Search results

  1. THOMASS SANKARA

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Habibu Halahala mwandishi wa Rais Nyerere na baadae Mzee Mwinyi. alikufa kwa kukatwa na upanga wa Helkopta wakati akiwa kwenye ziara ya Rais Mwinyi mikoa ya kusini. Rais Mwinyi alilazimika kukatisha ziara yake.
  2. THOMASS SANKARA

    KINANA: Wakati wa Uhuru Kawawa alikuwa mkono wa kushoto wa Mwl Nyerere huku Bibi Titi akiwa wa kulia, ampongeza Rais Samia kuanzisha " BIBI TITI DAY "

    Maarifa yako madogo sana. Miongoni mwa majanga makubwa ya nchi hii ni kupata watu wenye maarifa madogo na uwezo duni wa kufikiri,nadhani hii inatokana na lishe na elimu duni.
  3. THOMASS SANKARA

    Nimeamua kuachana na dini, nitamuabudu Mungu kwa utaratibu wangu mwenyewe

    Swali hili hili aliwahi kuuliza firauni kumuuliza Nabii Musa Qur an:Surat Taha 20:51-52 (20:51) Pharaoh asked: "Then, what is the state of the former generations?"24 24. The question posed by Pharaoh was very subtle. He meant to say: If there is no other lord than the One Who has given a...
  4. THOMASS SANKARA

    Shemeji zangu Wagogo wako vizuri kwa Jiografia!

    alafu hiyo kweli kabisa mwanzo nafika hapa Dodoma mwaka 2017 nilikuwa nashangaa sana jinsi wanavyoelekeza mtu utaskia "...Nenda na hii barabara mbele kidogo angalia upande wa Mashariki utaiona hiyo ofisi..."
  5. THOMASS SANKARA

    Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

    kwani umesahau Waziri Jaffo aliwahi kumsema Mkandarasi wa Barabara hadi akazimia site mbele za camera za media.
  6. THOMASS SANKARA

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    kuna jamaa yangu mmoja aliagiza na hao hao Real Motors wa Tz,aliagiza gari aina ya mitsubishi Outlander 22M wakamtapeli badala yake wakamletea fun cargo. kumbe walitapeliwa wengi wenzake wote walikuwa 8 hawakupata kabisa magari ni bora hata yeye aliletewa hiyo Funcargo. wateja wote 8...
  7. THOMASS SANKARA

    Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

    Yess Ikulu iliwahi kuungua Eneo la Maktaba ya Rais.Awamu ya Mwisho ya rais Mkapa
  8. THOMASS SANKARA

    Je, ni nyaraka zipi ambazo kitengo cha usalama wamezuia zisitoke kwenye tovuti ya kitabu cha maisha ya Dr. Salim Ahmed Salim?

    Inaelezwa kuwa mwaka 1985 wakati wa kumtafuta mrithi wa Mwalimu. Inasemekena Mwalimu Nyerere alikuwa akimtaka sana Dr.salim ila Mwalimu aliogopa fitna za makundi hasimu ya wanamstari(Frontliners) na wale wagombozi (Liberators) hii ilipelekea Mwalimu Nyerere kusuka njama. Mwalimu Nyerere...
  9. THOMASS SANKARA

    Je, ni nyaraka zipi ambazo kitengo cha usalama wamezuia zisitoke kwenye tovuti ya kitabu cha maisha ya Dr. Salim Ahmed Salim?

    Urais wa Bara mwaka 1985 kumrithi Mwalimu Halmashauri kuu iliweka vigezo 13 ili kumpata mrithi wa Mwalimu. Wagombea walikuwa 3 1.Ally Hassan Mwinyi(Rais wa SMZ) 2.Rashid Mfaume Kawawa 3.Dr Salim Ahmed Salim Mzee kawawa alijitoa mwanzoni kabisa na akasema jina lake lisijadiliwe ana akajenga...
  10. THOMASS SANKARA

    Je, ni nyaraka zipi ambazo kitengo cha usalama wamezuia zisitoke kwenye tovuti ya kitabu cha maisha ya Dr. Salim Ahmed Salim?

    Wakati wa kumtafuta mrithi wa Rais Aboud Jumbe mwaka 1984 kulikuwa na makundi mawili mahasimu. Kundi la kwanza wakijiita Frontliners(Wanamstari) hili lilikuwa kundi la vijana wa wakati huo linalotaka mabadiliko na nafasi ya Uongozi kushikwa na vijana kundi hili likijumuisha vijana wa wakati huo...
  11. THOMASS SANKARA

    Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    wewe ndio umeongea na mtizamo wako ni sahihi kabisa.
  12. THOMASS SANKARA

    Angekuwepo Marehemu Malik wa AFRICAN Sport ya Tanga " angecheza" peke yake mechi ya kesho kwa sababu alikuwa anawamudu sana Simba

    Dah nilikuwa nakuheshimu sana mkuu ila kwa comment hii duuu..!! Kweli mtu hubaki kuwa mwenye hekima na mwerevu hadi pale atakapofungua mdomo wake.
  13. THOMASS SANKARA

    INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    Nahitaji tv hisense smart 40 inch nina 500k mfuko wa shati hapa
  14. THOMASS SANKARA

    Maisha ya Mzee Mwinyi inabidi yafundishwe kizazi hadi kizazi

    Waweza kuwa na umri mkubwa ila maarifa ukawa nayo madogo.
  15. THOMASS SANKARA

    Maisha ya Mzee Mwinyi inabidi yafundishwe kizazi hadi kizazi

    Kweli we mtoto wa shule Hujui nchi hii ilipotoka,nenda kaulize wazazi wako kama wapo hai watakuambia kipindi kipi kilikuwa na neema tele nchi hii.
  16. THOMASS SANKARA

    BBC swahili, Dira ya Dunia imepoteza mvuto!

    Zamani kabla hajastaafu alikuwa Ally Saleh moja ya waandishi bora sana wa pale bbc.
Back
Top Bottom