Tumeambiwa na Wabunge wawili Bungeni kwamba bwawa la Mtera halina maji kabisa na huku pembeni maji ni mengi mpaka kuvuka kingo! Hii ni hujuma kwa Rais na inatekelezwa na baadhi walio mzunguka! Ni matumaini yangu siku chache zijazo tutasikia kishindo cha hatua za kinidhamu zikichukuliwa dhidi ya...
Madhara mengi ni kutokana na mipango miji mibovu, na sioni suluhu kwasababu wahusika walio shindwa wwnajiandaa kwa uchaguzi mkuu hawataki wahudhi wote walio jenga ktk njia za maji na mabonde.
Matatizo yetu tunayo shuhudia ni ukosefu wa Katiba Bora yenye Taasisi Imara na Bora na ukiongezea Tume Huru na Haki ya Uchaguzi. Wanunge hao uchwara huwezi sikia wanajadili jambo la msingi kama hilo na wengine wanao pendekeza adhabu ya kifo wakiwa wezi wa mali za umma na wezi wa kura! Vikelele...
Mimi nilishangaa au siku hizi hawafanyi vikao? Ni kichekesho kinacho sikitisha.... ndiyo hivyo Mama alitegemea Makonda mzima? Acha kuchezea damu ya watu,jamaa ndiyo kaisha Chisinau hivyo.
CCM ilichagua mtu wa kuja kuwatia aibu naye leo ametuonyesha namna gani tunatakiwa kuachana na chama kilicho choka kama CCM... moja ya ujinga wa msemaji ni kuingia ktk mkutano na boda bila helmet!!! Ni aibu kwa taifa kwamba huyo ni muhenezi wa chama tawala!!
Mawazo uchwara ambayo bahati mbaya eti ya natokea Kenya ambao kiasi wamepiga hatua ktk biashara, uchumi na na experience ya kutosha ktk uchumi wa kibepari.
Haya maoni ni ukosefu wa exposure ya kutosha.... tengeneza Katiba bora na Taasisi imara za kusimamia taifa uone mabadiliko chanya ktk taifa badala ya kukaa kuogopa wawekezaji na wageni. Dunia imesonga mbele sana ndugu zangu tumeisha ondoka ktk uoga uoga uchwara kama huu.
Mambo ya aibu serikali na chama kuendelea kumlinda mtu binafsi kuchafua heshima na hadhi ya chama chake. Timua na ashitakiwe. Aibu nyingine ni Polisi wetu wanachuo na wahadhiri wake wapo lakini kwa sababu ya siasa wameamua kuitia aibu taasisi yetu.
Tatu ni wanachuo wa UDOM waliokuwa wanasoma na...
Alipenda uovu wake na wapendwa wake uwekwe wazi? Au hakuwa Tanzania wakati huyo dikiteta anatawala? Hata maendeleo kidogo tuliyokuwa tumepata ya litoweka kwa kuletewa ripoti za uongo za CAG angalau sasa tunaanza tena upya!
Mimi nataka kuzungumzia jambo moja la msingi tunalo takiwa kulibadilisha ktk Katiba Mpya ijayo nayo ni muundo wa utawala ktk serikali zetu za mitaa kuanzia ngazi ya Mkoa kushuka chini. Muhimu hizi serikali zichaguliwe na wananchi na zisimamie kazi zote ambazo sasa ziko chini ya wakuu wa...
Jumanne iliyopita tulishindwa kutua Bukoba tukarejea Mwanza mpaka hali ya hewa ilipo tengemaa kiasi tukarudi na kutua. Kituko zaidi ilikuwa jana ambako tukiwa Airport tuliambiwa ndege ni mbovu kwa hiyo tutatumia usafiri wa Coaster mbili kwenda Mwanza. Baadhi ya abiria hasa wazungu waliamua...
Mimi nahitaji majibu ya kitengo cha emergency ktk mkoa wa Mara kutokupokea simu pindi tunapo katikiwa na umeme tatizo ni nini? Wanacho hiki kitengo au kimetutwa?
Ya kujifunza siyo mengi sana kwasababu hata Bunda bado wana ugonjwa wa mipango mji. Kwa Mwanza kuanzia Mkuu wa Mkoa,Meya wa Mwanza na Madiwani wao watambue Idara za Ardhi,Mipango Mji na Mazingira hawana lolote wanafanya ktk Jiji la Mwanza. Ujenzi holela,vibarabara vyembamba na biashsra zinazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.