Habari Za Leo? Kama nataka Kuuza Hisa Zangu nilizonunua maendeleo bank utaratibu uwa inakuwaje ? Na ninaenda kuuzia wapi? Hisa zipo registered Dar Es salaam stock exchange (DSE)
Habari wadau, ninazo stainless steel kwa ajili ya matumizi kwenye hospital, catering na kazi za utafiti. Kila moja bei yake ni shs 15,000. Mwenye uhitaji anaweza kuwasiliana na mie whatsapp yangu 0778080031. Karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.