Navyojua mie JF ni NGO (non profit organisation). It's not a company. Kwahiyo ikiwa ni NGO, inajiendesha kwa pesa za Donors. Ikishakuwa NGO, haitakiwi kujiendesha kama kampuni ya kujipatia faida. Ndio maana huoni hata matangazo humu wakati wana uwezo wa kuweka matangazo makubwa na kutengeneza...
Tukumbuke Mwafrika bado hajafanikiwa kuwa mtu wa kufuata utaratibu. Sisi bado tupo kwenye Primitive era.!
Kwahiyo yote hayo yaliyoandikwa kuhusu huo utaratibu si rahisi kufuatwa na sisi Waafrika. Hayo mambo tuwaachie Wazungu. Japo na wao wanachangamoto zao.
Kumbuka kikosi cha sasa kina wachezaji wengi toka Simba na Yanga. Na mechi ijayo ya J3 si watakuwa wamerudi kwenye clubs zao kujiandaa na mechi za Club bingwa?
Nilipokuwa A-level, nilifanikiwa kusoma katika shule mbili tofauti za Bweni.
Vifuatavyo ni visa navyokumbuka
i) Kama mjuavyo, utumiaji wa simu katika shule za Bweni ni mshikemshike. Sasa mie nilichokuwa nafanya, simu yangu nilikuwa nikichana godoro pembeni na kuizamisha kwa ndani. Ikifika...
Sie wa kipato kidogo watumiaji wa king'amuzi cha Azam tunateseka sana. Mpaka uende kwenye kibanda umiza kwenye DSTV.
Je, lini Tajiri yetu Bakhresa Mkombozi wa watu wa kipato cha chini atafanikiwa kuonesha league ya Uingereza kwenye King'amuzi cha Azam.? Naamini Tajiri Bakhresa akiamua jambo...
Nilimsikia jana kwenye hiyo Interview kupitia StartTV. Nikawa najisemea moyoni, isitoshe huyu ndungu akachaguliwa kuwa mbunge kisha Waziri na kuwa mshauri wa Rais kupitia Baraza la Mawaziri. Kwa viongozi wa sampuli hii, basi bado tunasafari ndefu sana kama Taifa.
Kwanza hata nidhamu ya...
Kinachosemwa hapa ni historia za Marehemu, sio muda gani kawa chama gani. Kama tunashindwa kuvumilia mambo madogo tu yanayofahamika na dunia nzima na kutaka kuyaficha, vipi mambo ya sirini tusiyoyajua hao wahusika wanaweza kweli kuyanyoosha kama yanavyotakiwa?
Haya matukio ni kipimo cha uafrika...
Mbona watu wengine wanashindwa kufanya analysis ya vitu hata vidogo sana. Kwenye mahojiano mhojiwa huwa anajibu kulingana na maswali yanavyoulizwa.
Kwahiyo Lissu hawezi kujipayukia tu ovyo kwa mambo ambayo hajaulizwa.
Mbona hatusikii akizungumzia juzi alikula nini usiku? Hajataja chakula...
Kweli wewe ni "much know "
Lissu alikuwa anajibu maswali aliyokuwa akiulizwa. Sasa kama swali lilihusu shambulio lake atazungumziaje issues za umeme ambazo hajaulizwa?
Mabenki ya huku Africa ni wanyonyaji sana.
Hebu tazama:
1) Kuhamisha fedha unakatwa
2) Kutazama salio unakatwa
3) Kupata statement unakatwa
4) Kutoa pesa unakatwa
5) Kufanya malipo unakatwa.
Baada ya hapo utawasikia wanajivunia kwa kupata FAIDA kubwa iliyovunja rekodi kwa kuvuka malengo...
Kanisa Katoliki ni Taasisi iliyojipambanua kwa kuzingatia Misingi yake ya asili.
Hata hivyo, niwape pole sana Wakatoliki maana Dunia imehama mwelekeo na hakuna wakuizuia kwa hapa ilipofikia. Kanisa kuzuia hili wimbi la mabadiliko ya hii Dunia ni sawa na kuzuia maji kwa wavu wenye matobo.
Ni...
Afrika tunaishi Kiholela sana. Sisi bado tupo kwenye primitive way of living! Bado hatufahamu definition ya kuishi ni nini hasa.
Kwahiyo pole sana Mkuu, kwamba upo hapa Afrika na lazima hali hii ikukumbe. Ni familia chache sana zinazoweza kujikomboa. Ila kadri ya siku zinavyosonga taratibu...
Mfumo wetu wote wa utawala na utendaji unahitaji kufanyiwa overhaul reforms! Uwekezaji mkubwa ufanyike kwamza kwenye kubadilisha mindsets za watu. Hivi tulivyo sasa, tukiachwa hivihivi itatuchukua miaka 500 kujikomboa kwenye huu umaskini.
Kila mtu anawaza upigaji tu, yaani vichwa vimejaa ni namna gani fursa ije ili mtu apige.
Huko kwenye ofisi za umma pamejaa mi-ungu watu, kuanzia mfagizi hadi ma-boss!
Badala ya kufanya kazi, watu wamejaa majungu, kuoneana wivu na kuchongeana.
Watu wanafiki kupitiliza. Usoni wanakuchekea kumbe...
Kwa bahati mbaya tunakutana hapa na anonymous ID na hivyo hatufahamiani. Kwahiyo hata nikikujibu inaweza isisaidie jambo maana hatujuani. Ukweli utakabia ndani ya moyo wangu.
Pamoja na ukengeufu mkubwa wa Mwanadamu, nachoamini ni kuwa, bado inawezekana kuwa na watu wenye kujali misingi ya...
Mkuu, Je unataka kumanisha kuwa haiwezekani kuwa na Jamii yenye watu Waadilifu? Kwamba sisi binadamu wa huku Afrika, hatuwezi kabisa kujitenga na makando kando kwenye pesa au kazi za Umma?
Ukitembea tembea huko mitaani hasa vijijini, utawahurumia sana wananchi wenzetu wanavyoishi kwenye hali duni kabisa kimaisha. Naam, namaanisha uduni wa kukosa huduma za msingi kama vile barabara nzuri, maji safi na salama, elimu bora, matibabu bora, mawasiliano ya uhakika, huduma za nishati...
Afrika itabakia kuwa bara giza na wasindikizaji kwa miaka mingi sana ijayo.
Nchi maskini (Global South) ndio utakuta hizi Titles zinasujudiwa kama hivyo. Sasa kutajana kwa Titles zetu kuna impact gani kwenye maisha yetu haya duni kabisa? Mambo mengine ni aibu sana hata kuyaona, sikia na kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.