Search results

  1. makedonia

    Kesho tarehe 17

    Kesho kutakuwa na hasara ya magazeti kununuliwa pamoja na vipindi vya michezo maana nchi ina majonzi, ni MBUMBUMBU pekee ndio wenye furaha.
  2. makedonia

    Kiwanja kinahitajika Bunju Shule

    Waungwana Naomba kujua bei ya kiwanja kinachotosha nyumba ya kawaida tu ya vyumba vitatu na kuwe na nafasi ya ka-garden na parking na kiwe maeneo ya hapo barabarani katika eneo hilo la kanisa katoliki na shule. Natanguliza shukrani.
  3. makedonia

    Natafuta kiwanja eneo la bunju shule

    Waungwana..naomba kujua bei ya kiwanja cha kawaida cha kujenga nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu eneo la bunju shule karibu na barabarani karibu na kabisa la roma hapo....natanguliza shukrani.
  4. makedonia

    Camera zitegwe usawa wa kona za uwanja hasa eneo la pitch,kwenye vibendera kuelekea golini nyuzi 90

    Pengine camera zitegwe usawa wa kona za uwanja hasa eneo la pitch,kwenye vibendera kuelekea golini nyuzi 90,inaweza kusaidia warefa wetu kujua kama ni goli ama vinginevyo maana sasa hata timu ikishinda maneno hayaishi.
  5. makedonia

    Salaleeeh....SIMBWA NI AIBU YA MWAKA

    Goli la kwanza[emoji15] {WAHEDA}....mbumbumbu wakasema "wametangulia tu"... la pili {ASHARA}...mambumbumbu yakajipa moyo tena"tumejisahau tu"...la tatu {THARATHA}...maboya yakasema "hiyo penati hatuihesabu wamebebwa"...la nne {ARBA}...nyoro zikawapwita...la tano {GHAMSA}...mambulura yakavunja...
  6. makedonia

    Simba wanatafutana huko kongo.

    mikia wanaulizana huko....kama makambo ni vile...huku je kuna makambo wangapi???.....poleni mikia maana hata komba anao Sent using Jamii Forums mobile app
  7. makedonia

    AZAM TV msaada tafadhari.

    Jana nimelipia kifurushi cha azam cha sh 23,000\= na channel zilifunguka vizuri..lakini leo asubuhi inaonesha kadi haiko sawa..nimewapigia kwa namba niliyoitoa kwenye screen wanasema nitoe kadi niifute kwa kitambaa laini lakini wapi...anayejua hii ni nini tupeane msaada tafadhari Sent using...
  8. makedonia

    Asante Azam kwa kuifunga Simba

    asante AZAM,usiku huu nchi yetu pendwa imetulia tuliiiiiiii.
  9. makedonia

    MAGU HATA AFANYEYEJE sitaipenda CCM....

    Rais ni anafukia mapengo ila li ccm Noooooooo.
  10. makedonia

    SMS za TBC

    Waungwana naomba msaada....jinsi ya kujiondoa ili TBC wasinitumie tens hizo SMS zao....maana kila mara ni zinaingia....inaboa sana
  11. makedonia

    Kuiondoa TBC kwenye King'amuzi cha startimes

    Waungwana....linawekana hili?...maana naona roho yangu haina amani kabisa....
  12. makedonia

    GPRS kwenye gari

    Anayeujua huu utaratibu wa kufunga kitufe kwenye gari ili kukontroo ruti zote anisaidie kunielewesha vizuri.......faida na hasara zake......nataka niitumie sehemu
  13. makedonia

    Cda

    Mamlaka iliyofeli kwa kila kitu hapa Dodoma,tangu 1973-2014...,I mean kwa miaka 41 imejitanua na kupanga hicho kimji kwa miaka hiyo yote kwa kilometa za mraba 16 tu?,kama kitu kimefeli kifutwe na uangaliwe ustaarabu mwingine kwa ustawi wa huu mji.karibuni wana Dodoma...
  14. makedonia

    kuku mgeni hakosi......

    Waungwana hodi hodi humu!!...
Back
Top Bottom