Search results

  1. Mchochezi

    Heri ya siku ya kuzaliwa ukiwa mbinguni Mwl Julius Kambarage Nyerere, angetimiza miaka 102 leo

    Leo ni mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere. Kama angelikuwa hai basi leo angekuwa anatimiza miaka 102 yankuzaliwa kwake. Heri ya kuzaliwa kwako Mwl. Julius Kambarage Nyerere
  2. Mchochezi

    Ukiwa kama kocha utaanza na mshambuliaji gani hapa?

    Chagua mshambuliaji mmoja tu wakuanza nae katika kikosi chako kutoka katika list ya washambuliaji waliopo pichani
  3. Mchochezi

    Tupia risiti ya uzi wa mashabiki wa Yanga wakijisifu watamfunga Mamelodi ili tuzihifadhi kwa matumizi yajayo

    Lengo ni kutunza risiti hizi kwa matumizi yajayo maana vurugu zimezidi humu jf.
  4. Mchochezi

    Kijiweni kwako wanasemaje kuhusu hawa wauza madafu ikulu?

    Haya tiritika na userereke…
  5. Mchochezi

    EPL: Mbio za ubingwa, unampa nani karata yako ya kutwaa ubingwa?

    Licha ya ratiba ngumu, nawapa Man City nafasi ya kunyanyua ubingwa mwisho wa msimu. Arsenal kama kawaida yao kuanzia mwezi march tutaona madudu yao, Liverpool ni tishio lakini hawatobeba ndoo. Kutokana na mechi zilizosalia unampa nani nafasi ya kutwaa ubingwa? Tuambie…
  6. Mchochezi

    EPL: Arsenal yashinda 6-0 dhidi ya West Ham

    Klabu ya Arsenal imeibugiza West Ham kwa mabao 6-0 katika mchezo wa ligi kuu england maarufu kama EPL. Mpaka mapumziko Arsenal ilikuwa mbele kwa mabao manne kwa nunge, huku mabao hayo yakifungwa na Saliba dakika 32, Saka dakika ya41 kwq penati, Gabriel 43 na Trossard dakika 45+2. Kipindi cha...
  7. Mchochezi

    South Africa (Bafana Bafana) washika nafasi ya tatu katika Afcon

    Timu ya taifa ya Afrika Kusini maarufu kama Bafana Bafana wameshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga DR Congo kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya droo 0-0 ndani ya dakika 90. Golikipa Ronwen Williams wa Bafana Bafana kwa mara nyingine aliibuka shujaa baada ya kuokoa mikwaju miwili ya DRC ikiwemo...
  8. Mchochezi

    Umewahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Mimi niliwahi kusikia madereva wa malori wanaoenda nchi jirani kuna muda wanasahau kama wapo safarini, kutokana na changamoto mbalimbali za njiani kama mipakani nk Naskia wamatembea na majiko yao kabisa pia wakiwa na unga, vitunguu, mboga, nyanya yaani wakifika mahali wanashuka wanakaa wanapika...
  9. Mchochezi

    Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa Mwaka 2023?

    Leo ni Desemba Mosi 2023, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni.
  10. Mchochezi

    Kwa mwezi unatumia bando la Internet la sh. ngapi?

    Mimi natumia GB 60 kwa sh. 50,000 tena kwa kujibana sana. Wewe unatumia bando la sh ngapi kwa mwezi? Tushirikishe
  11. Mchochezi

    Mwaka 1991 katika harusi ya Freeman Mbowe

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya harusi ya Freeman Mbowe mwaka 1991. Utaona ni kwa namna gani Mbowe alikuwa katika hadhi gani kwa miaka hiyo. Hii picha inafikirisha sana. Freeman Mbowe nakupa maua yako ungali uhai ili uyanuse.
  12. Mchochezi

    Ukiwa safarini ni jambo gani huwa hupendi litokee katika safari yako?

    Mimi huwa sipendi kukaa na abiria anayesinzia na kunilalia begani. Wewe huwa hupendi jambo gani?
  13. Mchochezi

    Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

    Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro. Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu. Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu.
  14. Mchochezi

    The royal family

    General Museveni akiwa na familia yake baada ya kutoka kanisani. Hapo sambamba na Museveni yupo mama Janeth Museveni ambaye ni first lady na waziri wa michezo na utamaduni Uganda. Pia yupo Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba mtoto pekee wa kiume wa Rais Museveni na mrithi wa kiti cha Urais hapo...
  15. Mchochezi

    SISU ni movie inayoongoza kwa uongo duniani

    wakuu kuna movie mpya inatamba kwasasa inaitwa sisu. Ni movie nzuri ila ina uongo wa kushato wazee. Kwanza mzee sisu anazuia risasi kwa bakuli la bati sijui, anazama ndani ya maji na kuvuta pumzi ya maiti bila kufa. Ananyongwa na wanajeshi wa nazi usiku kucha lakini asubuhi bado ni mzima...
  16. Mchochezi

    Jamii Forums hapa walijua kutuweza

    Kama **** sehemu Jamii Forums walijua kuuoiga mwingi basi na hapa. Wamekata ngebe zote za wambea za kujifanya kuchunguza mtu na profile lake. Kudos JF
  17. Mchochezi

    King'amuzi cha Canal+ chaanza kuwa na chaneli za Kiswahili

    Hatimae chaneli za Kiswahili zaanza kupatikana katika king'amuzi cha Canal+ ambacho pia kinarusha mechi mbalimbali za soka za ulaya kwa lugha ya kifaransa. King'amuzi hiko ambacho kinapatikana kwa connection hapa Tanzania, kimetokea kujizolea umaarufu mkubwa kwa wapenda kandanda.
  18. Mchochezi

    Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

    Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli. Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake? Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
  19. Mchochezi

    FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika. Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi. Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk...
  20. Mchochezi

    Nani amelitendea haki jukwaa la michezo kwa mwaka 2022?

    Leo ni Desemba 3, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
Back
Top Bottom