Search results

  1. W

    Simba kama kweli mnania nzuri mwacheni

    tumisikia kauli ya ramadhani singano na maelezo ya bwana mkubwa Zakaria hans pope kuna figisufigisu. kama mnania nzuri kwa wachezaji wa kibongo mwacheni aende anakotaka kama nje au tunasikia anaenda azam. ikiwa mtamng'ang'ania atacheza kinyonge atashindwa kucheza mpira eti mchezaji akivunja...
  2. W

    Simba sport club ipo kuwakomoa wachezaji

    ukifatilia baadhi ya wachezaji wanavyolalamika kwa jinsi wanavyofanyia na viongozi wao utasikitika wachezaji wazawa wanalipwa mshahara kidogo malipo ya nyumba ya kuishi wanaahidiwa hawapewi wanaofaidi simba ni wachezaji wa kigeni ndio wanapewa nyumba wakidai haki wanakaripiwa wanatishwa...
  3. W

    Soma maelezo ya singano inasikitisha

    kwa kweli maelezo ya ramadhani singano mesi kuhusu utata wa mkataba wake na simba inasikitisha sana kwanza anaishi kwenye skwata amenyimwa pacent yake kiujumla mkataba viongozi wa simba wamefoji wala simba wasikatae ila namshauri mesi japo simba wanamwita asiende wakutane mahakama ya fifa tff...
  4. W

    Naomba kuwauliza wabunge wa majimbo

    kinachonishangaza ni kwanini wabunge wote wanaishi dar es slaam badala ya kuwepo kwenye majimbo yao. sisi wapiga kura unapokuwa na shida unakuta ofisi zao zimefungwa. naitaka serikali inayohusika na wabunge watunge sheria ya wabunge kuwepo kwenye majimbo yao. na hata vikao vya cancel hawapo...
  5. W

    Timu ya simba haina ofisi

    nashangaa timu ya simba inapomsajili mchezaji lazima wasaini kwa bwana mkubwa hans pope ofisini kwake badala ya ofisi ya klabu ya simba kama wanavyofanya timu ya Yanga usajili saini wanasaini klabuni mbele ya katibu wa yanga
  6. W

    TFF itoe onyo kwa viwanja vya mikoani

    kama kweli tff inataka ligi iwe bora msimu ujao itoe agizo leo viwanja vitengenezwe sanjari ya vyumba vya kupumzikia timu na vikaguliwe mara kwa mara sio mnaksa ofisini mkila viyoyozi na kama hawawezi kutengeneza viwanja piga marufuku ligi kuchezwa huko ili iwe fundisho
  7. W

    Tanzania kuna watu wa ajabu sana

    kuna mhadhiri mmoja anaitwa john musita anachozungumza kwenye azamtv kipindi cha morning ni uchochezi mazungumzo yake mfano burundi waasi kusalim amri naona limemkera sana. hii jamii haitajiki hapa tanzania ni kuwaogopa kama ukoma
  8. W

    Yanga kutoshiriki Kagame Cup?

    Kuna habari kuwa kombe la Kagame Yanga hatoshiriki. Madai kwa namna moja mwaka jana aliwakataa yanga kutoshiriki baada ya hapo alitoa maneno makali sana na kuifedhuri yeye musonye anafikiri yanga ni timu ya binasfi hii timu ni ya wananchi wa tanzania na isitoshe mashindano hayo hayana manufaa...
  9. W

    Umeme kushuka bei mwezi June?

    Kwa upatikanaji wa gesi serikali waliahidi mwezi wa sita mwaka huu watashusha bei ya umeme, Je! Hii ni kweli? au ilikiwa kiburudisho maana hatusikii au kuona dalili
  10. W

    Tatizo la mitaro kuziba ni uzembe wa viongozi wa mtaa

    wenyeviti wa mtaa wanafanya nini kwenye mitaa yao ya kutosimamia mitaa yao usafi na utupaji taka hovyo. kuna vifaini vingi kwenye ofisi hizo wanashindwa vipi kukarabati mitaro hiyo? wananchi na viongozi wao wa mtaa ni hovyo kabisa wanapata matatizo wanasubiri tv zije ziwarekodi na kumtaka...
  11. W

    Kagame Cup a.k.a Bonanza la Msonye

    naamini uongozi uliomakini wa yanga watumie sheria na kanuni za mashindano za fifa zinazo elekeza kama cecafa hawana utaratibu wa kushiriki wasishiriki kabisa wasiburuzwe na dikteta musonye wache acheze yeye na tenga wake. na yanga asiposhiriki cecafa wamekwisha lazima musonye akomeshwe kama...
  12. W

    Umiliki wa stand uwe chini wa wenye mabasi

    ukifatilia malalamiko ya madereva hayana mpangilio asilimia 40 ya madereva wanamikataba hapo ubungo kumejaa majungu tu ila naamini wamiliki wa mabasi wakimiliki hiyo standi hata wanaojifanya wapiga debe wataondolewa
  13. W

    Wiliam lukuvi kichwa chapa kazi mbunge wangu

    jamani mbunge waziri wa ardhi mbunge wangu wa jimbo la isimani nakupongeza kwa kupambana na manyang"au wazurumati wa ardhi katika wizara hii miaka yote toka nchi hii imepata uhuru haijapata waziri kama lukuvi nakutakia heri katika kazi zako
  14. W

    Uwongo wa cecafa bonanza cup huu hapa

    kwa maelezo yasiyo kweli eti nchi inayoandaa mashindano ya cecafa inagharamikia na chama hicho si kweli kama ni kweli pelekeni zanzibar kagame cup kama mnazo hizo hela. na kama mnazo mbona hatuoni mkiandaa mashindano ya vijana?
  15. W

    Uwongo wa cecafa bonanza cup huu hapa

    kwa maelezo yasiyo kweli eti nchi inayoandaa mashindano ya cecafa inagharamikiwa na chama hicho si kweli kama ni kweli pelekeni zanzibar kagame cup kama mnazo hizo hela. na kama mnazo mbona hatuoni mkiandaa mashindano ya vijana?
  16. W

    Bunge lisionyeshwe live

    wananchi tumechoka wala haina haja kuonyeshwa moja kwa moja live bunge kwenye television wabunge wamekuwa karaha wenye upeo mdogo mbunge anayebwabwaja bungeni bila mafanikio jimboni kwake. malipo ya television ni bora yakasaidia wananchi tunaokosa huduma ya maji na michangoza maabara
  17. W

    TFF hamstahili kusamehewa ushuru vya vifaa vya michezo

    Nasema hivyo itakuwaje muandae Kagame Cup aka bonanza la Musonye ilihali muandaaji atafute wadhamini mnashindwa kutafuta watu wa kuwasaidia kulipa ushuru? Kwanza huo uwanja wa kaitaba ni uwanja wa ukoo wa malinzi au mnaleta mambo ya kisiasa.na mdio mnaitwa TANZANIA FITINA FEDERESHENI (TFF)
  18. W

    Nawapongeza cha mpira cha Rwanda kukataa kuandaa bonanza la musonye

    ni watu wameona mbali kukataa mashindano ya kombe la afrika mashariki kwa timu za taifa kukataa kuandaa mashindano hayo tunangoja majibu ya TFF kama wao watakubali kuandaa kagame cup kama walivyoombwa na mosonye japo yeye alidai kama tff wameshakubali. cha ajabu eti nchi inayoaandaa itafute...
  19. W

    Yanga yaweza kuukosa ubingwa

    uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa. dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo. kibaya zaidi inacheza na timu zinazoshuka daraja na za kati.zile za kati zinapigiwa debe na timu zakutaka kuwa bingwa au nafasi ya...
  20. W

    Oda kwa Yanga kutoshiriki bonanza la Kagame

    kama viongozi wa yanga wana akili ya kiuongozi mashindano ya bonanza ya cecafa kagame cup wasishiriki japo yanafanyika hapa nchini. mwaka jana walitaka kupeleka timu ya vijana musonye alikataa na kutoa maneno makali na vitisho kwa maana hiyo anaitaka yanga kwa nguvu hii timu si ya cecafa ni ya...
Back
Top Bottom