Search results

  1. eli moon

    Ushauri: Kanipiga na mkoba wake akaniumiza alafu ananiomba msamaha

    Mi wakati unaendelea kushangaa ningekufwata taratibu na kukwambia baby wakati unashangaa nimekutana na ex wangu kanipa namba yake mpya
  2. eli moon

    Ushauri: Kanipiga na mkoba wake akaniumiza alafu ananiomba msamaha

    Khaa we ni mafia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. eli moon

    Nilivyofanya bonge la sherehe baada ya mke wangu kufukuzwa kazi

    Nilipoanza kusoma kichwa cha habari,nikakuona mwehu,lakini kumbe sherehe ilikuwa halali yako kufanya!unajua kuna kinadada ukikutana naye saluni tu matumizi yake hadi unajiuliza maswali,mara mtu kapitisha pochi sh 50000 nipe,mara kiatu laki yumo,mara pafyumu laki na nusu yumo,bili ya saluni...
  4. eli moon

    Wanawake kiukweli mnavumilia sana kwa hili

    Ndo habari ya mujini sasa,tena vijana sk hz afadhali ya hao wazee
  5. eli moon

    Wali wa nazi

    Ni binzari nyembamba
  6. eli moon

    Nataka Mechi Daily

    Nakutamani!
  7. eli moon

    Diamond kila anapogusa moto

    Lakini miss Tz fulani alisema jamani tatizo kaIQ,unajua hata ukiwa na kipaji gani ukiwa na hako katatizo ka IQ utatumika sana,unless uajiri meneja alie vizuri kwenye hiyo sekta!
  8. eli moon

    Diamond kila anapogusa moto

    'Zamwamwa'umenikumbusha mbali ha ha ha
  9. eli moon

    Tunauza simple za kike bei kuanzia elfu 4,000 hadi 6,000

    Nifah katika ubora wake,thanx!
  10. eli moon

    Tunauza simple za kike bei kuanzia elfu 4,000 hadi 6,000

    Naomba nipm namba zake dada nifah nifanye nae biashara tafadhali.
  11. eli moon

    Tunauza simple za kike bei kuanzia elfu 4,000 hadi 6,000

    Thanx kwa taarifa maana nimempm naona kimyaaaa...
  12. eli moon

    Tunauza simple za kike bei kuanzia elfu 4,000 hadi 6,000

    Dada nifah mmepata viatu jamani?
  13. eli moon

    Tunauza simple za kike bei kuanzia elfu 4,000 hadi 6,000

    Na sisi wa mikoani inakuwaje nimevimind sana nipe muongozo spade4spade.
  14. eli moon

    Tunauza simple za kike bei kuanzia elfu 4,000 hadi 6,000

    Basi maliza mchanganuo urudi huku jamani tuanze kuagiza mzigo.
  15. eli moon

    Wadada kuweni wasafi jamani!

    **** hainukagi,ikinuka maana yake inaumwa ugonjwa wa zinaa.
Back
Top Bottom