu wa Wanasaikolojia Binadamu yoyote hawezi kuwa na Urafiki wa kawaida tuu kwa Jinsia tofauti yaani Mwanamke na Mwanaume.
  15. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Nimezungumza kabla kwamba ni kwanini siendani na urafiki wa mwanamke na mwanaume kuna muda mazoea yatazidi nitamwomba mchezo
  16. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Ni sahihi ila siyo rafiki mkuu, nitatafuta mtu ambae sina urafiki nae
  17. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Katika maisha yangu nachotaka kusema mimi na urafiki na mwanamke haupo hata kama unajifanya mimi ni rafiki yako ntafanya niwezalo nikukosee maana mafahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Wapo wanaoweza ila Kwa upande wangu siwezi kama nilikutongoza ukasema hapana tuwe marafiki hapo ndio imeisha...
Back
Top Bottom