Search results

  1. M

    Tayari ziara za Makonda zimekipa ushindi mkubwa CCM mwaka 2025. Kura za raia wanyonge walioonekana kutelekezwa sasa zimerudi CCM

    Wenye akili timamu, wajua kuwa kuwa, hao wote ambao wameshindwa kuwajibika. Ni makada wa CCM, hivyo wenye akili timamu wanaona ubovu wa CCM. wajinga ndio waichagua CCM!
  2. M

    Tayari ziara za Makonda zimekipa ushindi mkubwa CCM mwaka 2025. Kura za raia wanyonge walioonekana kutelekezwa sasa zimerudi CCM

    Kumbuka wapinzani watatumia hoja( matatizo) yanayoibuliwa na Makonda kuwaelimisha Watanzania kuwa CCM imeshindwa!! ogopa mtu anae Kaa kimiya wakati unapayuka!!
  3. M

    Mlowo, Songwe: Makonda akataa kutumia jukwaa aliloandaliwa, ashuka haraka na kutumia gari lake kuzungumza na wananchi

    Sasa hawa wote si ni makada wa CCM? ziara za makonda zinatuonyesha, ni jinsi gani CCM na makada wake wameshindwa kufanya kazi tuliyowatuma!
  4. M

    Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    We boya hutamani kuwa na maisha mazuri!? kwann unaamka asubuhi na mapema na kuanza kuisaka chapaaa? Chapaaa ndio Kila kitu, Haba bible imesema Chapaaa huleta majibu ya mambo yote bhana.
  5. M

    Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    Nani kakudanganya kuwa kuishi maisha ya kuna furaha!! wakati mkiwa ofisi mnatamani mtoke mapema mkapige mishe za mtaani!! basi rizikeni na mishahara yenu!!
  6. M

    Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    Si Bora hio pesa umpe kijana aanzishe biashara!? na anaweza kuwa tajiri mkubwa kuliko hata, itakacho msaidia hio degree!!
  7. M

    Habari za Intelijensia zinaonyesha Rwanda na DRC ziinaweza kupigana.

    Sasa endeleeni kujidanganya!! Mtapigwa mpaka msangae!! kumbukeni kuna Mungu, mmewaonea sana Wakongomani.
  8. M

    Je, Taoism ni uchawi? Je, unaweza kutumia Taoism kutabiri mambo ya mbeleni? Nitajaribu kukuelewesha

    Acha basi kuharabu mada Kwa ubishi usiokuwa na maana!?
  9. M

    Tunawezaje kuzuia double agents, inazidi na itazidi kuwa changamoto

    Mlete mada utakuwa na chuki binafsi na Nkwabi, maana kama hoja ni ujana na kupenda mafanikio, Kwa ni wtz tu ndio wenye tamaa na mafanikio??
  10. M

    Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

    Masikini ndio huwa wanaweka hela benk, matajiri wanaenda kuzichukua na kuanzisha miradi!! endelea na ujinga wa kuwatajirisha kina Abood.
  11. M

    Mkurugenzi TANESCO apewe Tuzo, umeme Unapungua haujawahi katika! CHAWA ni kielelezo cha vijana walio tayari kufanya lolote kwa Dhumuni!

    Hii nchi kufanya kazi inayohitaji umeme ni kama vile Laana!! mi tenesco walinitoa barabarani kipindi natotoresha vifaranga!! ila Kwasasa niliamua kuanziasha kampuni ya uvuvi Sina shida na umeme wa mchongo.
  12. M

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Rais wa mawe ni Mrudi, wazazi wake wahali siku nyingi tz.
  13. M

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Yule anajiita Mnyiramba, lakini ni Mrundi.
  14. M

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Si umtaje!! unatumia aid feki unaogopa nn!?
  15. M

    Nahitaji kupata mume, tujenge maisha

    Wengine hatuishi dar, ila sifa tunazo?
  16. M

    Majesuit walivyojipenyeza kwenye makanisa

    Mungu huwa Hana Ile zana ya wengi wape!! Yeye hutafuta hata mtu Moja aliyesahihi atafanya nae kazi!! rejea habari ya Eliya na manabii wa baali.
  17. M

    Majesuit walivyojipenyeza kwenye makanisa

    Kama hoja yako ni wingi, basi umekosea!! Maana hata Yesu alisema " njia iendayo upotevuni ni pana, nao waiendao ni wengi.bali njia ya Uzima ni nyembamba! tena imetatana( imesomgwa songwa). Sasa hio yako Nina mashaka nayo!!
Back
Top Bottom