Search results

  1. K

    Yu wapi Msanii 'Mzalendo' aliyeimba wimbo wa Nasogea Golgotta

    Habari ndugu zangu, Nakumbuka kipindi cha mwendazake,awamu ya kwanza kulikuwa na msanii aliyejulikana kama Mzalendo aliyeimba wimbo wa Nasogea Golgotta. Nilitegemea wasanii wasimame kutetea rasilimali za taifa na hasa katika sakata linaloendelea la Mkataba katia ya DP world na Tz kuhusu...
  2. K

    Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

    Haitoshi kusaidia tu wahtaji mkuu.Sadaka na Zaka ni muhimu pia
  3. K

    Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

    Sio kazi yako kuchunguza mkuu.Timiza wajibu wako kwani kila mtu atahukumiwa mwenyewe
  4. K

    Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

    Ebu mjaribu Mungu wako kwa kutoa zaka kamili na umwombe shida yako uone kama hutojibiwa
  5. K

    Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

    Mkuu hongeea sana kwa kuanzisha huu uzi.Naamini una imani na hofu ya Mungu juu yako.Ni wengi sana tunamwibia sana Mwenyezi Mungu kwa kushinda kumtolea zaka kamili.Na katika sehemu ambayo Mwenyezi Mungu kaahidi kutenda/kujibu kwa wakati maombi yetu mbalimbali basi ni kupitia zaka.Nina ushuhuda...
  6. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nataka nijilipue mkuu,toa codes basi
  7. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau mwenye uzoefu na hii Sportpesa aniambie.Ni kweli kuna mtu kacheza na kushinda mzigo wa maana humu au kuna ujanja wa kubadili matokeo online
  8. K

    Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

    Naamini katika hilo.Lakini kama kasimama kweli katika imani na kumtegemea Mungu,inawezekana ikawa sawa
  9. K

    Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

    Kashasema,atamwacha mke wake au kumsamehe mkuu.Usimwamulie cha kufanya utakacho wewe
Back
Top Bottom