Search results

  1. Nature

    Naungana na Vladimir Putin kuthibitishia ulimwengu kwamba Yesu alikuwa mtu mweusi

    Sasa kwa mfano Dunia nzima mpaka wazungu wenyewe na Papa na Kila mkristo na asiye Mkristo wakakubaliana kwamba Yesu alikuwa mweusi tutapata faida gani? Je Afrika ndiyo itakuwa Tajiri na kutokana na Maradhi Ujinga na Umaskini? Ndyo itamaliza Ufisadi?
  2. Nature

    Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok

    Walipize kivipi tena na wakati Facebook, Whats app, Instagram, Google (Android), Snapchat na X zote zimefungiwa na serikali ya China?? Katika hili la kuifungia Tiktok Marekani ilichelewa..
  3. Nature

    Aina mbalimbali za mbwa. Jamii ipi unaikubali sana kati ya hizi?

    Wanaziitaga Toyota Breed kwa maana wapo kila mahali ..yaani kila mtu anayo na yanapatikana kwa bei nafuu
  4. Nature

    Aina mbalimbali za mbwa. Jamii ipi unaikubali sana kati ya hizi?

    Bila Chihuahua uzi haujakamilika....hawa siyo mbwa wakubwa lakini vina hasira sana na Vurugu
  5. Nature

    Elon Musk anakaa tu na wanawake haoi wewe kapuku unapambana

    Na siku Akiwa Shoga utataka na sisi tuwe Hivyo?.... Grow Up....
  6. Nature

    Profesa Janabi: Ogopa sana vitu vitamu vitamu

    Kuna wazee wawili kwa sasa hapa nchini huwa wanaongea ukweli Mchungu japo watu wengi hawataki ukweli huo lakini ndiyo ukweli japo unaumaa... 1. Prof Janabi 2.Jenerali Ulimwengu
  7. Nature

    Ni kampuni gani ya redio za music mnene inavunja records?

    Harman Cardon na JBl ni kampuni moja Wanaitwa Harman International ya USA
  8. Nature

    Kwa Milioni 30, UTT amis na nyumba ya kupangisha kipi bora?

    Hivi una uelewa kuhusu UTT au umeandika tuu unachojiskia...?
  9. Nature

    Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

    Kuhusu suala la Powerbank Wachina tuwape maua yao, Ni kweli wanaweza wasiwe wazuri kwenye bidhaa nyingine lakini kwenye masuala ya Battery wachina wako juu kuliko wazungu... Hata kampuni nyingi za Ulaya na Marekani zinapofikiria suala la battery za uhakika kwenye product zao wanatumia zaidi...
  10. Nature

    Jamani huu Wimbo wa Taifa wa Zambia mmeulewa yaani kama wetu 🇹🇿

    Ila nimependa zaidi wa South Africa Wameuimba kwa Lugha tatu tofauti...... https://youtu.be/iZMMOxpdso4?si=TyB5KhZt1BDXMtoH
  11. Nature

    Jamani huu Wimbo wa Taifa wa Zambia mmeulewa yaani kama wetu 🇹🇿

    Ila nimependa zaidi wa South Africa Wameuimba kwa Lugha tatu tofauti...... https://youtu.be/iZMMOxpdso4?si=TyB5KhZt1BDXMtoH
  12. Nature

    Kama Mtaalamu wa Saikolojia ya Mahusiano, Namshauri Haji Manara Apunguze Kasi ya Kuanika Mapenzi yake Hadharani, hasa Faragha yake

    Ukiona anakukera basi ina maana unatumia muda wako kumfuatilia.... Fuatilia mambo mengine wala haitakuwa kero kwako
  13. Nature

    Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

    Sasa kwani shida iko wapi hapo?? Mi nikafikiri labda Waliiba fedha kumbe ni Fedha halali..
  14. Nature

    Waarabu wa Gaza walalamika kulishwa ugali, wasema ni chakula cha Ndege

    Grow Up Kwa hiyo kama chakula hakipo kwenye Biblia ina maana hakiliwi? Parachichi, Nanasi, Ndizi, Maembe yote hayajaandikwa kwenye Biblia Ina maana hayaliwi?? Halafu ukisoma Biblia mahali palipoandikwa nafaka haina maana ni ngano peke yake...soma na Biblia ya kiingereza Utakuta neno 'Corn'
  15. Nature

    Movie nyingi za Hollywood ni za kinabii

    Hata Movie ya The Walking Dead ni suala la muda tu
  16. Nature

    DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    DSTV tayari wana streaming service kitambo sana zaidi ya miaka Nane sasa labda hujui tu.. WananPlatform wanaiita ShowMax, Wana DSTV Live Stream nk...
  17. Nature

    DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Mkuu kama hujui jambo Omba uelekezwe, Usiwe mwepesi kumuita mtu muongo... Hiyo option ya kulipia kdogo kdogo ipo..
  18. Nature

    DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Hilo la kupunguza vifurushi haliwezekani mkuu kumbuka leseni ya kuonyesha EPL wanalipia zaidi ya USD Mil 900$ kwa mwaka sasa unadhani hizo hela za kulipa watatoa wapi?... Tena unaambiwa Premier League Production wameipunguzia sana DSTV gharama za Kurusha ligi yao wangeweka bei sawa na vituo...
  19. Nature

    Sahihi kwa mwanaume aliyekamilika kusherekea birthday?

    Suala la kusheherekea Birthday Haliongezi wala kupunguza chochote kwenye Uanaume wa Mtu... Kwa maana hata viongozi wakubwa wa Dunia huwa wanasheherekea Birthday Hii ni Birthday party ya rais wa china Xi Jin Ping aliyoandaliwa na Rafiki yaken rais wa Urusi Vladmir Putin..na keki ilikuwepo ...
Back
Top Bottom