Search results

  1. Z

    Iwe mwisho kumfananisha mwamba wa lusaka na vitu vitu vyenu!

    Mchezaji wa mechi ndogo huyo hana uwezo wa kuibeba Thimba kwenye mechi ngumu.Kalai tu hilo huna Cha kujivunia na kutamba
  2. Z

    Timu ya Taifa Ghana, mchezaji Okrah kacheza mechi gani?

    Galasa hilo hamna kitu.Huyu Jamaa timu aliyotoka haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya kimataifa na hata kubeba kombe la ligi kuu yao. Hapo Makolo wameingizwa choo Cha like kisichokuwa na maji wala Toilet pepa.Wameuziwa Mbuzi kwenye gunia.Niseme wazi tu kwa hatua ambayo Simba ilifikia siyo ya...
  3. Z

    Pape Osman Sakho

    Makolo bwana hakika kazi mnayo mnatafuta kila namna ya kufarijiana baada ya kuporwa vikombe vyote.
  4. Z

    Madega ashtushwa na mwekezaji GSM kuwa Rais wa Yanga

    Makolo hawawezi kuhoji Bil 20 wanamgwaya Hindi. Hindi janja janja sana
  5. Z

    Madega ashtushwa na mwekezaji GSM kuwa Rais wa Yanga

    Simba kazi mnayo mnamuogopa sana GS, sisi tutampa huyo huyo urais Injinia Hersi Saidi kiboko ya Makolo . Huyu GSM siyo bahili kama Hindi ndiyo maana Makolo wanamgwaya na kumuhofia sana. Yanga ina kikosi imara na bado unafanya usajili wa maana GSM hawataki mchezo mchezo ni Back to Back mpaka...
  6. Z

    Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

    Yanga msimu huu klabu bingwa anaenda hadi fainali 2022/2023
  7. Z

    Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

    Njaa mbaya sana ulichokiandika hakifanani na Akili uliyonayo.Viposho vya Barbara vimechetua Akili yako.Mtake msitake Morrison atachezea Yanga na atawafunga goli zuri na litawakera sana mpaka mkome kudadadeki zenu.
  8. Z

    Hivi Ntibazonkiza na Kambole nani mchezaji ikiwa Kambole kacheza mechi 46 kafunga 2 tu

    Umbeya mwingine bwana yani sielewi Makolo mnahangaika nn na usajili wa Yanga. Huyu Kambole awe mzuri au mbaya anakuhusu nn wewe? Acheni umbeya subiri ligi ianze ndiyo utamjua vizuri hata Saido Ntibazonkiza na wengineo wote mliwajua vizuri baada ya kuja Yanga.Tunakumbuka msimu huu mlibeza sana...
  9. Z

    FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Mbeya City | Uwanja wa Mkapa | Juni 16, 2022

    Na Bado.Ni miaka mitano mfululizo wala haitokuwa miaka minne ya Hindi janja janja bwana wake Barbaraaa
  10. Z

    Kocha Yanga anataka kumaliza msimu bila kupoteza mechi

    Hakika kolo likizeeka huitwa Kolokolo.Wewe ni kolokolo
  11. Z

    Simba kama tuna 20b, tunashindwa kujenga uwanja?

    Hindi haiwezi kukubali hiyo wazo hata chiku moja Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
  12. Z

    Hii nani zaidi utopolo lazima waitishe press conference nyingi sana

    Kolo Bwana.Unapika vipi Taarifa ambazo serikali wanakata Kodi.Hiyo siyo Siri ukitaka nenda kwenye mifumo ya serikali utapata Taarifa kamili.Acha uzushi na kudanganya watu.Kelele za ubingwa mmeacha baada ya kuona mmelala dolo mmeamua kuamishia umbeya kwenye mambo yenye data na ushahidi...
  13. Z

    FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

    Hawezi kutoa red kadi huyo .Anawalinda wachezaji wa Simba kwa sababu ya mechi ya Yanga ijayo Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
  14. Z

    Mheshimiwa mbunge acha mara moja "kuuza" mechi ya Dodoma Jiji Vs Yanga

    Magoli ya mechi ya kagera yote ya offside.Hovyo kabisa pambana na Hali yako.Huyooooo
  15. Z

    Mwakalebela: Simba inafunga magoli ya offside

    Leo umekuwa Yanga,unajifanya Yanga ili kuhararisha magoli ya offside?
  16. Z

    Ujenzi wa uwanja wa Simba .umefikia wapi?...au tumepigwa kitu kizito

    Hindi janja janja tu hahahahaaaaaa
  17. Z

    Tukisema Haji Manara ni Simba SC 'lia lia' mnatukatalia, haya 'mbishieni' na huyu mwenye Yanga SC yake DC wa Ikungi Jerry Muro kwa huu 'Ukweli' wake

    Hahahahaaaa Simba mtaweweseka sana msimu huu mtasema na kuropoka msivyotakiwa kuvisema mwisho wa siku mtahaibika. Shida ni kwamba mafanikio ya klabu ya Simba mpaka walipofikia wanategemea Uchawi,kununua marefa na timu pinzani ili kufanikisha malengo yao vinginevyo hamna kitu. Mtaweweseka sana...
  18. Z

    Azam FC kwanini mmeruhusu Yanga SC Kuutumia Uwanja wenu Kucheza Mechi ya Kirafiki Siku chache kabla ya Kukutana nanyi hapo hapo?

    Kila kitu unajua wewe.Waambie Simba na wengine wamtegemee Mungu yeye ndiyo kila kitu huko kwengine wanapoteza muda na kujidanganya hawatofanikiwa kamwe.Yanga wao wanamtegemea sana Mungu kuliko uchawi ambao Simba wamekuwa wakiutegemea wazi wazi bila hofu yoyote.
  19. Z

    Azam FC kwanini mmeruhusu Yanga SC Kuutumia Uwanja wenu Kucheza Mechi ya Kirafiki Siku chache kabla ya Kukutana nanyi hapo hapo?

    Umbeya ukizidi sana mwishowe utavishwa dera.msimu huu na mingine ijayo Simba mtaweweseka sana mwishowe mmeanza kutoa siri ya mambo ambayo Simba mmekuwa mkiyategemea kufanikisha ushindi wa timu yenu.Mwembwe nyingi kwa mkapa hatoki mtu mkienda nje mnapigwa mnarudi kutegemea kupata ushindi kwa...
Back
Top Bottom