Search results

  1. T

    Sh 5,000 inaweza kabisa kunitoa kimaisha!

    Siwezi kukupinga sana ila angalia soko maana kila shilingi inaweza anzisha biashra,let say umeanza na shilingi elfu tano,unataka anzisha biashara ya juice haiwezekani kwani inahitajika uwe friji sasa utainunua vp na kama ipo nyumbani huwezi kuwa huru kuitumia ipo siku mshua atagomba tu
  2. T

    Mkopo wa milioni 5

    business plani yako ni ipi
  3. T

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Anza biashara ya sabuni za magadi(kigoma) kama uko tayari nicheki 0768292116 au 0753829505
  4. T

    Sabuni za magadi(kigoma) kwa bei nafuu

    Tegwa Investment ni watengenezaji wa sabuni za magadi(kigoma) za miche. Sabuni hizi ni nzuri kwa kuogea na kufuria,tunauza kwa jumla. Pia tunatoa mafunzo ya utengenezaji wa sabuni hizi. MAWASILIANO;Piga sim no.0768292116 au business.tegwa@yahoo.com Tupo Mwanza.
  5. T

    DRVER ZA MODEM AINA YA HUAWEI E303h-1 za AIRTEL TANZANIA

    Habari za saa hiz wapendwa mimi nina modem aina ya HUAWEI E303h-1 Hi-link ya Airtel Tanzania nina tumia PC-DEll RAM-760MB WINDOW-XP PROFFESSIONAL kila napoipachika kwenye pc yangu inashinwa kufanya installation hivyo inashindwa kufanya kazi ila nikitumia pc nyingine inakubali je tatizo ni...
  6. T

    Natafuta Kazi Kama Security Officer/Security Guard

    vp umefankiwa ulichokuwa unakitafuta
  7. T

    Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    Chief-Mkwawa Naomba unipe hatua muhimu za kwanza ili nianze na hatua moja moja kwanza.
  8. T

    Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    Chief-Mkwawa, Samahani kaka natamani sana kuwa fundi wa simu upanude wa software nahitaji msaada wako kaka kwani nina pc tu hivyo nahitaji maelekezo yako
  9. T

    Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    Sio hivo ndugu zangu ila maisha tu.Je huwezi kutumia hizo software bila box.
  10. T

    msaada kuhusu iphone 4 na 5

    Nenda kwa mafundi wa sim wataifanyia code changes but pesa ndefu kidogo kwa hali ya bongo na kushauri angalia price ya simu na gharama ya code changes
  11. T

    Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    Msaada tafadhari kuna uwezekano wa unlocking ya vodacom modem ya Huawei Hi-Link ili iwe master
  12. T

    Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    Nahitaji softwares zifuatazo na keys zake 1.UFS Micro Box 2.JAF Box 3.ATF Box 4.Z3X Box 5.NS PRO Box 6.Odin Software(for android) 7.Itune Software 8.Blackberry Desktop Software 8.Z3X Box for LG 9.Avator Box 10.Piranha Box 11.Volcano Box 12.Miracle box Nipo Mwanza.Mawasiliano...
  13. T

    Tunauza kuku wa kienyeji

    Ni wakienyeji 100% na wastani wa uzito ni 1.4 per chicken.Pia kama unapenda tunaweza fanyanya bishara kwa kilo
  14. T

    Tunauza kuku wa kienyeji

    TEGWA Investment ni wafugaji na wauzaji wa kuku wa kienyeji,Tunauza kuku kuanzia kuku 10 na bei yetu ni Tz.10500 kwa kila kuku, Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0768292116 au 0753829505(whatsapp),Email:business.tegwa@yahoo.com au facebook page:tegwa investment. Tupo Isamilo,Mwanza...
  15. T

    Nauza samsung galaxy s3 na s2 mpya

    Naomba kujua nini maana ya(cloned version phone) na (refurbished version phone) kuu liza ni ujinga ila naomba kujua
  16. T

    Msaada tafadhari

    Nashukuru kwa msaada wako
  17. T

    Msaada tafadhari

    Ninatumia Sumsung galaxy S5 lakini nashindwa kuthibitisha kama ni copy au original.Siku moja nilifanya restarting simu ikafuta IMEI hivyo ikawa haina internet access je inasababishwa na nini?. Msaada tafadhari
Back
Top Bottom