Search results

  1. Focus120

    What is Growth?

    Sasa mkuu stress nitazi punguzia wapi kama sio hapa
  2. Focus120

    What is Growth?

    Thread tayari 😎
  3. Focus120

    What is Growth?

    Last year I was stressed. this year I'm even more stressed. that's called growth. Nimemaliza. 😀
  4. Focus120

    Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

    Extremist
  5. Focus120

    Nataka kuachana na Mwanamke niliyemtolea mahari

    Kaparare jibu hili swali
  6. Focus120

    Simuamini tena rafiki

    Ukipata mwingine nishirikishe
  7. Focus120

    Msaada juu ya rejesho la jumla la mkopo benki X kuzidi makato

    Umesema vizuri. Loan officers wengi huficha baadhi y taarifa muhimu Mfano ukikopa mil. 20 Benki utakachopokea ni Milioni 18. Ila utalipa Milioni 20 yote kmaa principal sum na Riba yake.
  8. Focus120

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Professional gani anatembea kwa uwazi bila kuwaza atafyatuliwa muda si mrefu
  9. Focus120

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    He is just another Confused Extremist, mtu kama huyu alitakiwa awe incapacitated, yaani wangeshoot mikono au miguu apate tu kilema Ili ahojiwe vizuri na Ili atueleze vizuri huu ujasiri kautoa wapi. Vyombo vya usalama kuweni Makini Kuna message inatolewa hapo. Ila huyu marehemu anaonekana ni...
  10. Focus120

    Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

    Baada ya muda wa kupata uzoefu wa magari, nimegundua moyo wangu unasuuzika na Cc 2,500 na zaidi. Pungufu ya hapo najisikia mnyonge sana
  11. Focus120

    Nimeelewa sababu ya vijana kupenda Toyota Crown

    Ume enjoy performance y Crown. Hio ladha utaipata kwenye Mark X na Brevis
  12. Focus120

    Na huu ndio ukokotozi wa bei ya mafuta ya petroli kwa lita 1

    Yale mafuta ya petrol ( super) yanayouzwa 2,300,000 mchanganuo wake upoje?
  13. Focus120

    Keep moving

    Is this about Sabaya.?
  14. Focus120

    Hatoi matumizi ya mtoto, kaomba nimkopeshe pesa

    Akipatikana baba wa mtoto atakuwa na story yake pia
Back
Top Bottom