Search results

  1. D

    Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

    Binafsi nimeguswa na hili jibu sana. Mimi pia nina fikra na mrengo huu. Nilibatizwa mkatoliki lakini nimeacha kwenda kanisani miaka 10 iliyopita. Sikuacha hivihivi,nilikua na sababu za msingi. Jambo moja kubwa lilikua ni jinsi kanisa langu lilivyowachukulia masikini na wanyonge. Mfano...
  2. D

    Uzoefu bila kufanya kazi?

    Nawashangaa waajiri wa Tanzania.Kimsingi hawana busara. Wanataka kuajiri watu wenye uzoefu bila kuwapa watu nafasi za kupata huo uzoefu.Tabu kubwa ni kua huu uchumi wa `kimachinga` unaendeshwa na mabepari `uchwara`.They can`t even make the most of the cheap labor that is easily availabe ie...
  3. D

    Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu

    Lema alifikishwa mahakamani kwa kosa lile la kuandaa na kushiriki katika maandamano ya yasiyo `halali`. Alipewa haki ya kupata dhamana lakini alikataa haki hiyo na badala yake akachagua kwenda rumande(He has not been jailed but `remanded`.These are legal terms and have a clear implication...
  4. D

    Internship search

    Mkuu huku sio sehemu sahihi,hakuna atakayekupa hiyo nafasi.Cha msingi tafuta organization inayohusika na hayo mambo yako-then email au peleka physically CV na cover letter ukieleza nia yako hiyo-then subiri wakuite.Peleka sehemu kibao tuu mana unaweza ukapeleka mahali na usiitwe
  5. D

    Msaada kuhusu Voluntary Jobs!!!

    Unaandika `expression of interest letter,andaa cv then tuma kwenye organization unayopenda kuvolunteer.
  6. D

    miezi 11 bila kazi

    I think at that level of education,you can only do unqualified jobs(exceptions herein considered).Just make up your mind and get down to business-kuwa kinyozi,mama ntilie,safisha jiji au hata Kondakta.Do anything-just do not idle your time away
  7. D

    Ephraim Kibonde umetudharau wasomi. Pima kauli zako na ufanye maamuzi.

    Nafikiri tatizo la kibonde ni moja-amelewa umaarufu.I think his time is soon over.If he could keep quiet and concetrate on his career,he would garner a substantial reputation.To give the devil his due,this guy is talented but anajiharibia mwenyewe.Hayuko mbali na mwisho wake-he will hit against...
  8. D

    Mr.Mizengo Pinda at The UN General Assembly Sept 2010

    Africa was very much affected by religious and cultural interventions unlike china.We think and act dependently.Our educational institutions teach us to praise and embrace anything that is western.It took America 98 years to build it`s democracy but they are compelling us to build ours...
Back
Top Bottom