Search results

  1. Standalone

    Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Kwa kweli namsubiria Raisi wangu hapa kwa hamu kubwaaaaa........
  2. Standalone

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wanandugu, Nashangaa sana yanayotokea kwenye nchi yangu sasa hivyi...Viongozi wamekuwa sio wale tena wanaoshauriana kabla jambo halijafanyika. Sasa hivyi unaweza kuona katibu wa wizara flani anafanya jambo baadae anakuja waziri analipinga...Sasa inakuwaje au kuna mtu yuko sehemu ananyanyua waya...
  3. Standalone

    Serikali yaamuru KKKT kuufuta waraka. Yatishia kulifuta "Baraza la Maaskofu wa KKKT" na kuwashitaki

    Sikujua Kama Kwaya Nayo si jumuiya ya kanisa kumbe nayo ilitakiwa tukaisajili kwa msajili....Ila kweli tunaelekea Pabaya....Hii vita haitamuacha mtu salama....
  4. Standalone

    Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Niliwapigia Simu Azam TV wanielekeze jinsi ya Kuifuta TBC kwenye kingamuzi changu na walinisaidia kwa moyo mmoja kwakweli nilifarijika sana
  5. Standalone

    Kauli za Rais Magufuli: BAVICHA wamtaka aombe radhi kwa kupotosha

    Nawaambia Leo Ipo siku itafika wanaomshabikia #BabaJesca watapotea wote.. Atakuja kuwa Raisi mbaya kuwai kutokea Tanzania.Time will tell
  6. Standalone

    Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

    Nilifundishwa kwenye Saikolojia mtu anayendika kwa herufi kubwa tu anakuwa na matatizo ya kiakili
  7. Standalone

    Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

    Tanzania itasimama kwa muda pale Kamati kuu itakapokuja na jina la KM wetu
  8. Standalone

    Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

    Tumejipnga kuwaletea Katibu Mkuu Bora
  9. Standalone

    SSRA: Ufafanuzi kuhusu uraia wa Dr. Carina Wangwe

    Serikali ya Pombe yaweza kuwa moja kati ya serikali mbovu kuwai kutokea....Just time will tell
  10. Standalone

    Kakosea kutuma pesa kwenye simu yangu, nimezitafuna

    Haukufanya ustaarabu wowote...Hebu fikiria ukute alikuwa anamtumia mgonjwa yuko hospitali alafu wewe kibaka umeziiba.
  11. Standalone

    Muitaliano/Vicenzo Cozollino: Nilichangia Dola laki 3 kwa ajili ya maendeleo ya Bumbuli

    Naombeni Picha ya Wale wanafunzi wa shule ya msingi Huko Bumbuli waliokuwa wamevaa viatu walivyopewa na mwezi wa Kwanza
  12. Standalone

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Leo sikai mbali na vyombo vya habari nasubiria nisikie Mwenyekiti wngu anavyotikisa nchi leo
  13. Standalone

    CHADEMA yalaani ubaguzi wa CCM Zanzibar

    CCM ubaguzi hawajaanza leo....Khaaa ilo bango limewavua nguo...
  14. Standalone

    Operesheni Zinduka 7 - Afya ya Lowassa Siyo Hoja kwa Sasa - TeamLowassa Wameona Mbali?

    Unakumbuka wewe na wenzio mlivyohaha mliposikia Lowassa anakuja Chadema...Unawajua wenzako...
  15. Standalone

    Operesheni Zinduka 7 - Afya ya Lowassa Siyo Hoja kwa Sasa - TeamLowassa Wameona Mbali?

    Urahaha sana mkuu...Tunatambua jinsi wewe na watu wengine wawili mlikuwa mmepewa kazi ya kuandaa ilani ya chadema chini ya Dr Slaa...Na mlipewa contract ya kumfix ili tushindwe uchaguzi...sasa unachopiga kelele hapa ni kukosa kile ulichotarajia malipo kutoka kwa wale jamaa na kuonekana muda wote...
  16. Standalone

    Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Naam...Tutaonyesha Mwelekeo kuelekea tarehe 25...Ushindi ni lazima.. Tukutane Sinoni
Back
Top Bottom