Search results

  1. U

    serikali tz inauwa waislam znz - pastor munishi

    samahani kama haka kavideo kashawahi kujadiliwa. nilipekua pekua nikakaona. naona mchungaji yupo veri nyutrali. mie simooo . kazi kwenu ! msje mkasema nimesema mie. kama haka kavideo kashawahi kujadiliwa mods kiweke kwenye bin . http://www.youtube.com/watch?v=E5UJHGkVu00 enjoi
  2. U

    Bomba la mafuta lasababisha maafa Nigeria

    Ripoti kutoka Nigeria zinaarifu kuwa watu ishirini na wanane wamefariki baada ya bomba la mafuta kulipuka katika mji mkuu wa kibiashara wa Lagos. Mlipuko huo ulitokea wakati watu wakichota mafuta baada ya bomba hilo kupasuka. Vipande vya miili ya binadamu vilitapakaa kote kote baada ya...
  3. U

    likikugusa ---- LIMEKUHUSU

    thamani yetu iwapi?,wanyonge wa duniani. wanaotujali wangapi?,mbona hawaonekani? haki zetu ni zipi?,mbona hazijulikani? makosa yetu ni yepi?, hata tuwe adhabuni? masuali yamenijaa , kichwani najiuliza kitembea hujikwaa , nasubiri mliwaza. nishaikata tamaaa , nasubiri miujiza wanasiasa...
Back
Top Bottom