Search results

  1. J

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    Wewe ndio wa ajabu kweli,naona majibu unayo hukutakiwa hata kupoteza muda wako kuandika haya..
  2. J

    Raia Mwema hatarini kufungiwa makala 'kila awamu ina rekodi ya kuua', mtego kwa JK

    QUOTE=Mzizi wa Mbuyu;3583122]Mimi nikifikri zaidi na zaidi....... Wala makala hii si sababu, sababu ni Ulimwengu. Siku hizi ameanza kurusha makombora ya hapa na pale kwa JK, mengine yanaonekana kama kumdharirisha kabisa kwa mfano hivi karibuni aliandika kuwa raisi wa sasa ni kama anaomba Mungu...
  3. J

    Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

    Huo ndio ukweli wenyewe
  4. J

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Mwakyembe leo ndio ilikuwa siku ya kuweka hadharani vile viporo vya Richmond. Na kesho unarudi tena India kwenye matibabu na hatujui kama utarudi salama halafu maadui zako ndio utakuwa umepa ushindi.
  5. J

    Nape, 'Kujivua Gamba' ni danganya toto??

    Too low. Nova anasubiri majibu ya Nape ambayo anaendelea kujibu. You are the one gossiping.
  6. J

    Bungeni: TLP, CUF, UDP na NCCR Mageuzi navyo vyaungana

    Kipima Pembe ulichoongea ndio ukweli uliopo.
  7. J

    Yanayotokea Dodoma; Tafsiri Yangu

    Maggid endeleza libeneke kama wabena wanaolalamika ndio wafukuao pinde na mishale.
  8. J

    Maalum kwa wachagga tuu!!

    mmhh hiyo kiboko
  9. J

    Elections 2010 Nikishainyima kura ccm 2010 watafuatia vibaraka wao wote!!

    Na hiyo ndio itakuwa namna nzuri ya kuwafuta wote katika kona zote. baada ya hapo najua hata biashara nyingi zitaanguka maana wafanyabiashara wakubwa wote wapo kwenye mtandao huo ama kwa kulazimishwa.
Back
Top Bottom