Search results

  1. Evarm

    Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

    Mkuu, Nimeona tangazo la NARCO wanakodisha baadhi ya ranchi zao. Tembelea page yao uwahi nafasi mapema. Hii ni fursa nzuri kwa wafugaji wakubwa. Mkuu Tangantika umeshaanza ufugaji wa mbuzi? Mwenzio nimethubutu tayari. Nimeanza na mbuzi kumi wa kienyeji, ila nitaongeza mdogo mdogo. Nafugia...
  2. Evarm

    Mjadala: Ni jambo gani kwenye Maisha yako lilichelewa sana? Ila sasa unaona kawaida sana

    Naomba Mungu anisaidie maana natamani sana niwe na 1. homestead yangu yenye ekari 500 humo niwe nina ng'ombe wengi, mbuzi wengi, kuki wa kienyeji, kondoo, na familia yangu iishi humo humo. 2. Nipande ndege niende nje ya mipaka ya nchi hii. 3. Nipate kazi nzuri zaidi ya hii niliyonayo sasa hivi.
  3. Evarm

    Pendezesha nyumba au ofisi yako na home appliance za bei nafuu

    Naomba kuiona picha yà Hisense washine machine manual ya 800k
  4. Evarm

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Naomba kufahamu hapo kiwandani wananunua mbuzi kwa bei gani?
  5. Evarm

    Kwa anayejua huu ugonjwa Anal Fissure anisaidie mawazo

    Mkuu, Tengeneza juisi ya ukwaju unywe asubuhi mchana na jioni. Kula sana mapapai yaliyoiva vizuri. Kula ndizi mbivu. Hizi ni dawa za asili, utapata choo laini
  6. Evarm

    Kwa anayejua huu ugonjwa Anal Fissure anisaidie mawazo

    Mkuu, Tengeneza juisi ya ukwaju unywe asubuhi mchana na jioni. Kula sana mapapai yaliyoiva vizuri. Kula ndizi mbivu. Hizi ni dawa za asili, utapata choo laini
  7. Evarm

    Kihoja cha taswira: Hivi ikitokea umejua mzazi anatoka kimapenzi na mpenzi wako utachukua hatua gani?

    Nitamuachia mzazi aendelee kufaidi utamu wa mpenzi wangu. Halafu nitatafuta mpenzi mpya ambaye atafaa kuwa mume au mke halali wa ndoa. Nitaoa nitaishi naye na kuzaa watoto kumi.
  8. Evarm

    Naombeni taarifa za UVUMI kilosa

    Mtoa mada, unamaanisha Mvumi na sio Uvumi. Mvumi ni eneo la mnada hapo Kilosana huwa lina siku maalumu kabisa. Wanyeji wanafahamu zaidi siku ya mnada.
  9. Evarm

    Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

    Hii statement imeniogopesha sana. Ndio kwanza nimedunduliza hadi 2M nataka nitafute gari. Ngoja nizitoe zote zihamie account ya mwanangu.
  10. Evarm

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Eee Mungu tusaidie sisi watoto wako. Hao wanasiasa wana Bima Executive ambazo wanatibiwa popote.
  11. Evarm

    Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Mbuzi

    Weka hapa kwa faida ya wote mkuu
  12. Evarm

    Inatumia muda gani mpaka pesa ya mkopo kuingizwa kwenye account?

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kuomba mkopo Hazina
  13. Evarm

    Sitokuja kusahau, sitaki huu mwaka 2024 uniharibikie tena

    Bwana Yesu atakurudishia mali zako, zote, atakupa mke mwaminifu na watoro wazuri kutoka kwenye viuno vyako. Amka, sahau yote yaliyopita, mwambie Mungu unaanza upya katika kila kitu. Omba Mungu akuongoze katika safari hii, utafanikiwa. NB: Naomba kushiriki katika biashara biyo
  14. Evarm

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Mungu akupe nguvu Mkuu prospilla, Ila endelea kumuombea.
  15. Evarm

    Napata choo lakini hakitoki

    Tumia pia hizo za asili ulizoelekezwa hapo juu. Ni kwa faida yako. 1. Kula papai lililoiva. Kula matunda sio lazima uambiwe na daktari. 2. Tengeneza wewe mwenyewe juisi ya ukwaju, unywe. Hii husaidia mambo mengi mwilini mwako mkuu.
  16. Evarm

    Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?

    Mpatie chai ya alkasusi. Ile ni dawa mujarabu kwa ishu za kiuno na mgongo. Nilivyojifungua watoto mapacha mwaka huu nilikuwa naumwa Sana kiuno na mgongo. Nikashauriwa nitumie alkasusi. Ndugu wakaninunulia Tanga pakiti sita. Nikawa natumia kama chai yangu asubuhi mchana jioni. Nilipona kabisa...
Back
Top Bottom