Search results

  1. swissme

    Wanawake wa CHADEMA Geita wakisherehekea Siku ya Wanawake

    Jana WANAWAKE WA GEITA baada ya kusherekea sikuku yao. Hapo ni karibu na kwa Muheshimiwa Jiwe Check out @UpendoPeneza’s Tweet: Check out @UpendoPeneza’s Tweet: SWISSME
  2. swissme

    Magufuli awataka kina mama kutembea kifua mbele

    Rais wa Rwanda Paul Kagame leo 08 Machi, 2019 amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 2 hapa nchini na kurejea nchini kwake, ambapo hapo jana alifanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mara baada ya kuagana na mgeni...
  3. swissme

    Tusaidie hapa vitambulisho hapo hapo ushukuru wamama wa Arusha wagoma

    wafanyabiashara wadogo mkoani Arusha wakikataa kutoa ushuru baada ya kupewa vitambulisho vilivyotolewa na Rais Wafanyabiashara hao wamesema hawawezi kununua kitambulisho, bado waendelee kulipishwa ushuru, bora waende gerezani. Kweli serikali inawaumiza wafanya biashara za chinga Jiwe zako...
  4. swissme

    Huyu kama sio kichaa ni nani?

    SWISSME
Back
Top Bottom