Search results

  1. W

    Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

    demokrasia ipo ccm kwingine ni ufalme. ruksaaaa kila mwenye uwezo atangaze nia
  2. W

    Msaada wa ujenzi

    maelekezo yake ni marefu inataka kuelekeza kwa vitendo mwinuko upi
  3. W

    Star TV mmepotosha watazamaji wenu

    startv hawajui wasemayo. Obama si mwislamu baba ndio mwisilam uisilam unasema ukizaliwa nje ya ndoa utafata dini ya mama
  4. W

    Siogopi Lowassa kuwa rais bali naogopa genge lake!

    halafu cha kushangaza kila alieengulia kwa tuhuma katika serikali hii yupo kwa lowasa mfano tibaijuka
  5. W

    Tulifurika uwanjani kujua utata kuhusu RICHMOND, si kwamba tunampenda Lowassa

    hata sisi tulio mbali kwa kuangalia kwenye luninga tulikuwa tunasuiri kusikia tamko la richimond
  6. W

    Migogoro ya kiuongozi wa Toto Africa ya kipumbavu

    shauri yao watakuwa wa kupanda daraja na kushuka wataitia aibu jiji la mwanza usajili ndio unaanza
  7. W

    Kuhusu idadi ya wachezaji wa kimataifa, najiuliza hili

    safari hii ni kumi acha watano tatizo wabongo wanapocheza mechi za kimataifa wanapanic hawatulii
  8. W

    Waarabu wana nguvu Iringa

    wewe muongo waarabu wanayao na wahehe wana yao wapo kila mmoja anamuheshimu mwenzie
  9. W

    Nimeanza kuamini kauli ya Dr. Watson kuwa ana Wasiwasi na Akili ya Mtu Mweusi

    mm nahau za kiswahili zimenipiga chenga kuna tofauti gani kati ya kuishi kwa matumaini na safari ya matumaini
  10. W

    Najaribu kuwaza endapo Lowassa ataikosa nafasi ya kuiwakilisha CCM!

    nilikuwa nangojea ajisafishe kuhusu kashfa ya richmond sikumsikia
  11. W

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    kiujumla mkutano wote awe lowasa awe gwajima na watu wote wa dini wapambe washereheshaji wote nawapa alama ya "X"
  12. W

    Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    ni tv yenye ubia na tv moja ya uingereza ni ITV
  13. W

    Wana UKAWA walivyo kifungoni kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu!

    kwani unafikiri ukawa kuna watu wapo kutukana hawana lolote na wameshaelezwa "SUMU HAIONJWI"
  14. W

    Simba kama kweli mnania nzuri mwacheni

    tumisikia kauli ya ramadhani singano na maelezo ya bwana mkubwa Zakaria hans pope kuna figisufigisu. kama mnania nzuri kwa wachezaji wa kibongo mwacheni aende anakotaka kama nje au tunasikia anaenda azam. ikiwa mtamng'ang'ania atacheza kinyonge atashindwa kucheza mpira eti mchezaji akivunja...
  15. W

    Simba sport club ipo kuwakomoa wachezaji

    ukifatilia baadhi ya wachezaji wanavyolalamika kwa jinsi wanavyofanyia na viongozi wao utasikitika wachezaji wazawa wanalipwa mshahara kidogo malipo ya nyumba ya kuishi wanaahidiwa hawapewi wanaofaidi simba ni wachezaji wa kigeni ndio wanapewa nyumba wakidai haki wanakaripiwa wanatishwa...
  16. W

    Lowassa ni elimu, cheki vipaumbele kabambe vya Dk. Slaa

    hata mumpambe vipi lowasa mwende mkanywe chai sisi tunampa alama x
  17. W

    Soma maelezo ya singano inasikitisha

    kwa kweli maelezo ya ramadhani singano mesi kuhusu utata wa mkataba wake na simba inasikitisha sana kwanza anaishi kwenye skwata amenyimwa pacent yake kiujumla mkataba viongozi wa simba wamefoji wala simba wasikatae ila namshauri mesi japo simba wanamwita asiende wakutane mahakama ya fifa tff...
  18. W

    Naomba kuwauliza wabunge wa majimbo

    kinachonishangaza ni kwanini wabunge wote wanaishi dar es slaam badala ya kuwepo kwenye majimbo yao. sisi wapiga kura unapokuwa na shida unakuta ofisi zao zimefungwa. naitaka serikali inayohusika na wabunge watunge sheria ya wabunge kuwepo kwenye majimbo yao. na hata vikao vya cancel hawapo...
  19. W

    Lowassa ni binaadamu. Kwanini iwe ajabu akiugua?!

    sio akiugua ni mgonjwa
Back
Top Bottom