Wakuu salamu,
Naomba kujuzwa, hivi ni sheria kuwa kila mkazi wa dar kulipa hela ya taka kwenye eneo lake la biashara hata kama biashara yako haizalishi taka?
Kumekuwa na tendency ya wakusanya taka kutoza hela kwa kila mwananchi hata kama kwa mwezi huo hawakuzoa taka kwenye eneo lake.
Je, ni...
Watu wasiopungua 40 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia shambulio la bunduki kweye ukumbi mmoja karibu na Moscow, vyombo vya habari vya Urusi vimeripoti.
Watu wasiopungua wanne waliovalia nguo za kijeshi wamefyatua risasi kwenye ukumbi wa Crocus City uliopo Krasnogorsk. BBC imethibitisha video...
JE WAJUA?
Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea...
Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌
R.IP Rais Mwinyi
Mhitimu wa miaka 95 ,David Marjot, kutoka Weybridge, Surrey Uingereza, sasa anatafakari kuisaka PhD, ambayo itamweka chuoni hadi atakapofikisha miaka 102 baada ya kufamikiwa kuhitimu shahada ya uzamili (MA) katika Chuo Kikuu cha Kingston.
David ni Daktari mstaafu wa magonjwa ya akili, na...
Mrembo kwenye hiyo logo anaitwa Jenny Joseph (28).
Mnamo 1992, Kampuni ya "Columbia Pictures" iliamua kubadilisha tena nembo (logo) yake kutoka ile ya awali. Ikumbukwe kuwa hapo awali kulishakuwa na logo nyingi zilizotumika. Safari hii walitaka kuwa na logo ya kisasa na yenye kubeba historia ya...
Majira ya saa mbili usiku wa leo, timu yetu ya taifa, Taifa Stars, itakuwa na kibarua dhidi ya Morocco kwenye AFCON.
Wakati tunaisubiri mechi hiyo muhimu, si vibaya tukafahamu asili ya jina la TAIFA STARS.
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Paul West Guivaha, ndiye aliyetunga jina la timu...
Mwanariadha wa zamani wa Olimpiki Oscar Pistorius ameachiliwa kwa msamaha kutoka jela nchini Afrika Kusini, baada ya kuwa kifungoni kwa takriban miaka 11 baada ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Pistorius alihukumiwa kwenda jela baada ya kumpiga risasi nyingi mpenzi wake kupitia mlango wa...
SIKU KAMA YA LEO
Mwaka 1967 kwa mara ya Kwanza Daktari Christiaan Barnard kutoka nchini Afrika Kusini aliandika historia ya Kuhamisha Moyo wa Binadamu kwenda kwa mwingine (human to human heart transplant) hii ilikuwa haijawahi tokea duniani.
Tukio hili lilifanyika Mjini Cape Town katika...
Siku kama ya Leo mwaka 1804 huko Ufaransa bwana Napoleon Bonaparte alijivika Taji kama Kaisari wa Ufaransa. Mwaka uliofuata akapewa pia Taji la Mfalme wa Italia.
Vita ya Mapinduzi yake dhidi ya familia ya Kifalme, Huhesabika kama moja ya matukio 10 makuu ya Kihistoria Ulaya.
Mwaka 1805...
Magurudumu (Tairi) za ndege hazina kiunganisho wala husiano na injini za ndege iwe Pangaboi au Jeti.
Gurudumu huzunguka huru kama toroli au au kiti cha kusukuma "wheel chair" isipokuwa tu zimefungwa mifumo ya breki, mifumo wa kona na mifumo ya 'hydraulic' ya kuvuta tairi ndani au kutoa nje kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.