Search results

  1. ngomai

    Magufuli: Joseph Mungai asili yake ni Kenya

    Mungai baba mkenya, mama mnyalukolo, baba yake alihamishiwa mafinga kwenye mashamba ya chai ya brook bond mufindi miaka ya 1930 mwanzoni, kutokana na sheria si mkenya ila ana asili ya kenya
  2. ngomai

    Magufuli - Katika mataifa ya Afrika, Kenya ndiye mwekezaji mkubwa Tanzania

    Muwekezaji mkubwa tz ni UK, akifuatiwa na kenya, SA ya tano
  3. ngomai

    Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

    MSM ni washambuliaji, kuzuia sio kazi yao, na pili formation ya barca ni 4-3-3, na pattern ni 1-8-1
  4. ngomai

    Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!.

    Pasco, sisi tunaishi tanzania, na ni watanzania, na tanzania ilizaliwa tar 26 apri, na ndio national day yetu, fuatilia, 9 dec ni siku ya uhuru wa tanganyika ambayo haipo na nyerere alilikataa hilo jina kwa kuwa tulipewa na wajerumani
  5. ngomai

    Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!.

    Hoshea national day ya tz ni moja tu, 26 april
  6. ngomai

    Nauza miti ya mbao pines

    Yes
  7. ngomai

    Rais Magufuli, Watumishi uliowaadhibu Uwanja wa ndege hawakukudanganya, ni "ugeni" wa kazi tu

    Tatizo kusema uongo kuwa zinafanyaka, wangesema ukweli yasinge wakuta
  8. ngomai

    Ziwa Nyasa halipo tena Tanzania

    Na songea haipo karibu na ziwa nyasa, jifunze jiografia
  9. ngomai

    Ziwa Nyasa halipo tena Tanzania

    Miaka yote toka uhuru wao, malawi wanaliita lake malawi, na pia nyasa kichewa ni ziwa(lake)
  10. ngomai

    Uendeshaji wa TAZARA sasa wakabidhiwa kwa Mchina

    Tazara ilianza kudorola mwaka 1994, baada ya biashara ya shaba kupungua sana, na nchi ya zambia kujitoa kuagiza mahitaji muhimu ya nchi, kwa kiwango kikubwa TAZARA ikapoteza muelekeo, kwa kuwa ilikuwa ina safirisha 70% ya import and export ya Zambia, la pili haikujiandaa kwa ajili ya kusafirisha...
  11. ngomai

    Kwa hili la kukataa mwaliko wa Uingereza na kwenda Uganda, Rais sikuungi mkono

    Jpm siku hiyo atakuwa uganda kwenye sherehe ya kuapishwa Museveni, yeye ni mwenyekiti EAC
  12. ngomai

    Nini maana ya kuingia na watoto uwanjani?

    Ile ni biashara, wazazi wanaomba kwa uongozi kwa ajili ya watoto wao, na pia wanalipia, ila kuna wakati timu zinajitolea watoto wenye mahitaji kuwasaidia na kisha kuwapa nafasi hizo
  13. ngomai

    Tutegemee Baraza jipya baada ya Muda

    Probation period ni miezi 6, tuvute subira, tuwape muda, leceiter city kabla, na baada ya ranieri ni tofauti, wachezaji ni wale wale.
  14. ngomai

    Tofauti kati ya Manager na Coach

    Head coach sio mtawala katika uendeshaji wa timu, nje ya uwanja, maneja ni mtawala wa yote
  15. ngomai

    Magufuli ataiweza vita dhidi ya Karimjee Jivanjee Family?

    Serikali haijasema kuwa haitanunua magari, bali watanunua kufustana na shughuli husika, mfano JPM ?kauliza mhandisi ana umuhimu wa kutumia v8
  16. ngomai

    UKAWA wamwandikia Spika kutaka kujua uhalali wa Rais JPM kuhutubia Bunge bila matokeo ya Zanzibar

    Ukishaapa tu bungeni, tafsiri rahisi ni kuwa unaitambua serikali, na matokeo yaliyofutwa ni ya zanzibar si ya jamuhuri ya muungano, na zanzibar sio nchi ni sehemu ya jmt kama arusha
  17. ngomai

    Mataifa yametushangaa sana watanzania kwa upofu wa akili

    Mamvi angetoa jibu la hiyo elimu bbc tungempa kura
  18. ngomai

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Bsrca akiifunga simba watashangilia?
Back
Top Bottom