Search results

  1. G

    Kumfananisha Rais Magufuli na JK Nyerere ni uwendawazimu

    kuwalinganisha ni kumkashifu na kumdharau Baba wa taifa. kitu kimoja tu - busara na uwezo wa kusoma alama za nyakati. hawa wawili ni sawa na mbinngu na nchi.
  2. G

    Rais Magufuli Kwanini Hujamkataza Mwakilishi Wa Sikonge Kufanya Siasa Nzega Wakati Umekataza?

    bado tuna safari ndefu. hasa ukijua kuwa chama ni kilekile hakiwezi kuwa na jipya. tunavyokwenda ni sawa na mtu ageukie kulia,kushoto, nyuma na mbele, lakini mtu ni yuleyule. ila sisi tunaona ndiyo mabadiliko
  3. G

    Magufuli kabla hujalala kwa ziara ya Kahama soma hapa.

    anajali wanyonge akiwa majukwaani. lakini huko mliko mlie tu, mtafikiwa watakapomaliza kuvuna madini.
  4. G

    Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

    Ziara ndefu kweli.
  5. G

    CCM ikifa zile mali zitakuwa za nani?

    Ataridhi mtoto aliyezaliwa mwaka jana kama atakuwa hai baada ya Oct 25.
  6. G

    CCM ikifa zile mali zitakuwa za nani?

    Wanchekesha weye!
  7. G

    Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Ni majanga ya organic chemistry na phd ya uraka
  8. G

    Viko wapi vichwa hivi?

    Ni wachache sana wapo ndani ya serkali, lakini hawana sauti. wengi wapo nje ya serkali. Na kwa TZ huwa akili ndogo hutawala akili kubwa
  9. G

    TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Ndivyo ilivyo kiburi cha uzima, madaraka na fedha. Mungu anakuwa kama toi wanageuka kuwa miungu wenyewe.
  10. G

    Rais Kikwete azungumzia kauli za Magufuli kuikosoa Serikali

    Inabidi lazima aisamakame serkali ya JK & BM. Bila ya kufanya hivyo hakuna mazuri ya kuyapigia debe kutoka serikali hizo mbili. Ndiyo maaana anazungumza mambo ya barabara tu ambayo alikuwa mhusika. Mengine hakuna. JK analijua hilo ndiyo maana anakubali akosolewe ndiyo njia pekee kwa JP kupata...
  11. G

    Wajanja waanza kushuka kimyakimya bus la CCM

    mabadiliko yanayosewa ccm ni sawa na nyoka kujivua gamba lakini anabaki ni nyoka tu.
  12. G

    CCM wameviua viwanda vyetu, Magufuli hana uwezo wa kuvifufua

    Ccm ishukuru sana Chadema a kuandika ilani ya 2010. maana ndiyo anayotumia makufuli kwa sasa. La sivyo hawakuwa na kitu cha kuwaeleza watanzania.
  13. G

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  14. G

    Tanzania yaizuia Malawi kuchoma moto tani mbili na nusu za Pembe za ndovu

    Ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi
  15. G

    Hii ni kali toka kwa Magufuli!

    Duuuh baada ya mkutano kuna kazi ya kuwarudisha watu waliosombwa kutoka vijijini
  16. G

    Hizi tabia zikome huku MMU haraka

    Yote haya ni matatizo ya kapapuchi
  17. G

    He is a Good men

    Eti katoa na plural .. .....mens.....kama ni hivyo kizungu kimenipita pembeni
  18. G

    Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    Badala ya kumfungulia mashitaka huyo fisadi, unajisifia kutompandisha jukwaani kama ndiyo adhabu yake. Wakati huohuo kateuliwa na chama kama mgombea.
  19. G

    Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    Mmeishi nao ndani ya thithiem miaka nenda rudi bila kuhoji utajiri wao. Mwezi mmoja tu kahamia upinzani mnatokwa na povu. Hii inaonyesha wote ambao ni matajiri na bado wako cvm, utajiri wao ni wa shaka na tutajua tu wakihama chama.
Back
Top Bottom