Search results

  1. M

    Wachina wanatorosha madini yetu

    Nipo senkenke machimboni, Kuna wachina wamefungua mgodi wa kuchimba dhahabu, sasa wanawandanganya watendaji wa serikali kuwa, hawajaanza uzalishaji. Wachina wanasema bado wanakusanya mchanga, kumbe walishaanza siku nyingi kuzalisha!! juzi Kati Kuna wachina walikuwa wanarudi China, waliondoka na...
  2. M

    Virusi vipya vya COVID 19

    Bill shaka mko poa! mkijiandaa kuuaga mwaka na kuingia mwaka 2021. Niende moja kwa moja ktk hiki ambacho anata kujua kutoka kwenu! Kumegunduliwa virusi vipya vya covid 19 huko Uingereza, na virusi hivi. Vinaenea kwa kasi kwa mjibu wa bbc leo tar 21/12/ 2020 na havizibitiki!! Na tarari nchi...
  3. M

    TANESCO Mwanza, hamjui kuwa mnatuharibia biashara zetu?

    TaANESCO Mwanza mmekuwa kero kubwa! Hususani maeneo ya Malimbe. Kila siku mnakata umeme. Hivi hamjui kuwa mnatuharibia biashara zetu? Kweli tutafika Tanzania ya viwanda kwa mwendo huu? Au mmetumwa na mabeberu kumhujumu Baba Jesca? Medard Kalemani chunguza meneja Tanesco mkoa wa Mwanza...
  4. M

    Mke mwema anahitajika

    Natafuta mke atakae kuwa tayari kuolewa, wasifu wangu ni 1- mrefu wa fit 5 na sm 8 2- nimejiajili 3- mkristo wa kkkt 4- umri wangu ni 40, Sifa za mke ninaemhitaji awe:- 1- mkristo mwenye hofu ya Mungu 2-awe mweupe 3- akiwa na mtoto sio mbaya! Kwani nami nina watoto! 4- umri kuanzi 26-37...
  5. M

    Uchaguzi 2020 Mzee Dkt. Slaa popote ulipo

    Dkt. Slaa nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu kristo. Naami uko mzima na unaendelea vizuri na uwakilishi wa nchi yetu huko uliko, Bila shaka unajua na unafatilia jinsi kampeni zinavyoendelea huku!! Natamani Sana kusikia au kusoma maoni yako kuhusu kampeni zinavyoenda huku! Ujengaji wako wa...
  6. M

    Mafuta ya Ubuyu ilisemekana kuwa Tiba ya Kansa, ghafla yamepotea

    Miaka ya 2000-2010 ilisemekana kuwa mafuta ya ubuyu ni tiba ya kansa na magonjwa mengine yasiyotibika! na tayari mafuta ya ubuyu yalishaanza kutumiwa na watu Kama tiba, hata mimi nilitumia mashudu yake kulisha kuku. Na hawakuzulika. Sasa sijui nini kilitokea? Mafuta ya Ubuyu yalipigwa marufuku...
  7. M

    Hongera mama Anna Mghwira

    Hongera Sana mama yangu Anna Mghwira! Kweli umeonyesha ukomavu wa kiroho, umeongea kwa hekima sana kwenye tukio la kuaga wapendwa wetu huko Moshi. Hivi ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa, umeonyesha hekima ya hali ya juu sana. Viongozi wengine wanapaswa kujifunza kwako, hususani sisi vijana...
  8. M

    Vuta Nkuvute uko wapi?

    Ni muda mrefu sasa sijamsikia huyu mzee VUTA-NKUVUTE jamani yuko wapi? Au na yeye ameamua kujiuzulu kuandika habari humu ili kumuunga mkono Rais. Maana kumekuwa na wimbi la watu kuachia nafasi zao kws kigezo cha kumuunga mkono Rais! Mzee uko wapi? Au na yeye ni miongoni mwa watu...
  9. M

    Waimbaji wa injili wagoma kuitwa wasanii!!

    Waimbaji wa nyimbo za injili wanagoma kuitwa wasanii! wakati uimbaji wao na jinsi wanacheza ni full wako kisani zaidi! badilikeni, tutawaita watumishi wa Mungu! mnalazimisha muitwe watumishi! nani kawatuma? wakati mmetumwa na matumbo yenu! mtumikieni Mungu ktk roho na kweli tuwaite watumishi wa...
  10. M

    Serikali yaja na mbinu mpya, darasa la saba wafanya mtihani kwa penseli

    Serikali ya Tanzania imebuni njia mpya ya kufanya mtihani kwa kutumia penseli! wizara ya elimu imelazimisha wanafumzi wa darasa la saba kufanya mtihani wao utakaoanza tar6na 7 mwezi 9 kwa kutumia penseli! nni kimelengwa hapa? kama sio kupunguza idadi ya kufaulu ni nini? jamani tujuzane kws wanao...
  11. M

    Nauza kuku

    jamani natafuta soko la kuku chotara! napatikana morogoro mjini. karibuni!
  12. M

    Je naweza kuwashitaki TANESCO?

    Kuna shida kwenye nguzo inayoingiza umeme kwangu. nilienda kutoa taarifa tar 2/4/2016 hadi leo hawajaja! nimerudia kutoa taarifa jana na leo. lakini hadi sasa hawajaja! hapa kwangu nina mashine ya kutotoresha bila shaka mayai yatakuwa yameshaharibika. naweza kuwashitaki? msaada jamani.
  13. M

    Tunauza vifaranga wa asili na mayai

    Tunao vifaranga wa asili na mayai ya asili. vifaranga wapo wa wiki mbili hadi miezi miwili. tupo morogoro mjini. kwa masiliano. 0769070257/ 0714 739914. karibuni sana
Back
Top Bottom