Search results

  1. T

    Mwanza ni ya kwanza kwa usafi lakini.....

    Waport. Kuna kibarabara kinapanda juu kuanzia hapo green view kuelekea maeneo ya Mkudi, mara ya mwisho kukaona kalikuwa very rough, then wakaja kuweka makaravat kwa quotations za juu sana. kanaendeleaje?
  2. T

    Slaa ameshafika Marekani?

    We Jamaa unamambo ya Kike kweli kweli
  3. T

    Life after Death: What happens after death?

    Max, Unajiita a bond servant of Jesus and you do not have an answer for this? Kama ambavyo Bwana na Mwokozi wako, au your Master Jesus Christ alivyokufa na kisha akafufuka, ndiyo itakavyokuwa kwako pia. Kama utakufa kabla Hajarudi, basi you will be resurrected when he comes back. Yes, Na kwa...
  4. T

    Baba wa Taifa hakumtendea haki Kikwete, Ndio maana tuko hapa tulipo?

    Inamaana kama jinsi alivyokimbia Jeshini ndio vivyo hivyo anaendelea kukimbia majukumu yake kwa Kusafiri kila siku.
  5. T

    Mbona Ethics Classes Hazifundishwi ktk Vyuo Vya Kikiristo TZ?

    wewe ulifundishwa kwenu? hemu tumegee kidogo. Naona kama tunakimbilia kumponda huyu jamaa kwa haraka sana. Jamaa anaweza akawa na point (ipo) ila anaipresent vibaya. Kabla sijamtetea, anaweza akatutajia vyuo ambavyo si vya kikatoriki na vinafundisha hizo ethics anazozisema yeye? atupe na...
  6. T

    Nyerere: why we guard agains't subversion

    Sawa sawa. Hapo alikuwa anadeal na their hidden agenda.
  7. T

    Unakaribishwa Miaka 50 ya Peace Corps Washington DC: Mgeni Rasmi Kikwete

    Hivi Hamna Namna tunaweza tukafanya na kuwa Jimbo la Marekani Hata kwa mazingaombwe kama ya Tanzania Bara na Zanzibar?
  8. T

    Unakaribishwa Miaka 50 ya Peace Corps Washington DC: Mgeni Rasmi Kikwete

    Mwanakijiji. Naomba utuangalizie huko kama huyu Jamaa ameishapewa GREEN CARD huko US. Kuna kitu nataka kupropose urgently to my Nation. Naomba confirmation ya hili urgently. Waiting to hear from you soonest
  9. T

    WENJE MB(CHADEMA) kunguruma LEO MWANZA

    Mimi ni mdau mkubwa sana wa Jiji la Mwanza, naomba utuwekee hapa agreed action points ya vikao/mikutano iliyopita na sisi tuchangie
  10. T

    Ilikuwa ni njama au?

    Zoezi linaendelea na sababu hasa za kuhitajika kwa viparata hivyo hazina tatizo lolote lile labda kama kuna watu waliona opportunity ya kitu chochote katika practice hiyo. Hapa nilipo kuna huduma za western union, ukija na kiparata chako tunakitoa copy, na tunakihandle kama internal document...
  11. T

    Mambo ambayo hayajamalizika chini ya utawala wa JK

    Hizi ni baadhi tu ya issues ambazo bado hazijakamilika mpaka sasa. 1. Wizi wa EPA (Rostamu, Manji, CCM) kushughulikiwa 2. Report Uchakachuaji wa Kura za DR, 2010 Election 3. Sheria ya kusimamia mchakato wa Katiba mpya. 4. Kesi tulizoahidiwa na Bosi wa Takukuru. 5. Ushahidi wa Lema kwa kumuita...
  12. T

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Hivi kwa nini mtu anaweza akasema kitu ambacho yeye mwenyewe anaamini kabisa hakiwezekani kufanyika. au ni maandalizi ya baadaye kusema "sinilisema"?
  13. T

    Manji ajaribu kujisafisha Kashfa ya Kagoda; ajichongea!

    Tunataka kutoa Mti na Mizizi yake kaka
  14. T

    Who Recruited Kikwete and what did they see in him and when?

    Nchii yetu, ni nchi isiyo na utamaduni wala imani moja. ni diversity hii ndio chanzo cha matatizo yetu mengi, likiwemo hili la kufikia hatua ya kuwa na Rais Kama huyu. Nadhani hata approach ya Mwalimu ya kupambana na ubaguzi wa Rangi, Dini, na ukabila ilikuwa na kasoro ambazo inatulazimu...
  15. T

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Unamaanisha kusema nini "CUF na CHADEMA". Mbona mnataka kumuonea CHADEMA katika kila jambo aisee. CUF na CCM ni kitu kimoja, wako against CHADEMA sasa kwa nini unapindua pindua maneno? au unataka kuchanganya watu?
  16. T

    Picha: Chadema warudisha fomu Igunga

    Unamaanisha nini unaposema "Milele"? Mbona unatumia rugha zinazokufunua na kuonyesha ubongo wako ulivyo mtupu? Unaelewa Maaana ya Milele?
  17. T

    Sugu ni Jiwe la MSINGI!

    Kama na wewe huwa unajiaminisha kwamba quality ya mindset yako intokana na kufaulu kwako vizuri form four, basi sintarudia kufikilia kwamba hiyo ni sababu ya quality ya mind yangu tena asilani. .
  18. T

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Lakini yeye Mwenyewe aliishasema hayuko tayari kuwa rais kwa kumwaga damu. ndio maana hata alipopokwa ushindi na Mrisho alikaa kimya. wewe hii piga ua unaitoa wapi?
Back
Top Bottom