Search results

  1. P

    Jesca Msambatavangu ndiye nyoka wa SHABA, CCM Iringa Mjini

    hata mimi nina shaka ya elimu ya huyu Dr. yaani anaandika vitu bila utafiti wowote wa maana hakuna mahala anatumia facts, logic au hata evidence kujenga hoja yake zaidi ya kusikia, nimeambiwa na wanywa ulanzi hivi mtu anayejiita Dr u would think he can do better than this..utegemei mtu kuandika...
  2. P

    TANZIA: Brig Gen Dr. Yohana Balele amefariki dunia Hospitali ya Lugalo

    POLENI SANA RICHARD BALELE NA MASHAKA nilisoma nao Lugalo PRIMARY School MIAKA YA MWISHONI mwa themanini LY 1989 na walisema baba yao ni dokta kwahiyo bila shaka ni yeye huyu poleni sana. R.I.P Gen.BALELE
  3. P

    Maalim Seif mnafiki namba moja katika siasa za upinzani na jaribio la kuuza CUF kwa CHADEMA

    yeah nakubali anaweza kuwa anaanza kuugua kichaa
  4. P

    Urais ni taasisi, Magufuli anatapeliwa

    wiseboy kiongozi wako hashauriki huo ndio ukweli wenyewe kwa sbb kama watu wanamshauri vibaya ingebidi awatimue kwani nchi sasa uchumi unakwenda chini
  5. P

    Polepole ataka Zitto Kabwe achukuliwe hatua kwa kupotosha ripoti ya CAG, amtaka 2020 atafute kazi nyingine

    watanzania tukifika mahala pakumtegemea mtu mbabaishaji ana mchumia tumbo kama PolePole kututafsiria ripoti ya kitaalam kutoka kwa CAG basi Taifa la Tanzania limekwisha
  6. P

    Tundu Lissu: Makonda hana mamlaka anayojidai nayo ya kuhamisha watu

    kwa ufupi ndugu Tanzania ilivopata uhuru wake 1961 tulibadili dereva tu wa gari kutoka mtu mweupe kwenda na dereva mweusi sheria kanuni na taratibu za kikandamizaji bado ziko pale pale. kabla ya uhuru regional commissioner akiona mtu ni tishio au anapinga ukoloni na anaweza ku organize watu...
  7. P

    Fatma Karume: Sitaogopa yaliyomkuta Tundu Lissu

    Hakuna kitu kama hicho ndani ya Tanzania rational opposition haina faida it will be considered by the authority as a weakness vyama vya siasa Tanzania vimeshindwa kupata haki zao nyingi za msingi kwa sababu wanatumia approach yako multi dimensional and rational don't work in Tanzania labda nchi...
  8. P

    Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    yule jamaa aliyepost uzi hapa inawezekana ni mmoja kati ya wausika waliomteka kwa maana sijaona mtu anasafiri tu na mtu asiyemjua halafu kupata maelezo mengi kiasi kile. alituma ile post kupoteza maboya watu
  9. P

    Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Bashite alishasema kuwa mhusika alijiteka na akamuelekeza Mambosasa akifika Dar basi mhusika ashugulikiwe kwa kosa la kujiteka nyie mlitegemea Mambosasa aseme nini?????? hatuna jeshi la polisi mnaosubiria polisi waseme ukweli siku moja ktk matukio haya mtasubiri sana.
  10. P

    Naibu Katibu Mkuu BAVICHA, Getrude Ndibalema ajiuzulu nafasi yake na kubaki mwanachama wa kawaida

    who is Getrude NEVER heard such a name before!! what has she done for 4 CDM?!! km alipigwa kwanini hakwenda polisi??kama alikaa kimya basi yeye ndio ameruhusu unyanyasaji juu yake na wengine na cdm sidhani km inausika
  11. P

    Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    mbowe alikuwa ameshika yeah hata mimi nimemuona Mbowe kashika bunduki akampiga mtu na siyo askari wa magufuli punguani wewe
  12. P

    Mtulia uliyowafanyia wana Kinondoni yanatosha, jitoe tu kwenye uchaguzi

    CCM ingejuwa cdm itasimamisha mgombea wasingempitisha Mtulia kwani ni mweupe lakini ndio hivo imebidi wamsimamishe yeye kwa sababu moja tu nayo ni million 600 alizokopa ni lazima zirudi na CCM haina uwezo wa kumgawia million 600 za kulipa madeni bali ni kumuonga nafasi ya kugombea ili arudi...
  13. P

    Richard Tambwe Hizza kuzikwa makaburi ya Chang'ombe

    Mungu aibariki na kuwapa Amani yake familia nzima ya Richard Tambwe Hizza gwiji la siasa za dar es salaam hasa Temeke namkumbuka wkt wa uchaguzi wa mwaka 1995 alipotuletea mtu anaitwa Kihiyo ambaye alikuwa ni mbunge wa kwanza wa ccm kukutwa na vyeti vya kufoji na hiyo ikasabbabisha matoeko...
  14. P

    Prof. Kabudi: Rais wa Jamhuri ana mamlaka ya kuwaagiza mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi (Zanzibar)

    Pinda alisoma kipengele gani cha katiba kinachoonyesha kuwa Zbar siyo nchi !!!??? Kabudi kachemsha JPM ana nguvu kwa mambo ya muungano tu fullstop.
  15. P

    Dodoma: Mgombea udiwani Kata ya Manzase kupitia CHADEMA ahamia CCM

    angalau kwy ili CCM wenyewe wamekiri kuwa walimpandikiza mgombea wao kitendo ambacho ni hujuma kwa vyama vingine sasa sijui hii inaimarishaje demokrasia ktk nchi inayojiita ya kidemokrasia!!?? ni aibu kwa ccm ingawa kwa watu wanaochukulia ushabiki wa simba na yanga wanaweza ona sawa. kisheria...
  16. P

    Cyril Chami: Unapoongeza mbao na mabati mapya mazito kwenye nyumba kuu kuu ukitarajia upya ni mawazo yasiyo na daraja

    ATCL has never made any profit for the last 20 years and the way it is structured today it will never make profit for the next 100 years.
  17. P

    Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia CHADEMA, wanachama wengine zaidi ya 50 wahamia CCM

    Bila kumpachika cheo feki na idadi ya watu feki ungesomaje hiyo article !!!?? CCM haiwezi kuzungumzia shs 300Billion zilizopotea ATCL au MAJENGO mabovu yanayofunguliwa huku yakiwa na ufa wanataka tuzungumzie vitu simple kama mtu aliyekataliwa na wananchi wala hakuwai kuwa mgombea alitaka kuwa...
  18. P

    PIC: Kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) imejiendesha kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo

    Biashara inataka discipline ya hali ya juu mashirika mengi yanwekwa chini ya watu ambao hawana uchungu nao na hawajawekeza hata senti tano so hawana hasara yeyote kama shirika likipata hasara. Serikali inabidi ijikite kweye kuboresha social services tu kama hosp shule, water distribution na...
  19. P

    Swali kwa Mgombe Mtulia

    Nashukuru kwa majibu lakini inaelekea umerudi kulekule kwa vyama ambapo sisi wengine havituhusu kwani tulikuchagua kuwalikilisha shida zetu watu wa kinondoni na siyo kuwakilisha chama chako. ugomvi wenu kwy chama hautuhusu sisi wapiga kura. labda ni kuulize ugomvi wenu ulikuzuia vipi kuwakilisha...
  20. P

    Swali kwa Mgombe Mtulia

    swali zuri sana Mtulia ametukosea sana hasa sisi wapiga kura wake tusio na vyama tulimchagua kwa mkataba wa miaka mitano kama mwakilishi wenu na si kama cuf wala mfupi au mrefu bali mwakilishi wetu wote bungeni sasa amerudi amevaa kofia ya kijani anataka tumchague tena kufanya kazi ileile...
Back
Top Bottom