Search results

  1. R

    Kwa nini TFF hawataki Kampuni iendeshe ligi?

    Nimekuw nikifwatilia mjadala unaoendelea kati ya vilabu vya ligi kuu vikiongozwa na Geofrey Nyange Kaburu na TFF ambapo vilabu vinataka ligi kuu uendeshwe na kampuni kama FIFA wanavyotaka na kama inavyofanyika katika nchi za Kenya, Uganda, na Ulaya lakini TFF hawataki kwa kuhofia kupoteza Mapato...
  2. R

    Azam FC yamtwaa Stewart John Hall

    Kocha Stewart John Hall atua Azam FC | The Official Website of Azam Football Club
  3. R

    Kama Zitto angeshinda na kuwa mwenyekiti wa CHADEMA....

    Hii nieiona kwenye Face Book page ya rafiki yangu wa kwenye face book Kweli wazee huona mbali, Hongereni wazee wa CHDM, Zitto angekuwa Mwenyekiti wa Chadema leo hii CHDM kingekuwa wapi? tujadili Login | Facebook
  4. R

    Mawaziri 16 wa JK kuburuzwa mahakamani

    SERIKALI mpya ya Rais Jakaya Kikwete iliyoanza kazi rasmi baada ya kuapishwa jana, ipo katika majaribu kutokana na mawaziri wake 17 kufunguliwa kesi mahakamani kupinga matokeo yaliyowapa ushindi kwenye nafasi za ubunge.Jana Rais Kikwete aliwaapisha mawaziri wake wapya 50, Ikulu, jijini Dar es...
  5. R

    Danganyika Taxi

  6. R

    Elections 2010 Wana JF Tumeiangusha CHADEMA, tumewaangusha watanzania, tumemsaliti Dr Slaa

    Tathmini yangu fupi ya mwenendo wa uchaguzi inaonesha kuwa kila sehemu ambayo Chadema iliweka mgombea makini, msomi, Kijana na mpiganaji wa ukweli katika Ngazi za Ubunge na Udiwani Chadema iliongoza kwa kura. Dr Slaa alipata kura kiduchu sana maeneo ambayo chadema iliweka mgombea dhaifu ngazi...
  7. R

    Elections 2010 Natangaza kugombea Ubunge 2015. kupitia CHADEMA, naanza maandalizi sasa

    Uzoefu na uchungu nilioupata kupitia uchaguzi huu umenifanya niamue kuingia kilingeni, labda upinzani unakosa maandalizi majimboni, unakosa wagombea wenye uwezo na unakosa mkakati wa kisayansi kushinda Tumeiacha kazi ya kupigania taifa hili kwa akina Tundu lisu, well tumechangia mawazo, muda...
  8. R

    Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    Wabunge Viti Maalumu hawa • CCM 65, CHADEMA 23 NA CUF 8 Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao majina yao yamepitishwa na mikoa wanayotoka kwenye mabano ni pamoja na Lucy Owenya (Kilimanjaro), Esther Matiko (Mara) Mhonga Luhanywa (Kigoma), Anna Mallac (Katavi), Paulina Gekul...
  9. R

    Davis Mosha, Makamu Rais Yanga apigana Uwanjani Tanga

    Amakweli Yanga imechagua wahuni kuongoza, Yanga ya sasa imevamia na wahuni ambao wanaharibu jina zuri la klabu yetu, Jana nilijivinjari uwanja wa Mkwakwani Tanga, nilishuhudia timu yangu ya Yanga ikitoka sare na Azam FC. Baada ya Mchezo kuisha Davis Mosha alienda upande ambao Azam FC...
  10. R

    Elections 2010 CCM Mpanda yawatimua makada wake watano kwa kuipigia debe CHADEMA

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) in Mpanda District, Katavi Region, has suspended indefinitely five of its members from the party for allegedly campaigning for an opposition aspirant. The suspended members include Abraham Kombe and Francis Nandi who were eyeing the parliamentary and councillorship...
  11. R

    Elections 2010 Vichwa vya habari vya Habari Leo; eti hawajapata matokeo ya Utafiti & Slaa Bukoba

    HABARI ZAIDI Slaa kukutana na mume wa Josephine Vurugu zatia dosari kampeni KIkwete: CCM imeshashinda Ngeleja: Haiwezekani kutoa elimu bure Mengi: Wahojiwe niliowatuhumu HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania
  12. R

    Elections 2010 Kawawa bado mjumbe wa kamati kuu CCM

    Katika pitapita zangu mtandaoni nimebahatika kukutana na tovuti ya CCM, duh jamaaa hawapo up-to date kabisaaaa yaani hadi leo kawawa yumo kama mjumbe wa CC. kwa hali hii tutafika kweli? 1. Jakaya Mrisho Kikwete (Mwenyekiti) 2. Pius Msekwa (Makamu Mwenyekiti Bara) 3.Amani Abeid Karume (Makamu...
  13. R

    Kuchangia CHADEMA Bonyeza hapa

    Login | Facebook
  14. R

    Elections 2010 Benno Malisa azomewa Geita kwa kuhusisha maisha binafsi ya Dr Slaa

    ZOMEA zomea kwenye mikutano ya kampeni ya CCM jana ilimgeukia mpigadebe aliyejaribu kuingiza masuala ya maisha binafsi ili kumponda mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa baada ya wananchi kumzomea mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama tawala, Benno Malisa. Zomeazomea hiyo...
  15. R

    Slaa: Sikujua kama Josephine kaolewa

    Anadai pia kuwa hakujua kuwa Josephine ameolewa ama aliwahi kuolewa na hata pia Josephine hakuwahi kumweleza kuwa ni mke wa mtu. Dk. Slaa anaiomba Mahakama iitupe kesi hiyo kwani haina msingi wowote kwa sababu mdai mwenyewe alijidhalilisha kwa kukubali kutumiwa na chama cha siasa...
  16. R

    Maamuzi mabovu yaiua Azam FC Tanga Simba yashinda 2-1

    Maamuzi mabovu ya mwamuzi Mathew Akrama yamepelekea timu ya Azam FC kupoteza mchezo wake wa pili dhidi ya Simba SC kwa kuruhusu kufungwa 2-1 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Katika mchezo huo mwamuzi huyo aliweza kutoa maamuzi ya upendeleo wa wazi kwa kikosi cha Simba...
  17. R

    Elections 2010 Waraka wa MTOI kwa mama Maria Nyerere

    Kwa mpendwa Mama Maria (Mama wa Taifa ), Natumaini yubuheri wa afya hasa baada ya kukuona amemsindikiza mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) chama alichokiasisi na kukiongoza marehemu baba wa taifa (Mumewe) kwa uadillifu mkubwa na usio kifani, alisimamia na kujali rasilimali...
  18. R

    Elections 2010 Vichwa vya habari vya Habari Leo kichefuchefu

    Gazeti la habari Leo limekuwa kama la Udaku kwa kuweka vichwa vya habari vinavyojaribu kumchafua Dr Slaa lakini nadhani nao wanataka kukataliwa na kuonekana Vipeperushi kama RAI, Mtanzania, na Changamoto Yaani Habari leo wanadhani wao ni UHURU la Chama, Hakika wanatia Aibu sana Jana...
Back
Top Bottom