Search results

  1. Bi. Senti 50

    Msafiri Marwa Kaimu Balozi-Uingereza ni jipu lililotukuka

    Huyu bwana wa kuogopa kama ukoma, alikuwa kama anasubiria mwenzie aondoke vile, pamoja na kumnyanyasa siku zote hakuridhiika. Anaota maisha makubwa kwa harakahara, maana wenzie walimpiga ile Jeep Cherokee pound 6000/-, gari imeoza, roho mkononi hujui kama utafika salama. Kuna mdada wa Kibongo...
  2. Bi. Senti 50

    Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

    Mzee Baguma mwenye hizi hotel za JB Belmont Dar (Benjamin Mkapa Tower) posta mpya na ya Mwanza ametutoka ghafla hivi karibuni. Tupo kwenye mshtuko mkubwa. Amefariki kwa matatizo ya kupumua chumbani kwake Hotelini Dar.
  3. Bi. Senti 50

    Anamuacha mke wake!

    Sijui kama ndiyo jambo limezua jambo au nini. Tuliporudi toka ile ziara ya Ulaya, mheshimiwa akawa yuko kimya kwa muda. Walipokuja Dodoma akawa ananitafuta na mimi nikawa namkwepa sana. Hata hivyo jana alipata nafasi ya kustop ofisini na akaniomba niende naye lunch. Kiufupi kaniambia kuwa yeye...
  4. Bi. Senti 50

    Hawaaminiani tena Dodoma

    Leo baada ya Lowassa kutoka kwenye Ukumbi na hasa baada ya maneno ya Dr. Mwakyembe ni wazi kuwa hawa ndugu zetu hawaaminiani tena. Chama chetu ambacho kimetulea na kutufikisha hapa; chama ambacho kilisikifika kwa umoja na mshikamano, leo hii kimejaa shuku na kebehi. Kuna wabunge hawakai sehemu...
  5. Bi. Senti 50

    Nimkubalie?

    Nimepatwa na utata kidogo, sina mahali pengine pa kuuliza bila kujulikana na ninaomba ushauri wa kweli. Mimi ni mama single, mwanangu ana miaka minne tu. Mimi na baba yake tuliachana kama mwaka mmoja na nusu baada ya yeye kuamua kuzaa nje ya ndoa yetu. Nikajitutumua mimi mwenyewe na kwa...
  6. Bi. Senti 50

    Sasa mmefurahi?

    Samahani kwa kupotea lakini mambo ambayo yametokea wiki iliyopita ni sehemu tu ya sababu hiyo. Binafsi na watu wengine ofisini tumekuwa na wakati mgumu, na sasa tunalazimka kuanza mahusiano na kiongozi mpya. Kuna watu waliokuwa wanataka sana Lowassa aondoke na kutumia magazeti na vijembe...
  7. Bi. Senti 50

    Onyo - Acha mchezo huu mchafu.

    kuna huyu memba ambaye anajifanya anajua kila kitu. Naomba kutuma ujumbe wa wazi kabisa. Tafadhali acha! Hili ni onyo la mwisho. Kelele zako za mambo ya siasa zimekubalika na ni kweli zimekutengenezea jina, lakini hili la sasa ni jambo ambalo ni kinyume na uungwana na lina lango moja nalo ni...
  8. Bi. Senti 50

    Je, ni nani wanamtumia mwana JF huyu?

    Baada ya kusoma makala ya mmoja wa wanachama wenzetu hapa kwenye Tanzania Daima siku ya Jumatano, nimeanza kuamini kuwa ndugu yetu huyu ana lake jambo au kuna watu wanamtumia kumsakama Waziri Mkuu. Ni nani anamlipa na kumtumia kumuandama kiongozi wa Taifa namna hii? Makala yake ya mwisho...
  9. Bi. Senti 50

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Wana ndugu, tangu Waziri Mkuu aje na utaratibu wa kubadili matumizi ya barabara ya Morogoro na nyingine ili kupunguza msongamano, upande mmoja imerahisisha watu kuingia na kutoka katikati ya jiji. Hata hivyo, matokeo yake hasi ni kuwa ajali za waenda kwa miguu zimeongezeka (kwa mujibu wa Kamanda...
Back
Top Bottom