Search results

  1. H

    Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

    Ivi watu mbona mnadanganywa Ivi mbona watu wakidanganywa wanakubali haraka ivi.
  2. H

    Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

    Halafu karatasi yenyewe ni ya kughushi hiyo haina ukweli hata kidogo
  3. H

    Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

    Hapa tunazungumza logic na sio mabadiliko ya kipuuzi. Ivi watz tumelishwa nini?
  4. H

    Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

    Tungejua kikwete ni mpiga dili tusingempeleka ikulu. Kwa kiea tumejua lowassa ni mpiga dili hatari hamna kwenda ikulu
  5. H

    Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

    Wakati gazeti la raia mwema limedakua habari kwamba lipumba ajivua wadhifa wa kuwa mwenyekiti wa cuf, katibu mkuu wa cuf maalim seif alikanusha katakata kwamba ni uvumi usiokuwa na tija kwa madai kwamba usiku wa jana yake aliongea nae sana na hakukuwa na kitu kama hicho na baadae lipumba...
  6. H

    Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

    Mr. Ngaraumu unaposema porojo na huku hujafanya utafiti kujua ukweli unanipa mashaka. Ukisema lishakuwa gazeti la udaku hayo ni maoni yako lakini ujue kwenye udaku huwa kuna ukweli saa nyingine.
  7. H

    Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

    Mabadiliko ya kweli ni magufuli. Tatizo letu watz ni mihemko tu. Sina shida na mabadiliko lakini ni mabadiliko yepi na nani anayeyaleta sio ili mradi mabadiliko. Tuhuma kama hizi si za kupuuzia hata kidogo eti kisa mabadiliko. Ivi tunawezaje kufunika tuhuma za kifisadi zilizofanywa na lowassa...
  8. H

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Arusha mjini mbunge wetu Lema Arusha mjini hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kuhimiza vijana kufanya maandamano na migomo isiyo na tija.
  9. H

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Ndio kusema chadema ni wasaka tonge tuu
  10. H

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Jamani kuna uvumi ulioenea kwenye mitandao kuwa Lowasa akija Ukawa anapewa nafasi ya kugombea uraisi kupitia muungano huo. Sasa najiuliza, hivi Ukawa wamejiandaa kweli kushika dola ikitokea wameshika? Maana kama wanategemea kukodi mtu kutoka ccm ndo aje apeperushe bendera manake Ukawa hawana...
  11. H

    CCM mnaonesha unafiki kwa habari ya Lowassa

    Tuseme ukweli tu Lowassa kala nini kwenye Richmond si aliwajibika kama akina Mh.Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi alivyowajibika enzi hizo akiwa Waziri wa mambo ya ndani?
Back
Top Bottom